Dr. Mwakyembe: Nikirudi nitamwaga yote kwa watanzania nimechoka sasa....

Kua na Huruma,kumbuka kinachomtesa kule India ni ktk kutupigania sisi.
Wacha uongo wewe, sema anapigania tabaka lake na rafiki zake mafisadi. Wanaotupigania sisi hawako CCM, huko walishaondoka siku nyingi. Hao waliobaki CCM wanapigania matumbo yao na mahawara zao.
 
Mbunge wa Kyela na Naibu waziri wa Miundombinu Dr Harrison Mwakyembe ametamka maneno magumu akiwa kwenye matibabu nchini India,Mwakyembe amesema akirudi salama atamwaga yote yanayomsibu bila kuficha hata nukta moja maana amechoka na hawezi kuvumilia tena...Akaendelea kusema Watanzania waendelee kumuombea maana anaendelea vyema na Allah akimsaidia akanyanyuka kitandani basi wategemee siri nzito ambayo haikuwai kufahamika Tanzania....

Hii imekuwa ni baada ya kuibuka kwa hoja nzito kuwa kuna Watanzania wanataka kuuwawa akiwemo Dr Harrison Mwakyembe,hoja yangu ngoja tusubiri tuone mambo yatakuwaje baada ya kufika,naamini Mungu mkubwa atamnyanyua toka kitandani.

Get well soon Dr Harrison Mwakyembe and Prof Mwandosya...

mpuuzi mkubwa huyu Dk.
kila siku yeye anatamba na kuwa na siri nzito, halafu hazitangazi mwisho wake anawindwa.
Alikaa kimya kwenye riport ya richmond, akajigamba, kama angesema kila kitu serikali ingeanguka-akajipa majukumu ya kulinda wezi badala ya kuwaumbua. mie natamani afe kama Gaddaf, kwangu sioni fadia ya Mwakyembe na tambo zake za kuwa na siri nzito bila kuziweka hadharani
 
Huyu Mzee ni mnafiki tu, amekaa nayo moyoni kwa miaka yote, sasa maji yamemfika shingoni anataka kuyatoa. H
 
Mnafiki tuu, huyu mnyakyusa mwenzangu kaniangusha sana. Unajua nini? hata akitoa hiyo siri watu hawtamuheshmu ataonekana kama mbinafsi tuu... kwasababu ameamua kutoa siri baada ya kuona anaugua, ikimaanisha kwamba angekuwa mzima hakuna haja ya kutoa siri kwasababu aendelee kuwa na mazingira mazuri ya kula kuku kupitia teuzi mbalimbali. Mimi nahisi hata huo unaibu waziri alipewa ili kumuweka mtegoni vizuri. kwasababu ni rahisi kuandaliwa chai, ni rahisi kupewa Dereva ambaye anaweza akawa wa Usalama wa taifa/CCM nakadhalika......

unayosema ni kweli kabisa angekuwa mima asingesema kitu.....na hapo kwenye kupewa unaibu waziri ndo pamemkost sana.......bado ana nafasi akiwa huko ayaseme yote lakini kama anasubiri arudi nyumbani ndo aseme mpeni pole.....atarudi akiwa kivingine kabisa so atumie chance hii huko huko aropoke yote ili atakasike nafsi....nadhani anatamani apone ili arudi ayaseme yote na kisha asikilize watz na vyo vya habari vitasema nini.....
 
Tatizo la Viongozi wetu ni tabia ya kufanya maamuzi ya Mambo ya Umma kuwa ni Siri Ya Serikali Maji yakizidi unga ndio hivyoo tena tunaanza kurupuka na kauri.Hakika Tukipata viongozi wenye kusimamia ukweli na kusema kweli kama kanuni ya Kizamani Ya TANU ambayo yasema "NITASEMA KWELI DAIMA" yeye Mwakyembe alisaliti Umma kwa Kulimbikiza tatizo,wakati alitakiwa kuwa jibu hata kama ni machungu lakini umaa ungekuwa nyuma yake.

Mungu atamsaidia lakini hili linakuwa fundisho kwa wale wote wanaopewa dhamana ya kutenda ukweli na kusema ukweli daima ndio suruhu yao wanapopewa kazi ya umma.Duniani inabadilika sana kuendelea kuamini kuwa kuna watu wateule wamezaliwa kuwa wawe viongozi kwa kudanganya umma kuwa wanawatumika kwa kuwaibia zimekwisha,

Ebu pata picha Rais wa Jamhuri ya Muungano,Makamu wa Rais,Waziri Mkuu,Waziri, Katibu,Mkuu wa Mkoa,Mkuu wa Wilaya,Katibu Kata,Mwenyekiti Wa Kata,Mjumbe wa Nyiumba Kumi Na Raia Kijijini na Mtaani kwenye Miji yetu, kila mmoja klwa wakati wake kakaa kwenye runinga anaangalia Jinsi Gadhafi anavyotendewa au Mubarak anavyosotea kwenye kitanda ndani ya Mahakama ukweli sijui wote hawa wanatafakari nini kichwani.Rais anafakari nini? na Raia pia anatafkari nini?
 
