Lowassa kawapiga watu changa la macho, na aliyemfanikisha ni Mwakyembe kwani angeweza kumminya mpaka watu wapate criminal case, lowassa atupwe lupango, hakufanya hivyo, kamuachia amestaafu analipwa pensheni. Anajitetea kwa techicalities za "natural justice' ambazo zingeweza kutokuwepo kama Mwakyembe angefanya kazi yake kwa umakini.
Oyaah...Mkuu FP...heri ya siku kuu mazee
tatizo ni kukariri kuwa ili due process na due diligence ya natural justice kwenye hii skandali only ingekamilika kwa kumhoji Lowassa......
Facts zote za kum-criminate Lowassa hadi kumfikisha lupango zipo.......CCM imeamua kumkingia kifua kwani ilikuwa ni balaa lao kuelekea uchaguzi........Juzi Lowassa kakiri mwenyewe kikaoni..........
FP........... hivi uliisoma ile ripoti kweli?...........
Kiranga,
..hata mimi nilikuwa disturbed sana na statement ya Dr.Mwakyembe aliposema, "kuna mengine nimeyaacha..."
Mkuu labda hukuelewa.. Lowassa alimpigia simu JK kuufuta Mkataba ambao tayari ulikwisha pita kwa nguvu yake na JK alijua mipango yote hiyo..Hakuna mradi unaokuja nchini JK hajui hata kama sii wake maana yupo ktk kundi lao. Kikwete akamwambia anapata ushauri toka kwa makatibu wake hivyo hili swala hadi kufikia kuuziwa Dowans JK na Lowassa walijua kinafanyika nini..Kuna mtu kaweka uzi hapa kwamba Lowassa kamzodoa JK live kwenye kikao cha CCM (NEC?) kwamba yeye Lowassa alimpigia simu JK kutaka mkataba uvunjwe, JK akatingisha kichwa kuashiria ni kweli.
Lowassa anajiosha kwamba yeye alimpigia simu JK ili mkataba wa Richmond usikubaliwe na serikali, sasa kama Mwakyembe angemhoji kikamilifu kabla ya kuandika ripoti hizi he say she say zisingekuwepo. Tungejua ukweli.
Lakini kwa sababu Mwakyembe hakufanya due diligence, tuna dilly dally kwenye trivial tricks and troubling technicalities.
watu gani wapate criminal case? nyie mnao msapot lowassa? kwa nini hujiulizi takukuru lini imetoa matamko ya uchunguzi wa watu wote wanao tuhumiwa na ufisadi? zaidi ya propaganda za akina mramba na yona na liyumba? epa wako wapi? kagoda wapo wapi, richmond? meremeta etc!! ungekuwa ww au mie tusingefungwa? double standards!, je wezi wengine wapewe muda warudishe pesa?
lowassa ni fisadi papa kiasi kwamba hata system nzima inamuogopa. kwangu mwakyembe TU!! alidhubutu, au unataka tukupe data za mkewe akihaha kwa mwakyembe nyumbani kuokoa hiyo skendo? acheni nyie jamani. LOWASSA HAFAI NI FISADI
Kuna mtu kaweka uzi hapa kwamba Lowassa kamzodoa JK live kwenye kikao cha CCM (NEC?) kwamba yeye Lowassa alimpigia simu JK kutaka mkataba uvunjwe, JK akatingisha kichwa kuashiria ni kweli.
Lowassa anajiosha kwamba yeye alimpigia simu JK ili mkataba wa Richmond usikubaliwe na serikali, sasa kama Mwakyembe angemhoji kikamilifu kabla ya kuandika ripoti hizi he say she say zisingekuwepo. Tungejua ukweli.
Lakini kwa sababu Mwakyembe hakufanya due diligence, tuna dilly dally kwenye trivial tricks and troubling technicalities.
......Mediocrity inashangiliwa kwamba ni ushujaa. This explains our poverty.
Hivi kamati ya Mwakyembe haijawahi kutoa sababu kwa nini hawakumhoji Lowassa? Nakumbuka kama waliwahi kujibu swali hili....labda ingetupatia mwanga zaidi
mediocrity ni pamoja na minds kukubali kubambika vitu mahala si pake.........and that further explains our inability to understand different scenarios under different circumstances.......thus it starts with Lowassa.....then inafuatia wale wasioelewa due diligence na due process kuhusu natural justice............specifically kwenye hii skandali..........
Hata kama walipata habari zote walizohitaji bila kumhoji Lowassa (sijui wangewezaje kufanya hili, being that Lowassa alikuwa PM and heavily implicated) bado kuna swala zima la fairness, kila habari ina pande mbili, kwa nini uchukue upande mmoja na kuandika ripoti bila kusikiliza upande mwingine?
Hata kwa sababu ya kuepuka tu hivi vilio vya "natural justice" kutoka kwa Lowassa, wangemhoji, ili kesho keshokutwa asije kulia "natural justice" ilikosekana.
Kwa kutomhoji Lowassa, hata kama Lowassa ana makosa kweli, Mwakyembe kampa msemo Lowassa. Mtu makini alitakiwa ku cover mianya yote ya malalamishi.
Justice must not only be done, it must seem to be done.
Mkuu lakini kumbuka kuwa mwisho wa siku ktk ripoti ile Lowassa hakuhukumiwa zaidi ya kuambiwa "apime mwenyewe" uzito wa sakata lile, na yeye akapima na kuamua kuachia ngazi!
Wasiwasi wangu ni wakati tunazungumzia natura justice kutotumika dhidi ya Lowassa hatuitumii dhidi ya tume ya Mwakyembe...
Ukimpa Lowassa technical disputations, obviously hujafanya kazi yako vizuri....
Kama hujafanya kazi yako vizuri, hujafanya due diligence.....
.....Kama hujafanya due diligence, kazi yako ni mediocre.......
........Simlple like that, kazi thorough ingem nail Lowassa squarely and accordingly, hili halikufanyika, kaachiwa vi loophole vya kujiuzulu na kuendelea kupata pensheni badala ya kulia lupango....
.......Ukibisha hili ni kwa sababu tuna tabia ya ku simplify complex situations. Hata mwizi naye anahaki ya kujitetea, sio tu kujitetea, bali kujitetea timely in the process. Ukimnyima haki hiyo mahakama inaweza kutupa kesi, sio kwa sababu huyu mwizi anayejulikana si mwizi, bali ile process yako ya kumkamata ina holes.....
Ogah,
..hebu tueleze basi kwanini unafikiri kulikuwa hakuna umuhimu wa kumhoji Lowassa.
..je, ni key figure gani mwingine ktk scandal ile ambaye hakuhojiwa lakini kamati ikapendekeza hatua za kuchukuliwa dhidi yake, au kujichukulia["kujipima mwenyewe"]??