wote tunajua JK ni dhaifu......mambo mengi hayajui.......kwa hiyo anategemea sana washauri wake.....Chief Advisor Lowassa alimshauri vibaya JK.......na hakuwepo wa kutia mguu across kuhusu ushauri wa Lowassa.......na wakati wake Lowassa ukiwa against naye....unajua litakalokukumba..........
Lowassa kala jeuri yake....asitake kusingizia Natural Justice hapa.............
Kamati ya Mwakyembe ilifanya due diligence na kujihakikishia/kujidhihirishia beyond reasonable doubt kuwa Lowassa alipindisha sheria..........
Shauri lile halikupitia Cabinet.......
Mkuu sidhani penginemimi sielewi taratibu lakini navyojua mimi kazi ya Mwakyembe ilikuwa kutafuta ukweli kuhusiana na mkataba wa Richmond not who is involved maana kabla ya kuchaguliwa kamati hii hawakuwa wakiamini ama wakidai wao Lowassa ni mtuhumiwa isipokuwa madai yaliletwa..Huwezi kusema Kamati ambayo imepewa mandate ya kumhoji PM corrupt, halafu haikufanya hivyo, kiasi cha kumpa huyu PM msemo wa ku invoke technicality ya a timely opportunity at natural justice, imefanya "due diligence".
Not if you understand what "due diligence" is.
"Due diligence" pertains exhausting all the available avenues to make sure things don't go wrong.
Mwakyembe ilitakiwa apige ribit Lowassa ashindwe hata kupata kisingizio cha kusema "Natural Justice", hakufanya hivyo, kampa Lowassa loophole ya kusema habari zote hizi za "Natural Justice".
Huwezi kusema Mwakyembe ka exhaust "due diligence" hapa. Kama hii ndiyo idea yako ya "due diligence" mjengoni kwangu ukifanya mistake kama hii unapigwa chini vizuri tu.
Mkuu sidhani penginemimi sielewi taratibu lakini navyojua mimi kazi ya Mwakyembe ilikuwa kutafuta ukweli kuhusiana na mkataba wa Richmond not who is involved maana kabla ya kuchaguliwa kamati hii hawakuwa wakiamini ama wakidai wao Lowassa ni mtuhumiwa isipokuwa madai yaliletwa..
Hivyo kazi ya Mwakyembe ilikuwa kutafuta ukweli kuhusu mkataba wa Richmond
na wakadhihirisha kweli ulikuwa feki na kuwataja wahusika ambao bunge lilitakiwa kuwaita na kuwahoji ndivyo utaratibu
unavyofanyika huku kwetu yaani sasa inachaguliwa kamati ya nidhamu ambayo ndio inatazama ushahidi uliopatikana.
Sema ktk kukusanya ushahidi huo mchunguzi anaweza kuchukua report yako ama asichukue na akachukua ya mwingine
inategemea na ushahidi uliopo una nguvu gani.
Kama vile sisi tunapokwenda andika statement Polisi pale unaweza sema na kujibu maswali lakini wao Polisi wana weza kutowahoji baadhi ya watu wengine kwa sababu ushahidi wako unatosha kufungulia kesi dhidi ya mshtakiwa.
Hivyo Target haikuwa Lowassa bali Richmond
na ushahidi ulitosha kwa kamati ya Mwakyembe kuwakilisha kazi waliyopewa kwamba Mkataba wa Richmond haukuwa halali,
kuhusika kwa Lowassa ama watu wengine haikuwa kazi yao kuwafungulia mashtaka..Ndivyo nilivyo elewa mimi..
Post nzima inamezwa na hii maneno nyekundu..!! Huko kote ni unafiki wa habari tu.. Mwanakijiji na wewe wacha kuunga unga sentensi unatupotezea wakati !!!!Kama ume notice mimi naongea process, siongei personalities. Naongea due process na timely dispensation of opportunity for natural justice, na kuzuia mianya ya malalmiko hata kabla hayajatokea na "justice must not only be done, it must also seem to be done". Kwa hiyo kati yangu mie na hao wanaosema "Lowassa was corrupt, served him right" wao ndio wanaoongea mtuhumiwa badala ya process.
