Jumboplate
Senior Member
- Jul 29, 2008
- 133
- 10
Hosea ni FISADI.
Wabunge ni MAFISADI (waliopokea Posho).
Hivi Dr. Slaa pia alipokea? Maana wangelikuwa wameshambeba siku nyingi na kumrunda Keko.
Acha wazichape, siri nyingi ya ULAJI zitafumuka. Waandishi wa habari nao wanakomba..
Kumbe hii Tanzania nchi TAJIRI saana.
Simuonei huruma Hosea na Mwakyembe. Acha waburuzane tu na Mungu bariki wote wapakana MAJI TAKA.
mmh Nyie ongeeni yooote but Mwakyembe yupo juu na aendeleee hivyo,
acheni kumkatisha tamaa MAFISADI
HIYO HELA ALIYOLIPA INALINGANA NA KAGODA, RICHMOND AU EPA? Tukifatilia vi kashfa mnavyotoa hakuna serikalini atakayepona.
HAPA TUNAJADILI ZAIDI MAHELA MAKUBWA.
Na haya yote yanakuja leo why?
Sio WABUNGE tu wanaotakiwa kuhojiwa! Mawaziri wanazitafuna zaidi TAASISI zilizo chini ya wizara zao. Nao wahojiwe kama sio kushtakiwa kabisa. Mapesa yanayotafunwa kwa mtindo huu na WANASIASA wetu ni mengi kuliko haya ya EPA tunayopigia kelele humu. Tumechelewa mno kuliangalia hili.
This is very low! TAKUKURU si ndio hao hao walisema RichMonduli haina tatizo mchakato wake hauna shida? Mwakyembe na tume yake wakaangalia tofauti leo hao hao wamwite Mwakyembe kumhoji....teh teh teh huhitaji kuwa Sheikh Yahaya kujua nini kinaandaliwa.....Mwakyembe huna sababu khojiwa na hao vilaza wa PCB sijui TAKUKUNGURU
Ushabiki utakuuwa we jamaa!!!yani kwa kuwa uliichunguza polisi kwaiyo ata ukitenda kosa la jinai kama kuua usihojiwe na polisi? Eti dokta wa sheria!!!wakati hajui kuwa yeye ni mmoja wa wabunge waliopitisha sheria hii hii ya PCCA namba 11/2007 ambayo ukisoma section 10 (1) An officer of the Bureau investigating an offence under this Act may-
(a) order any person to attend before him for the purpose of being interviewed orally or in writing in relation to any matter which may assist investigation of the offence halafu wandai wao ni wabunge eti ni watu wakubwa hawatakiwi kuhojiwa!!!!
Yaani huyu dokta ni kichekesho sana....ktk sheria hiyo hiyo kuna offence of disclosure of identity yani wakati uchunguzi unaendelea kuhusu jambo flani hakuna mtu anayepaswa kufichua utambulisho wa mtu anayechunguzwa au kitu kinachochunguzwa bila mamlaka ya kisheria kufanya hivyo!!Mwakyembe anapiga kelele kuwa anachunguzwa!hajui kuwa anajiongezea makosa... eti dokta wa sheria tene aliyeipitisha sheria yenyewe halafu haijui.
.Ushabiki utakuuwa we jamaa!!!yani kwa kuwa uliichunguza polisi kwaiyo ata ukitenda kosa la jinai kama kuua usihojiwe na polisi? Eti dokta wa sheria!!!wakati hajui kuwa yeye ni mmoja wa wabunge waliopitisha sheria hii hii ya PCCA namba 11/2007 ambayo ukisoma section 10 (1) An officer of the Bureau investigating an offence under this Act may-
(a) order any person to attend before him for the purpose of being interviewed orally or in writing in relation to any matter which may assist investigation of the offence halafu wandai wao ni wabunge eti ni watu wakubwa hawatakiwi kuhojiwa!!!!
Yaani huyu dokta ni kichekesho sana....ktk sheria hiyo hiyo kuna offence of disclosure of identity yani wakati uchunguzi unaendelea kuhusu jambo flani hakuna mtu anayepaswa kufichua utambulisho wa mtu anayechunguzwa au kitu kinachochunguzwa bila mamlaka ya kisheria kufanya hivyo!!Mwakyembe anapiga kelele kuwa anachunguzwa!hajui kuwa anajiongezea makosa... eti dokta wa sheria tene aliyeipitisha sheria yenyewe halafu haijui.
Ambao hammjui Mwakyembe mtapata shida sana, jamaa ni mpambanaji kwa mambo anayopingana nayo lakini yeye mwenyewe ni fisadi mkubwa kwenye mambo mengine ambayo anafaidika nayo.
Kuna kashfa nyingine inakuja ambayo kwa msaada wa spika Sitta kalipwa mamilioni ya pesa kwa kusingizia kwamba alienda kutibiwa nje (Ujerumani) wakati ule baada ya ajali wakati alikuwa amejifungia nyumbani kwake Kunduchi.
Nchi hii inaliwa na hao hao wanaojifanya wanailinda.
.
mkuu jumboplate,
tangu mwanzo tulisema huyo masanio ni mjinga na anaushabiki wa kipumbavu.nafikiri ata baba yeke alikua hivyo hivyo.mwakyembe kwa sasa hana pa kukimbilia.watu wake wa karibu wote wamemwagwa serikali za mitaa.sasa leo hii anaongea kwa hasira eti hakuna wa kumtoa jimbon kwake,yeye ana hati miliki hapa kyela?

Huyu Mwakyembe ni siasa tu!!!!kwani lazima uwe mbunge ndio uweze kupambana na ufisadi??? yani anataka apewe takrima kwa fedha zetu halafu sisi tucheke tu kama wajinga???!!!
unachekesha mzee DR sio ule wa dr matunge wa kijiweni. labda wewe ndio uitwe Dr maana unaonyesha unafaa kuwa DR ( LOL)Inaonyesha ni huyu huyu Mwakyembe tu. Namwita hivyo maana nimeondoa ile title ya Dr. maana haimfai na hastahili. Anasema maneno kama mtu hakwenda shule!!!
Hivi Takukuru kwanini haitoi WARRANT OF ARREST kama anakataa kuhojiwa. Hapo ndio atakoma ubishi. Lazima wale nae sahani moja mapaka aache ufisadi.