Dr.mwakyembe waanza kuumbuka!

BONGOLALA

JF-Expert Member
Sep 14, 2009
16,507
11,883
Kampuni ya kutoka norway itazalisha umeme wa kutumia upepo 600mw ifikapo 2013 wilayani mbinga.mwewekezaji wa ndani ni alex lema.swali kina mwakyembe wameingiaje mkataba na govt na kuipa share 51% na mradi huo kuzalisha just 55mw?
 
mbinga wakati nimeona kwenye taarifa ya habari ya ITV ni makambako. mkuu inakuwaje tena? sio megawat 600 tena wamesema megawat mia
 
Kampuni ya kutoka norway itazalisha umeme wa kutumia upepo 600mw ifikapo 2013 wilayani mbinga.Mwewekezaji wa ndani ni alex lema....Swali kina Mwakyembe wameingiaje mkataba na govt na kuipa share 51% na mradi huo kuzalisha just 55mw?

Bongolala...hebu amsha Bongo yako na uandike kitu kinachoeleweka ili watu wajue nini unataka kusema
 
kweli kizungumkuti hiki......hebu tueleweshe vizuri bana
 
Tusiokuwepo Bongo mtatudanganya na hbr zenu za ITV na TBC mpaka tukome ....hapa sijaelewa kitu
 
kweli we bongolala haswaa unasema dr. Mwakyembe waumbuka (ni mwakyembe wangapi?) na tena thread yako hata haieleweki siwezi kuchangia. Nadhani kuna haja ya mod kufungua jukwaa mahsusi kwa ajili ya watoto maana great thinkers wamevamiwa na great sinkers.
 
Preta,

avatar20103_17.gif
Tuonee huruma...wengine tuna mtatizo ya mfadhaiko...​
 
Kuelewa bandiko hili itabidi mkafungue makablasha ya Kamati ya Mwakyembe na Richmond
 
kweli we bongolala haswaa unasema dr. Mwakyembe waumbuka (ni mwakyembe wangapi?) na tena thread yako hata haieleweki siwezi kuchangia. Nadhani kuna haja ya mod kufungua jukwaa mahsusi kwa ajili ya watoto maana great thinkers wamevamiwa na great sinkers.
Majungu hayo
 
Kampuni ya kutoka norway itazalisha umeme wa kutumia upepo 600mw ifikapo 2013 wilayani mbinga.mwewekezaji wa ndani ni alex lema.swali kina mwakyembe wameingiaje mkataba na govt na kuipa share 51% na mradi huo kuzalisha just 55mw?

Weka vizuri source zako ili tusioelewa tufatilia kutokea hapo
 
We Preta, vaa basi hiyo nanilii bana. Unaidhalilisha, tangu lini ikawa ya kuning'inia miguuni hivyo?!
 
Kampuni ya kutoka norway itazalisha umeme wa kutumia upepo 600mw ifikapo 2013 wilayani mbinga.mwewekezaji wa ndani ni alex lema.swali kina mwakyembe wameingiaje mkataba na govt na kuipa share 51% na mradi huo kuzalisha just 55mw?

Ungesema DR MWAKYEMBE NAANZA KUMUUMBUA ningekuelewa. Pamoja na kwamba thread inapata wakat mgumu kueleweka, lakin pia ina dalili zote za kumuunganisha Mwakyembe na ufisadi.

Tena ndugu yangu ukitaka umuumbue fresh mpelekee issue yako RA au EL wakaiombee HOJA BINAFSI bungeni kabla bunge halijaanza. Huko utatusaidia kujulikana kwa m-miliki wa Dowans
 
Back
Top Bottom