Ambayo wangeweza kuifanya kwa ukamilifu zaidi na kuziba mianya ya ulalamishi kama wangemhoji mmoja wa wahusika wakuu, Lowassa. Kwa nini hawakumhoji, nimeuliza several times hapa, sijapata jibu.
Unachunguza Richmond, deal linamu implicate PM in a big way, unaandika ripoti bila kumhoji? Kwa nini?
Huwezi kukamilisha process ya discovery kabla ya kuwahoji watuhumiwa. Kama kuna figures nyingine nyingi ambazo Lowassa kutokana na security clearance ya Uwaziri Mkuu alizijua, na wengine wa chini yake kwa kuwa hawakuwa na security clearance hawakuzijua Mwakyembe haoni kwamba kwa kutomhoji Lowassa anakuwa kaandika ripoti isiyo kamilisha jukumu lake moja la fact finding ?
Mahojiano na Lowassa nayo yalitakiwa kuwa ushahidi, lakini Mwakyembe kwa kutomhoji Lowassa katunyima ushahidi huu. Kamwachia Lowassa aseme hataki kujitetea, Watanzania tumekosa kujua mambo mengine ya ndani ya sakata hili.
Sawa, lakini kuacha kuchukua story ya Lowassa kama kamati ni udhaifu, kwa sababu Lowassa alikuwa mtu key katika deal hili.
Ushahidi ulionyesha kwamba Lowassa alikuwa implicated sana, mpaka vimemo kawaandikia kina bangusilo Msabaha. Sasa kwa nini Mwakyembe hakumuhoji Lowassa ili kumshurutisha ajibu maswali ya msingi na kujenga a watertight case pamoja na kuhakikisha Watanzania wanapata habari yote na sahihi?
Sawa, hili lingewezekana kama Lowassa angekuwa ni some peripheral person. Lowassa alikuwa PM, mtu mkubwa sana katika deal hili, utamuachaje huyu?
Ambayo Lowassa alihusika sana.
Jukumu lao halikuwa kutafuta the minimum amount of ushahidi utakaotosha kufungua mashauri, kazi yao ilikuwa kupata habari zote kadiri walivyoweza, kumhoji Lowassa kungewawezesha kupata habari nyingine ambazo labda hawakuzipata kabla, kama vile deal lilikuwa na baraka zote za rais. Mwakyembe aliogopa kum implicate Kikwete? Aliliona hili na ndiyo maana alikwepa kumhoji Lowassa katika kamati?
Katika objectives za kamati, moja ilikuwa ni kupata habari kamili za hili sakata. Kwa kutomhoji Lowassa kamati imejinyima na kutunyima watanzania nafasi ya kupata habari kamili, instead imemuachia Lowassa atupe habari kwa terms zake, Lowassa kakataa kujitetea, kajiuzulu.
Watanzania tumekosa kujua ukweli kwa sababu ya uzembe/ uoga wa kamati ya Mwakyembe.
malalamiko au kilio cha Lowassa kuhusu Natural Justice.......ni kilio cha mbwa aliyekamatwa kaiba nyama.........na anajua kabisa atawa-catch watu fulani kuhusu hilo...........kazi ya kamati ya Mwakyembe haikuishia kuandika ripotu tu..........
Kamati ya Mwakyembe walifanya kazi beyond due diligence.......due diligence yao haiwezi kuwa nulified kwa kutomhoji Lowassa pekee............kama ni watu wa kuhojiwa walikuwepo wengi sana......kama facts walizo-present kwneye ripoti (kuhus Lowassa) ziko disputed kirahisi rahisi then unaweza ku-question due diligence ya kamati............
Nilisema huko nyuma.......Mazingira ya Natural Justice ni muhimu yakawa defined........na sio watu kupayuka payuka tu kwa kuwa wanajua neno "Natural Justice"......na naona Lowassa kawazidi akili......kwa kuyumbisha brain za watu hapa JF......eti Natural Justice........
Lowassa alikuwa na nafasi ya kujieleza bungeni........yeye si ana balls....lakini akaamua kuzima balls zake na kukimbia dhoruba ambayo for sure alijua inamuangukia...........hata kama angemsema JK pale bungeni.......zali lile lilikuwa lake..........