Hizi ni sababu za kutaka kumrestisha Mwakyembe moja kwa moja, mleta uzi unahalalisha kifo chake kiaina hapa! Mwakyembe hawezi kujipalia makaa ya moto kwa style hiyo, anajua kabisa akisema hivyo basi maadui zake watahakikisha wanammaliza kabla hajatoka kitandani hapo Appolo.

nimesoma hata mwenye magazeti leo yameandika kuwa kasema hayo
 
Ni kama mwanamke kutwa kulalama ndoa chungu, ukimwambia acha mumeo basi anatoa macho kama fundi saa

Dah umenifrahisha sana hapa.
Kupenda anapenda kuacha nako anapenda.
Sasa kupenda ndo kunako zidi kunamfanya ang'ang'anie anaishia kulalama
 
Mbunge wa Kyela na Naibu waziri wa Miundombinu Dr Harrison Mwakyembe ametamka maneno magumu akiwa kwenye matibabu nchini India,Mwakyembe amesema akirudi salama atamwaga yote yanayomsibu bila kuficha hata nukta moja maana amechoka na hawezi kuvumilia tena...

Akaendelea kusema Watanzania waendelee kumuombea maana anaendelea vyema na Allah akimsaidia akanyanyuka kitandani basi wategemee siri nzito ambayo haikuwai kufahamika Tanzania....

Hii imekuwa ni baada ya kuibuka kwa hoja nzito kuwa kuna Watanzania wanataka kuuwawa akiwemo Dr Harrison Mwakyembe,hoja yangu ngoja tusubiri tuone mambo yatakuwaje baada ya kufika,naamini Mungu mkubwa atamnyanyua toka kitandani.

Get well soon Dr Harrison Mwakyembe and Prof Mwandosya...

Ina maana asingeugua asingesema chochote, duh.! Labda ndo nadhiri kajiwekea, lets wait
 
Mwakyembe na wenzake walikuwa na choice ya kubaki nje ya serikali kama waliamini misimamo yao ni nje ya serikali. Hii imekuwa ni nchi ya wanasiasa kila kukicha kutishia wanataka kuuawa na maadui wao.

Sikumbuki kama imeshawahi kutokea mwanasiasa akakataa cheo cha uwaziri eti kisa anatofautiana kimsimamo na Rais au serikali, matumbo na tamaa vinawacost
 
Mbunge wa Kyela na Naibu waziri wa Miundombinu Dr Harrison Mwakyembe ametamka maneno magumu akiwa kwenye matibabu nchini India,Mwakyembe amesema akirudi salama atamwaga yote yanayomsibu bila kuficha hata nukta moja maana amechoka na hawezi kuvumilia tena...

Akaendelea kusema Watanzania waendelee kumuombea maana anaendelea vyema na Allah akimsaidia akanyanyuka kitandani basi wategemee siri nzito ambayo haikuwai kufahamika Tanzania....

Hii imekuwa ni baada ya kuibuka kwa hoja nzito kuwa kuna Watanzania wanataka kuuwawa akiwemo Dr Harrison Mwakyembe,hoja yangu ngoja tusubiri tuone mambo yatakuwaje baada ya kufika,naamini Mungu mkubwa atamnyanyua toka kitandani.

Get well soon Dr Harrison Mwakyembe and Prof Mwandosya...

Typical CCM games na Mwakyembe is one of wachumia tumbo hana lolote .Juzi kaibuka Lowasa wametega masikio ameishia kusema eniough is enough .Hakuna kitu yeye apone arudi kuendelea kula msianzae hap maneno yenu .
 
source ya hii taarifa iko wapi?.. shabaash.. uminikuna sasa.. natoa Tamko: habari zote ambazo hazina source zitendewe kigadaffi from tudei kuanzia na hii..
 
Mbunge wa Kyela na Naibu waziri wa Miundombinu Dr Harrison Mwakyembe ametamka maneno magumu akiwa kwenye matibabu nchini India,Mwakyembe amesema akirudi salama atamwaga yote yanayomsibu bila kuficha hata nukta moja maana amechoka na hawezi kuvumilia tena...

Akaendelea kusema Watanzania waendelee kumuombea maana anaendelea vyema na Allah akimsaidia akanyanyuka kitandani basi wategemee siri nzito ambayo haikuwai kufahamika Tanzania....

Hii imekuwa ni baada ya kuibuka kwa hoja nzito kuwa kuna Watanzania wanataka kuuwawa akiwemo Dr Harrison Mwakyembe,hoja yangu ngoja tusubiri tuone mambo yatakuwaje baada ya kufika,naamini Mungu mkubwa atamnyanyua toka kitandani.

Get well soon Dr Harrison Mwakyembe and Prof Mwandosya...

Kwa hiyo kama Hakurudi salama atakufa nacho alichokuwa anataka kukisema
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom