Dr. Mwakyembe, ni maradhi tu?

nitumie lugha ya mtaani kidogo, nadhani wakyembe ni f.al.a flani, anatuficha taarifa watanzania tunayoitamani kuifahamu, halafu yakimfika shingoni aanze kuomba sympathy ya watz, anawaogopa wanadamu kuliko kumheshimu mungu! aaah bonge la fa*la

kila m2 ana maamuzi yake binafsi ya kufanya ki2 chochote kwa sababu zake binafsi. Kama ameamua kukaa kmy mwacheni coz anajua anachofanya. Fa.la ww unaye acha kufanya shughuli zako za maendeleo na kuwaza ugonjwa wa mwakyembe.
 
Anita Baby... sikubaliani na kebehi na vijembe anavyopigwa Dr.hapa JF ila Kinachowaskitisha watu humu ni jinsi Mwakyembe alivyokaa kimya badala ya kupasua ukweli... AAAH!!!NAPIGA MBIZI...
 
kila m2 ana maamuzi yake binafsi ya kufanya ki2 chochote kwa sababu zake binafsi. Kama ameamua kukaa kmy mwacheni coz anajua anachofanya. Fa.la ww unaye acha kufanya shughuli zako za maendeleo na kuwaza ugonjwa wa mwakyembe.

Ingawa ni kweli kuwa ugonjwa ni siri ya mgonjwa mwenyewe lakini nafikiri kuhoji afya ya Mwakyembe ni haki yetu. Mwakyembe kwanza ni waziri mpaka sasa. Kuna wakati alidai kuna watu wanataka kumuua na taarifa akazipeleka police ili zifanyiwe kazi. Baada ya hapo akaugua serikali kwa kutumia pesa za wavuja jasho ikampeleka Apollo kutibiwa kwa miezi. Mpaka sasa hali yake bado tete na anendelea kuwa mbunge na waziri na analipwa pesa za walala hoi wakati hafanyi kazi anayolipwa.

Kama ataachia ngazi uwaziri na ubunge akae nyumbani kwake kimya, sidhani kuna watu watambuguzi au kujisumbua kufuatilia hali kila siku yake zaidi ya ndugu zake wa karibu.
 
Mungu atakuponya Mwakyembe, kama kuna mkono wa mtu basi Mungu anajua la kufanya. Ulinifurahisha sana uliposema unamwachia Mungu.
 
Hilo ni pigo la pili wanamkosakosa! Alipopata pigo la kwanza la ajali, alisema pia kwamba anamwachia Mungu!! Safari hii amepata pigo la pili; wamemchua kwa mafuta ya kinyonga! Yote anamwachia Mungu! Anakaa kimya ili kukinusuru chama chake kinachotaka kumtoa roho! Huyu mtu, si wa kuonea huruma hata kidogo!! Angekuwa mwanamapinduzi wa kweli angekwishaweka mambo yote hadharani na kisha kuchukua msimamo na uamuzi wa dhati kuhusu hatima ya maisha yake!! Lakini Kwa mtindo huo wa kinafiki, asubiri tu pigo la tatu; hapo ndipo atakapomwachia Mungu yote kikwelikweli!!
 
Nadhani kila mtu anayefuatilia siasa za Tanzania anasikitiika na hali hii ilivyo!! Kila mtu anatamani Dr Mwakyembe aseme kinachomsibu huku watu wengi wakiamini kuwa huenda ukawa ndo mwanzo wa mabadiliko makubwa nchini, Lakini Dr. yeye pia anayo haki na uhuru wa maamuzi yake binafsi ya kusema au kutosema milele.

Kwa hiyo, ningeshauri iundwe kamati ndogo kutoka hapa hapa JF imtembelee Dr. kujionea hali yake pamoja na kumpa pole,lakini ikamhoji kupata ukweli. Na baada ya hapo, tuweze kujulishwa members wote kupitia hapa jamvini.

Ikumbukwe kuwa, ni hapa hapa jamvini! JF member aliweza kutoa taarifa za hali ya Dr. mwaka jana ndipo Mhe. Rais Dr. JK akapewa taarifa na wasaidizi wake kuhusu hali yake, ndipo akaamua kumtembelea na baada ya muda mfupi tukapewa taarifa za kupelekwa Appolo. Kwa hiyo, tujitendeeni haki wanaJF na tuendelee kuzitendea haki nafsi zetu kwa kutafuta ukweli na kuuweka wazi.
 
Hivi nini hasa kinachomsumbua Dr. Mwakyembe? ni kweli alilishwa pottassium cynide kama inavyodaiwa na mmoja wetu humu humu JF...ninavyofahamu mimi...sumu hiyo huwa inakuwa administered kwa mtu aliyepewa adhabu ya kifo kwa lethal injection na hasa hasa kazi yake huwa ni kusimamisha mapigo ya moyo...kama ni kweli mwakyembe alilishwa hiyo sumu pale mlimani city basi asingekuwa hai mpaka leo hii.
 
Report ya hospitali aliyokuwa akitibiwa huko India si anayo yeye? Kamwulize kilichogunduliwa. Kuna sababu gani ya kuandikia mate ilihali wino upo tena umejaa chupa nzimo.
 
JB kasema ni POLLINIUN 237, sasa sijui ni sawa na hiyo ulotaja hapo, wakemia wanajua zaidi.
 
JB kasema ni POLLINIUN 237, sasa sijui ni sawa na hiyo ulotaja hapo, wakemia wanajua zaidi.

Mkuu hata kama sio hiyo hivi kweli nchi yetu imefikia hatua ya kutoana roho kwa sababu ya siasa!
 
Haya bwana yangu macho na masikio

kama ni bomu basi ndio limetegwa any time T chochote chaweza tokea

eeeee mungu muepushie mbari Mh Dr,mpiganaji Mwakyembe na kile tunachokifikilia kwa sasa

mungu yuko nae na atamsaidia tu
 
Back
Top Bottom