Kamati ya Mwakyembe ilipewa ToR...........ni ilifanya kazi kama ilivyokusudiwa...........PERIOD
Mkuu kwangu mimi haya ya Natural Justice kwa kuchukua ya waingereza au Wamarekani wanasema nini kusema kweli siwezi kutoa comment isipokuwa nachukulia Natural justice kwa society yangu. Na sio lazima kuwepo na justice done maana hatuna bali kusamehe na kazi ya Mungu. Hivyo alichoweza kufanya Mwakyembe ni kuepuka kuwa bias ili maswala haya yataamuliwa na vyombo vinavyohusika na sheria... Yeye ana present tu ushahidi aloufanya, aidha Richmond itafunguliwa mashtaka, kufukuzwa, kutaifishwa mali zake au kuendelea na Mkataba mpya hilo halikuwa pia jukumu lake bali kuonyesha mkataba ulikuwa haramu na mbinu chafu zilifanyika.QUOTE=Kiranga;3052096]Kama ume notice mimi naongea process, siongei personalities. Naongea due process na timely dispensation of opportunity for natural justice, na kuzuia mianya ya malalmiko hata kabla hayajatokea na "justice must not only be done, it must also seem to be done". Kwa hiyo kati yangu mie na hao wanaosema "Lowassa was corrupt, served him right" wao ndio wanaoongea mtuhumiwa badala ya process.
Kuhusu kumuhoji Lowassa sidhani kama wangeweza maana Hata Rostam alikataa kuhojiwa na bunge halikumfanya kitu... Msabah hakuweza kumtaja mhusika isipokuwa kuashiria alioshinikizwa na nguvu kutoka juu tena yeye akasema wazi kwamba Lowassa alimwambia kama haiwezekani kwani mkataba unaweza kupewa shirika jingine? hii bado haimuhusishi Lowassa moja kwa moja..Ambayo wangeweza kuifanya kwa ukamilifu zaidi na kuziba mianya ya ulalamishi kama wangemhoji mmoja wa wahusika wakuu, Lowassa. Kwa nini hawakumhoji, nimeuliza several times hapa, sijapata jibu.
Report ya MwakyembeUnachunguza Richmond, deal linamu implicate PM in a big way, unaandika ripoti bila kumhoji? Kwa nini?
hapana Lowassa sio mtuhumiwa bali ni serikali kesi ilikuwa the government against Richmond na maadam hawa wapo na Richmond basi wangekuwa mashahidi wa Richmond na ndipo sisi tungeenda kuwahoji lakini kinyume cha hapo hatukuwa na haja.. isipokuwa angeshtakiwa kwa kosa la kutumia vibaya madaraka nje kabisa ya kesi hiyo..Huwezi kukamilisha process ya discovery kabla ya kuwahoji watuhumiwa. Kama kuna figures nyingine nyingi ambazo Lowassa kutokana na security clearance ya Uwaziri Mkuu alizijua, na wengine wa chini yake kwa kuwa hawakuwa na security clearance hawakuzijua Mwakyembe haoni kwamba kwa kutomhoji Lowassa anakuwa kaandika ripoti isiyo kamilisha jukumu lake moja la fact finding ?
Hii tutazunguka wee lakini sio lazima maadam ushahidi umeshaonyesha Richmond ilikuwa kampuni fake haijalishi tena ushahidi zaidi ya kesi hiyo. Mwakyembe alikuwa na hard evidence kuonyesha mkataba haukuwa halali - kazi yake imekwisha, hayo ya who's who haikuwa kazi yake..Sasa kama Bunge lingetaka kujua ukweli ndio wao wangechagua kamati kama hakuna ya miiko na maadili au nidhamu, kuisoma report na kuchukua hatua ya kuwafungulia case iwe natural aau mtakavyoiita na hawa ndio wangemhoji..Mahojiano na Lowassa nayo yalitakiwa kuwa ushahidi, lakini Mwakyembe kwa kutomhoji Lowassa katunyima ushahidi huu. Kamwachia Lowassa aseme hataki kujitetea, Watanzania tumekosa kujua mambo mengine ya ndani ya sakata hili.
