Dr. Mwakyembe: Nikirudi nitamwaga yote kwa watanzania nimechoka sasa.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr. Mwakyembe: Nikirudi nitamwaga yote kwa watanzania nimechoka sasa....

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by only83, Oct 22, 2011.

 1. only83

  only83 JF-Expert Member

  #1
  Oct 22, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Mbunge wa Kyela na Naibu waziri wa Miundombinu Dr Harrison Mwakyembe ametamka maneno magumu akiwa kwenye matibabu nchini India,Mwakyembe amesema akirudi salama atamwaga yote yanayomsibu bila kuficha hata nukta moja maana amechoka na hawezi kuvumilia tena...

  Akaendelea kusema Watanzania waendelee kumuombea maana anaendelea vyema na Allah akimsaidia akanyanyuka kitandani basi wategemee siri nzito ambayo haikuwai kufahamika Tanzania....

  Hii imekuwa ni baada ya kuibuka kwa hoja nzito kuwa kuna Watanzania wanataka kuuwawa akiwemo Dr Harrison Mwakyembe,hoja yangu ngoja tusubiri tuone mambo yatakuwaje baada ya kufika,naamini Mungu mkubwa atamnyanyua toka kitandani.

  Get well soon Dr Harrison Mwakyembe and Prof Mwandosya...
   
 2. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #2
  Oct 22, 2011
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Al shabab ama siri ipi tena... Asije akawa mfa maji... Aje na wimbo mpya siyo kuuwawa kila mara... Navuta subira kumsubiri Get wel
   
 3. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #3
  Oct 22, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Na Balali alisema hivyo hivyo na hakurudi! Sidhani ni muhimu kutoa tahadhari, au anataka abenbelezwe? Angemute tu, halafu angewasuprise na press conference!
   
 4. BBJ

  BBJ JF-Expert Member

  #4
  Oct 22, 2011
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 1,183
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Get well soon Dk Mwakyembe.Tunakuombea kwa MUNGU urudi salama nyumbani.
   
 5. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #5
  Oct 22, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  another kuku journalism!!

  alikua wapi siku zote

  we dramatize hawa drama queens.............

  naomba niseme kitu kimoja na mods this time msidiliti

  WAPUMBAVU WOTE INCLUDING MWAKYEMBE.......... WANALETA SIASA ZA KIPUUZI, KAMA KWELI ANAIPENDA NCHI ALIKUA WAPI???
   
 6. BBJ

  BBJ JF-Expert Member

  #6
  Oct 22, 2011
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 1,183
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kua na Huruma,kumbuka kinachomtesa kule India ni ktk kutupigania sisi.
   
 7. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #7
  Oct 22, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Si angesema sasa,taking into account anaweza kupona ama kutokupona? Akifa bila kusema ndo atakua ametusaidiaje sasa?
   
 8. Mamzalendo

  Mamzalendo JF-Expert Member

  #8
  Oct 22, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,664
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Asingetoa tahadhari sa si ndio watamtafuna kabisa
   
 9. only83

  only83 JF-Expert Member

  #9
  Oct 22, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Hawezi kufa hata iweje...take my words!!!
   
 10. M

  Mzawa Halisi JF-Expert Member

  #10
  Oct 22, 2011
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 499
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Mwakyembe na wenzake walikuwa na choice ya kubaki nje ya serikali kama waliamini misimamo yao ni nje ya serikali. Hii imekuwa ni nchi ya wanasiasa kila kukicha kutishia wanataka kuuawa na maadui wao.
   
 11. BPM

  BPM JF-Expert Member

  #11
  Oct 22, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,766
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  tunakusubiri kamanda ... pata nafuu haraka
   
 12. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #12
  Oct 22, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  kwa sasa nawaona kama tintin

  kulalama hakuishi, toka basi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

  Ni kama mwanamke kutwa kulalama ndoa chungu, ukimwambia acha mumeo basi anatoa macho kama fundi saa
   
 13. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #13
  Oct 22, 2011
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,030
  Likes Received: 3,231
  Trophy Points: 280
  mwakyembe hamtambui Allah, usimwekee maneno mdomoni.
   
 14. kingxvi

  kingxvi JF-Expert Member

  #14
  Oct 22, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  acha kudanganya watu anapgania tumbo lake
   
 15. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #15
  Oct 22, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Alichonacho moyoni akiandike kama wosia na kama mungu atampenda zaidi akiwa huko basi usomwe kwa watanzania wote au awaite akina kubenea na wengine awaambie. sasa kama ana siri na anatishia kuitoa si ndio watammaliza kabisa!
   
 16. Godlisten Masawe

  Godlisten Masawe Verified User

  #16
  Oct 22, 2011
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 739
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Source?
  Mtu yeyote ambaye ni sehemu ya C.C.M au serikali ya C.C.M namuona ni tatizo tu.
   
 17. Mkuu wa chuo

  Mkuu wa chuo JF-Expert Member

  #17
  Oct 22, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,253
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hapo upo sawa MTM..
   
 18. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #18
  Oct 22, 2011
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Hizi ni hisia zako tu au ndiyo habari za kusadikika za GODWIN MZEE WA TETESI za Uongo

  Please we need a source to verify the truth
   
 19. nimie

  nimie JF-Expert Member

  #19
  Oct 22, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 525
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Nachelea keshaona maji marefu na sasa anataka wamtengenezee kitanzi. Only83 mwambie asemee huko huko, otherwise hatutampa sifa ya ushujaa!
   
 20. n

  nguluvisonzo JF-Expert Member

  #20
  Oct 22, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 511
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Sina uhakika kama source ni Mwakyembe mwenyewe,inaoneka kama maneno ya kijiweni hivi.
   
Loading...