Dr.mwakyembe waanza kuumbuka!

Ungesema DR MWAKYEMBE NAANZA KUMUUMBUA ningekuelewa. Pamoja na kwamba thread inapata wakat mgumu kueleweka, lakin pia ina dalili zote za kumuunganisha Mwakyembe na ufisadi.

Tena ndugu yangu ukitaka umuumbue fresh mpelekee issue yako RA au EL wakaiombee HOJA BINAFSI bungeni kabla bunge halijaanza. Huko utatusaidia kujulikana kwa m-miliki wa Dowans

Thanks Mkuu, ila Hapo kwenye redi ni Rostam Aziz au Edward Lowasa: jf, Where We Dare To Talk Openly
 
ni mbinga au makambako,
mi nilisikia kwenye vyombo vya habari mradi huo utakuwa makambako.
 
Kitaeleweka tu baadaye. Ila bado haijakaa vizuri, ali mkuu ulitaka kusema nini vile tukusaidie?
 
kweli we bongolala haswaa unasema dr. Mwakyembe waumbuka (ni mwakyembe wangapi?) na tena thread yako hata haieleweki siwezi kuchangia. Nadhani kuna haja ya mod kufungua jukwaa mahsusi kwa ajili ya watoto maana great thinkers wamevamiwa na great sinkers.

Haswaaaa!!! mkuu hapo umenena kwi kwi kwi !!!!
 
Kampuni ya kutoka norway itazalisha umeme wa kutumia upepo 600mw ifikapo 2013 wilayani mbinga.mwewekezaji wa ndani ni alex lema.swali kina mwakyembe wameingiaje mkataba na govt na kuipa share 51% na mradi huo kuzalisha just 55mw?

kweli wewe ni bongo lala. usomeki mkuu
 
Ungesema DR MWAKYEMBE NAANZA KUMUUMBUA ningekuelewa. Pamoja na kwamba thread inapata wakat mgumu kueleweka, lakin pia ina dalili zote za kumuunganisha Mwakyembe na ufisadi.

Tena ndugu yangu ukitaka umuumbue fresh mpelekee issue yako RA au EL wakaiombee HOJA BINAFSI bungeni kabla bunge halijaanza. Huko utatusaidia kujulikana kwa m-miliki wa Dowans

ukimjua mmiliki wa dowans itakusaidia nini au itatusaidia nini sisi watanzania?. Au hujui kama dowans ni ltd co?. Mlipeni kwanza kisha mtamuona kwenye kinyanganyiro cha urais 2015 maana ndiye aliyemsimika rais wako 2010.
 
huyu kweli ni bongolala maana mm cpati hata concept tu ya nn alikuwa anataka kueleza,na hiyo thread haieleweki kabisa
 
LEO kwa kweli sijaelewa nini maana ya hii threads KINAMWAKYEMBE WAANZA KUUMBUKA
MODERATORS tusaidieni juu ya hili
mapinduziii daimaaaaaaa:banplease:
 
Preta,

avatar20103_17.gif
Tuonee huruma...wengine tuna mtatizo ya mfadhaiko...​
avatar35235_7.gif

Na hii je unasemaje?
 
kweli wewe ni bongo lala. usomeki mkuu

jamani mbana ujumbe unaeleweka, au kwa vile anayetajwa ni kipenzi chenu ndo maana mnajifanya kutoelewa?!, muelewe misielewe uwekezaji wa akina dr harison mwakyembe unautapeli wa wazi: kwa nini waiuzie hisa serikali/ kwanini serikali inunue hisa kabla ya uwekezaji/ uzalishaji?, kwa nini uzalishaji ni kiduchu?, kunamazingira ya wazi kuwa hawatatia mtaji bali utatumika mtaji wa serikali kama ilivyokuwa kwa rites, uzalendo wa akina dr h.mwakyembe uko wapi?. Huu ni wizi wa waziwazi. Endeleeni kupinga na kutoelewa.
 
Kampuni ya kutoka norway itazalisha umeme wa kutumia upepo 600mw ifikapo 2013 wilayani mbinga.mwewekezaji wa ndani ni alex lema.swali kina mwakyembe wameingiaje mkataba na govt na kuipa share 51% na mradi huo kuzalisha just 55mw?

Repeat again or sory I mean repeat repeat, no i mean Repeat pardon, ooh! my! nataka niseme sijaelewa rudia tena
 
Lowasa na rostamu na kikwete dowans inawagusa vilivyo naona wako kazini dhidi ya mwakyembe..............kesho utasikia ya sitta halafu atamalizia makamba kuwa ndani ya ccm hakuna msafi...................hii ndiyo ccm ya wale wanaojiita weneyewe
 
Back
Top Bottom