Majuzi tu kulitokea kuvuja kwa mafuta ya Shell offshore Marekani. wakapelekwa wachunguzi ambao walihoji wananchi, wafanyakazi wa Shell na kadhalika lakini report haikuwa na maelezo ya CEO wa Shell wala viongozi wa juu lakini hawa waliitwa bungeni na kuja kujieleza wao kisha case ikapelekwa mahakamani na wakatozwa faini kufidia na kuhakikisha kitu kile hakiwezi kutokea tena. Zipo case kibao za bunge ambazo mhusika mkuu hakuhojiwa hadi ameitwa na bunge wakati sisi tumeshasoma ktk report kuhusika kwake. Hapa Canada kulikuwa na case ya PM Brian Moloney, PM Chretien,na hata Martin hawa wote waliitwa bungeni bila kuhojiwa kwanza kwa sababu bungeni sio mahala pa kutoa hukumu kama criminal cases, utaratibu wake ni tofauti hawahitaji hard evidence bali kukusanya ushahidi unaoonyesha uzembe na kadhalika kulingana na tuhuma. hawana concrete proof fo anything..wanatazama vitu with an open mind ili kujua makosa yako wapi, kama wahusika wamevunja miiko na maadili ya uongozi na wakiona wana case ya kiserikali ndio ataombwa PM kujiuzulu unless kama kuna criminal cases hapo inaingia hatua nyingine..Sawa, lakini kuacha kuchukua story ya Lowassa kama kamati ni udhaifu, kwa sababu Lowassa alikuwa mtu key katika deal hili.
haikuwa kazi ya Mwakyembe isipokuwa huyu ni PM na hachukuliwi kama raia wa kawaida kuna taratibu zake na hawezi kuchukuliwa kama criminal au muuaji wakati swala ni kutafuta ukweli wa Richmond sio kumkamata Lowassa.Ushahidi ulionyesha kwamba Lowassa alikuwa implicated sana, mpaka vimemo kawaandikia kina bangusilo Msabaha. Sasa kwa nini Mwakyembe hakumuhoji Lowassa ili kumshurutisha ajibu maswali ya msingi na kujenga a watertight case pamoja na kuhakikisha Watanzania wanapata habari yote na sahihi?
Haswaa labda tuliulize Bunge walimwachaje Lowassa hadi leo tumefikia kurudia mkataba na shirika jingine wakati kulikataa Dowans na marufuku kuzungumziwa bungeni.. hii ndio Natural justice heee!..icaseSawa, hili lingewezekana kama Lowassa angekuwa ni some peripheral person. Lowassa alikuwa PM, mtu mkubwa sana katika deal hili, utamuachaje huyu?
Majibu ya yote haya yangepatikana bungeni na maadam tumeamua kuua kesi kwa nini tunamlaumu Mwakyembe ambaye kaifanya kazi ipaswavyo. Hii ni kamati tu ambayo inaweza undwa nyingine ikafanya kazi upya ama vinginevyo.. Mbona tunazo zaidi ya kamati 9 zilizohusiana na swala kero za Muungano tu na kamati zote hazikuwahoji wakubwa wote wa pande mbili hata kama inaonyesha fulani ni mhusika wa upande fulani.. Hizi report huletwa kisha zinatakiwa kufanyiwa kazi na sio kutupwa chini ya uvungu...Jukumu lao halikuwa kutafuta the minimum amount of ushahidi utakaotosha kufungua mashauri, kazi yao ilikuwa kupata habari zote kadiri walivyoweza, kumhoji Lowassa kungewawezesha kupata habari nyingine ambazo labda hawakuzipata kabla, kama vile deal lilikuwa na baraka zote za rais. Mwakyembe aliogopa kum implicate Kikwete? Aliliona hili na ndiyo maana alikwepa kumhoji Lowassa katika kamati?
Hivi kweli ukitaka kumkamata Ghadaffi kwanza unamhoji?..ama unakusanya ushahidi wa uongozi wake kisha unamweka kizimbani atajieleza mbele ya baraza..Lowassa sii Mkandara mkuu wangu inaonyesha unasahau hilo.Katika objectives za kamati, moja ilikuwa ni kupata habari kamili za hili sakata. Kwa kutomhoji Lowassa kamati imejinyima na kutunyima watanzania nafasi ya kupata habari kamili, instead imemuachia Lowassa atupe habari kwa terms zake, Lowassa kakataa kujitetea, kajiuzulu.
