Dr Mwakyembe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr Mwakyembe

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by aspen, Dec 8, 2011.

 1. aspen

  aspen JF-Expert Member

  #1
  Dec 8, 2011
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 504
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  dr kula chrismass tz source gazeti la mwananchi
   
 2. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #2
  Dec 8, 2011
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,200
  Likes Received: 3,810
  Trophy Points: 280
  Sala zetu zipokee ee baba Mungu wetu mpiganaji wetu aje kula Christimas na sisi. AMEN
   
 3. Mtumishi Wetu

  Mtumishi Wetu JF-Expert Member

  #3
  Dec 8, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 4,981
  Likes Received: 425
  Trophy Points: 180
  Karibu saana mpambanaji wetu, tunakuombea uzima urudi kwenye ulingo wa mapambano!!!!!!!!!!!
   
 4. Bob Lee Swagger

  Bob Lee Swagger JF-Expert Member

  #4
  Dec 8, 2011
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,367
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Naomba mwenye update ya hali yake tafadhali atujuze.
   
 5. k

  kabindi JF-Expert Member

  #5
  Dec 8, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 334
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Karibu nyumbani tanganyika! Lakini usirudi kupambana na lowassa, cha msingi ni kujiuzulu maana serikali yake inazama! Umiasikini unaongezeka kwa kasi kupita maelezo!
   
 6. aspen

  aspen JF-Expert Member

  #6
  Dec 8, 2011
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 504
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  hali yake imeimarika sana ngozi imerudi kwenye hali ya kawaida kabla ya chrismas atakuwepo nyumbani tuendelee kumwombea
   
 7. s

  semako Senior Member

  #7
  Dec 8, 2011
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nchi hii inawagonjwa wengi tuwaombee wote wapone; sio DR Mwakyembe tu.anayeumwa
   
 8. africa6666

  africa6666 JF-Expert Member

  #8
  Dec 8, 2011
  Joined: Aug 18, 2008
  Messages: 281
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Una uhakika?
   
 9. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #9
  Dec 8, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,045
  Likes Received: 6,487
  Trophy Points: 280
  Karibu saana mpambanaji wetu,
  tunakuombea uzima
  urudi kwenye ulingo
  wa mapambano!!!!!!!!!

  source: Mtumishi Wetu
   
 10. N

  Ngarenaro JF-Expert Member

  #10
  Dec 8, 2011
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 312
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Welcom back Dr. Mwakyembe kwenye ujenzi wa taifa letu. Mungu azidi kuimarisha afya yako.
   
 11. S

  SURUMA JF-Expert Member

  #11
  Dec 8, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  Hawa wanaotupeleka shimoni aka VIONGOZI WETU kwanini nao tusiwaombee??Maana naona hali zao mbovu za kiakili zinatutia gharama kubwa sana kiuchumi; kisaikolojia na kiroho!!!!!!!
   
 12. gwakipanga

  gwakipanga JF-Expert Member

  #12
  Dec 8, 2011
  Joined: Dec 1, 2011
  Messages: 472
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 45
  Kila la heri afya yako izidi kuimalika.Maana mafisadi walitaka kukumaza ili kupoteza ushaidi,wameshwindwa kujua kuwa yote ufanyika kwa mapenzi yake aliyejuu.AkIta iwe inakuwa na asipota haiwi.Karibu nyumbani mzee wetu.
   
 13. ram

  ram JF-Expert Member

  #13
  Dec 8, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 6,194
  Likes Received: 898
  Trophy Points: 280
  Karibu nyumbani, Mungu wa mbinguni azidi kuimarisha afya yako ili urejee kazini kuwatumikia watanzania bara
   
 14. JJ Masselo

  JJ Masselo Member

  #14
  Dec 8, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Daah kiukweli kujiingiza kwenye sihasa hapa nchini ni kujitoa mhanga hasa ukiwa upande wa kutetea maslahi ya Wananchi loool! yaan siamini ninachokisikia kila siku kwenye vyombo vya habari kuhusu Dr. H. Mwakiembe jamani, mhh Mungu awalaani kaabisa watu wote waliokaa kikao na kuhusika kumfanya Dr. HM awe kama alivyo.

  Unajua wana JF siku moja nikiwa kaitika pita pita zangu nikitokea Lumo nataka kwenda Ubungo, so nilipita boda moja hvi la vingunguti ili niibukie Buguruni sheri, kabla sijafika buguruni si kuna wafanya biashara bara barani, mi nikapack gari pembeni nikaanza kuchagua viatu vya watoto nipo na shemejienu mtarajiwa, gafla kuna mama akaja akanivamia kwa nyuma yangu na kusema tupeleke hospitali tafadhali tunamgonjwa amezidiwa sana.

  Yule mama wakati tunapacki gari alituona kazani ni taxi, girfriend yangu akasema twende tuwasaidie so tukaenda mpaka hm kwa yule mama tukamkuta mgonjwa keshaulamba anasubili kupelekwa hsptal, yule mgonjwa alikua ni kama maleria imempanda kichwa so tokea anaingia kwenye gari akasema dereva utanisamehe nitakupigia kelele sana kwa maana napenda kuongea.

  vitu alivyokua anaongea wana JF ni vyaajabu mimi nikasema au huyu jamaa mtumishi nini? (Mwanausalama wa taifa) alianza kuzungumzia kifo cha JK Nyerere na kusema hakufa kifo cha kawaida alitiliwa sumu, na kwamba kule Uingereza hspital aliyekua anatibiwa ni kama Mwananyamala hadhi yake, na kwamba Marekani ilitaka kumchukua akatibiwe katika hsptal moja ya kijeshi nchini humo wakakataliwa, akawa anaongea watakavyofanywa waliohusika na uchunguzi wa Richmond, yaani alichambua mambo mazito saana na huu ugomvi unaendelea ndani ya CCM aliuongelea na ilikua mmwezi wa tano 2011.

  Kila mambo yanavyoendelea namkumbuka hyo mgonjwa na tulimpeleka kwenye zahanati moja ipo Gongo la Mboto watu wakawa wanamjalia maana alikua anasema anazungumza na Mungu yaani vitu mbali mbali vya ajabu, sisi tulimchukulia ugonjwa lakini mambo yanavyoendelea karibu mengi aliyasema.
   
 15. Watu

  Watu JF-Expert Member

  #15
  Dec 8, 2011
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 3,054
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  karibu baba tutakusuma kwenye gari kama Jairo, sijui kwa nini pale maji hawakumsukuma yule prof.
   
 16. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #16
  Dec 8, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,029
  Likes Received: 3,052
  Trophy Points: 280
  jaribu kumtembelea tena ili upate mengi mkuu
   
Loading...