Kweli maneo yako tumekosa kujua kwa sababu CCM hawakutaka tuujue ukweli ila kupoza hasira za wananchi ambao wanahuruma na wepesi kusahau. Lowassa hakuwa na sababu ya kuwa waziri mkuu ikiwa bado ataweza ku function nje ya ofisi. Kwa hiyo imekula kwetu sisi maana Lowassa yupo na atapigania urais mwaka 2015 kwa matakwa ya CCM.Watanzania tumekosa kujua ukweli kwa sababu ya uzembe/ uoga wa kamati ya Mwakyembe.
Unapoangalia hili kwa context ya Lowassa unakosea, mie naongelea processes na precedents, proper procedures na power politicking.
Utabakia kuridhika na Lowassa kujiuzulu wakati the deeper issue ni Kikwete na nchi kuendeshwa bila kufuata rule of law.
Kama tunaridhika ma maigizo rahisi kama haya ya Mwakyembe anaweza kujiuzulu kila waziri mkuu na tusifike popote. Kwa sababu watu watajua the worst that could happen to a PM ni kujiuzulu, kama kuna deal ya kusanuka uzuri wanasanuka, the worst is kujiuzulu.
Mwakyembe angefanya kazi yake vizuri Lowassa angeweza kufungwa na Kikwete kukutwa na grounds za impeachment.
Tatizo tunaridhika na vitu kirahisi.
Siridhiki kujiuzulu Lowassa pekee.....lakini kumtetea Lowassa kwa mlango wa Natural Justice......ni kujaribu kuwa ignorant wa facts on the ground na kazi iliyopewa kamati ya Mwakyembe....of which.......... in my opinion is the worst position ever......ku foregone principle za uongozi bora tulizonazo eti kwa kisingizio ambacho HAKIPO in the first place......huko ndiko ninakokuita kukubali vitu kirahisi rahisi.........
wewe unafikiri kwa bunge lile kungekuwa na impeachment ya President.....eti kwa Lowassa kuelezea wazi kile ambacho alikisababisha na alikianzisha mwenyewe...........
Nilishasema JK is not that smart....hata uwepo wake kwenye uongozi ni matokeo ya maamuzi yetu Watanzania.........
Due process ilifanyika kama ilivyokusudiwa..........hakuna cha precedent whatsoever.......kwa wale watakaofanya reference ya hili suala la Lowassa.....eti Natural Justice........watakuwa na matatizo ya uelewa kuhusu suala hilo.........
Okay mbona Lowassa naye kaumauma maneno na mna muamini wakati hakusema yote ila mnafikiria JK anahusika I mean ndiye mhusika haswaa..Lowassa ni msafi. Iweje Mwakyembe awe hakumfanyia haki Lowassa lakini Lowassa kajitakasa kwa kusema vitu ambavyo vina mafumbo na katembea sana makanisani kujisafisha..Inaonekana hunielewi kabisaaaaaa kama unafikiri namtetea Lowassa.
Naona huwezi kutenganisha kutetea due process na kumtetea Lowassa, mtu yeyote atakayetetea due proces anamtetea Lowassa.
Naona pia unafungwa na despair ya political system yetu. Ndiyo inawezekana bunge impeachment isingewezekana, hilo linatuzuiaje ku validate grounds za impeachment? Kwa kuogopa hata kuzungumzia grounds za impeachment wewe hujitofautishi na bunge hilo.
Isitoshe, bunge ambalo hujalijengea kesi ya impeachment na kulipa nafasi hiyo huwezi kuli prejudge.
JK is not that smart, na hii ilikuwa nafasi ya kumu expose, Mwakyembe kaifuja.
Due process haikufuatishwa with due diligence,ndiyo maana Lowassa kapata msemo wa "natural justice". Mwakyembe angefuatisha due process with due diligence, Lowassa asingepata msemo na Kikwete angekuwa impeachable. Mmepigwa changa la macho hata lisilo siri, Mwakyembe kasema kabisa "mengine siandiki humu" yapi? Kwamba Kikwete kahusika?
Precedent ipo, kesho keshokutwa mtu atapewa kamati ya bunge ataangalia kamati zilizopita zimefanyaje, ataangalia Mwakyembe alifanyaje. Huwezi kukataa kwamba hii ime set precedent. Ndiyo mara ya kwanza scandal inamtoa PM madarakani, utasemaje hai set precedent? Unaelewa maana ya precedent?
Matatizo ya uelewa unayo wewe unayeona swala la natural justice ni "suala la Lowassa" na unashindwa kuliangalia hilo kutoka upande wa due process.
Acha kuangalia personalities, angalia processes.
Inaonekana hunielewi kabisaaaaaa kama unafikiri namtetea Lowassa.
Naona huwezi kutenganisha kutetea due process na kumtetea Lowassa, mtu yeyote atakayetetea due proces anamtetea Lowassa.
Naona pia unafungwa na despair ya political system yetu. Ndiyo inawezekana bunge impeachment isingewezekana, hilo linatuzuiaje ku validate grounds za impeachment? Kwa kuogopa hata kuzungumzia grounds za impeachment wewe hujitofautishi na bunge hilo.
Isitoshe, bunge ambalo hujalijengea kesi ya impeachment na kulipa nafasi hiyo huwezi kuli prejudge.
JK is not that smart, na hii ilikuwa nafasi ya kumu expose, Mwakyembe kaifuja.
Due process haikufuatishwa with due diligence,ndiyo maana Lowassa kapata msemo wa "natural justice". Mwakyembe angefuatisha due process with due diligence, Lowassa asingepata msemo na Kikwete angekuwa impeachable. Mmepigwa changa la macho hata lisilo siri, Mwakyembe kasema kabisa "mengine siandiki humu" yapi? Kwamba Kikwete kahusika?
Precedent ipo, kesho keshokutwa mtu atapewa kamati ya bunge ataangalia kamati zilizopita zimefanyaje, ataangalia Mwakyembe alifanyaje. Huwezi kukataa kwamba hii ime set precedent. Ndiyo mara ya kwanza scandal inamtoa PM madarakani, utasemaje hai set precedent? Unaelewa maana ya precedent?
Matatizo ya uelewa unayo wewe unayeona swala la natural justice ni "suala la Lowassa" na unashindwa kuliangalia hilo kutoka upande wa due process.
Acha kuangalia personalities, angalia processes.
Okay mbona Lowassa naye kaumauma maneno na mna muamini wakati hakusema yote ila mnafikiria JK anahusika I mean ndiye mhusika haswaa..Lowassa ni msafi. Iweje Mwakyembe awe hakumfanyia haki Lowassa lakini Lowassa kajitakasa kwa kusema vitu ambavyo vina mafumbo na katembea sana makanisani kujisafisha..
Pili, Lowassa kama kweli mwanamme kwa nini anazuia swala hili zlisijadiliwe bungeni? kujadiliwa tu ili ukweli upatikane hatutaki kumhukumu bali tunataka lijadiliwe..Yeye sii mbunge? kuna taabu gani hadi wamfukuze Sitta.
Tatu, Je, kama Mwakyembe yale maneno mnayofikiria hakuyasema yanahusiana na maisha yake yeye mwenyewe maana kumbuka alipoyasema haya alikuwa akizungumzia hali alokutana nayo na matatizo yake wakati akihusishwa yeye kuchukua hongo ama kuwa na taarifa iliyopikwa..Vipi kama alitishiwa maisha yake na hakutaka kuyaweka haya katika maandishi kama ambavyo viongozi wengine kina Zitto hawaweka ktk report zao.
Precedent kwenye masuala mengine YES.......lakini sio suala la Natural Justice..........
Kwa Kamati ya Mwakyembe kutoandika baadhi ya mambo kwenye ile ripoti..........haikuwa changa la macho kwa walioifuatilia ripoti........usingweza kumu-isolate JK kwenye ile scandal.......it was so obvious kwa waliofuatilia ile presentation.........
......Lowassa........kawapiga nyie changa la macho kwa kupenyezea neno "Natural Justice".....mahala ambapo hapastahili.......na nyie mmeingia kichwa kichwa............kwani due process na due diligence zilifanyika...........
Kwenye Kazi ya kamati ile ya Mwakyembe..........due proceess na due diligence kwenye Natural Justice.......... haiondolewi kwa kutomhoji Lowassa........
Hii nimeipenda sana.. duh haaaa! haaa! haaaa !Obviously hunisomi, kama unanisoma hunielewi, kama unanielewa unapindisha makusudi na kama hupindishi makusudi una karama ya aina ya pekee ya kuvurunda mambo serendipitously.
Sio kweli sijasema wewe unamtetea Lowassa mkuu wangu bali mimi ndiye mnamtetea Mwakyembe....Na kusema tulikwama wapi...Swali lako la pili limeulizwa kama mie namtetea Lowassa, na mie si mtetezi wa Lowassa. Hilo ni swali kwa Lowassa
Mpaka hapo umeonyesha ulikuwa hunifuatilii naongelea precedent katika context gani. Na kama kuna precedent kwa maswala mengine, kwa nini Waziri Mkuu mwingine asibutuke na deal kubwa hivi hivi, kisha aundiwe tume, badala ya kuhojiwa na kufungwa, apelekwe bungeni na ajiuzulu kisiasa na kisha kulia natural justice, in theory. Imewezekana kwa Lowassa. Kama hamtaki kuwahoji wahalifu kwa nini wasituchezee halafu adhadu kujiuzulu, with full benefits, watashindwa nini?
Lowassa ni kama mfanyakazi mwizi aliyeshikwa kwa circumstantial evidence wakati kuna mtu alikuwa na uwezo wa kumshika red handed, sasa baada ya kushikwa analalamika kaonewa, anajiuzulu kazi. nyie mnafurahiii kwamba kajiuzulu na wale wanaosema "Jamani, wait a minute, uchunguzi haukufanyika sawia, huyu mtu tungeweza kumkamata red handed tukamfunga na hela za kampuni akarudisha" mnaona eti wanamtetea Lowassa.....
.......... Lowassa alikuwa ni key figure katika hili scandal, ili kupata a full and fair picture, ili ku maintain integrity ya process ya kamati, ili sio tu kutoa haki, bali pia kuondoa shaka yoyote kwamba haki imetendeka, kamati ilitakiwa kumuhoji Lowassa.
Kwa kutomhoji Lowassa, kamati imempa msemo Lowassa, kwamba hakupewa timely opportunity kutoa story yake, na kwa sababu "justice delayed is justice denied" Lowassa anapata ubavu wa kusema kakoseshwa haki yake, all that kwa sababu Mwakyembe hakufanya due diligence yake kuhakikisha anachukua approach ya "leave no stone unturned" kwa sababu one simple twist in the tale could change the whole plot....
...precedence nyingine zaweza kutumika ......lakini hakuna precedence ya Natural Justice kwenye hili scandal.......akitokea Wiziri Mkuu akapiga skandali akitegemea kuwa asihojiwe eti kwa kuwa EL (former PM) hakuhojiwa....atakuwa mpuuzi, limbukeni na kichekesho........
...watu lazima wawaone mnamtetea kwani nyie mnaona......."circumstantial evidence"......wakati kuna "hard evidence".......na hapo ndio uijue vizuri serikali ya CCM ilivyo......bado EL anapeta na masurufu ya ustaafu anapata........
Kwa wanaojua "timely opportunity" and/or "justice denied is justice delayed"........hili jambo/misemo hai-apply kabisa kwa Lowassa na hii scandal......Lowassa anachotakiwa kufanya ni kuja mbele ya wananchi na kusema.......... "I'M SORRY"
Pili.....due process and due diligence zilifanyika.......na kwa sababu hiyo na kwa namna yeyote ile hakuna twist yoyote ile inayoweza ku-change facts zilizokuwa found na kamati and kumuona Lowassa au vitendo vyake otherwise.........
Lowassa kawapiga changa la macho watu mmeingia kichwa kichwa..........
Kiranga,
Umeshinda. Mwakyembe alikua mzembe au aliamua kua mzembe au waliambiwa wawe wazembe kwa makusudi.
Laiti wangemhoji Lowassa labda Lowassa angekua kama akina mramba au mkuu asingekuwepo au Lowassa angebakia waziri mkuuu au mkuu angekua bado yupo mpaka sasa.
LABDA zote hizi hakuna mwenye jibu kwa sababu shujaa wetu! Mwalimu wa chuo kikuu mwenyye degree zote za sheria muhimu mpaka ile ya juu alizembea na kamati yake.
Leo hii Lowassa ana pa kuponea ila sisi kwa personal politics issues hatutaki, tunamhukumu kwa one sided story.
Kiranga, mkuu Bob na OGAH wana kile "don't confuse me with the facts my mind is made up"
Kwahiyo ndugu yangu unapoteza muda wako bure.