Katika hali ya kushangaza na kusikitisha, kuna tetesi kwambaDr Mwakyembe Mbunge wa Kyela amejikuta anapata kashfa na aibu kubwa jimbonikwake Kyela baada ya kutoa na kuahidi misaada mbalimbali wilayani humo; ikiwani njia ya kujibu mapigo kwa Asasi na makamanda wa CHADEMA waliotoa misaada wilayani hapa.
Inasemekana kashfa na aibu ya kufungua mwaka 2013, imempatawaziri huyo baada ya kujifanya ametoa msaada wa magodoro 40 na mashuka 60kwenye hospitali ya wilaya ya Kyela, kumbe ni msaada uliotolewa na Kampuni yaBioland. Aidha, Dr Mwakyembe ameahidi kutoa madawati 180 kupitia mgongo wa benkiya NBC, tawi la Kyela, hata hivyo kuna taarifa kuwa benki hiyo imemkatalia yeyekuwa ndiye ametoa madawati hayo kwa kigezo kuwa benki haiendeshi shughuli zakekisiasa na itakabidhi msaada wa madawati hayo muda wowote itakapoona inafaa. Yote hayo alikuwa anajaribukujibu mapigo ya Asasi ya SCSA au Pambana Saidia Jamii iliyotoa madawati 100kwenye shule ya msingi Ikombe.
Kama haitoshi, Dr Mwakyembe akiwa kwenye mkutano wa hadharakata ya Ngonga karibu na nyumbani kwake aliahidi kutoa mifuko 100 ya sarujiakijibu mapigo ya Diwani wa CHADEMA, kamanda Tamali aliyetoa mifuko 20 kwenyekata hiyo. Ahadi hiyo imeibua hasira kubwa kwa wanakyela kutokana na ukweli kwamba mbunge huyo haonekani jimbonikwake na ahadi nyingi alizotoa jimboni hapa hakuna iliyotimizwa, ndio maana wanakyelahawana imani naye tena.
Kutokana na hali hiyo, kikao cha ndani cha dharura cha CCMwakiwemo wazee kiliitishwa wilayani hapa ambacho kilikuwa mahsusi kumuonya mbungekuhusu mambo hayo aliyofanya kwani ni kuwadanganya wananchi ikizingatiwa kuwaahadi nyingi alizotoa jimboni hapa hajatekeleza.
Upepo na hali ya siasa kwa mbunge huyo si shwali wilayanikyela kama lilivyokuwa 2010, tofauti na watu wengi wanavyodhani kupitia vyombovya habari akionekana mchapakazi kitaifa lakini jimboni kwake wamemchokakwasababu amelitelekeza jimbo lake.
Nawasilisha................
Source: Mdau kutoka Kyela.
hakuna jipya kutoa kwao ni kwa ajili ya matumbo yao kwani huyu akitoa mia na yule 20 kuna tabu gani,?
Pole sana,-una hoja dhaifu sana,paza sauti usikike.
Ahsante kwa Tetesi:
Lakini naomba nikukumbushe kwamba kwa hali ya sasa ya utendaji wa Dr. Mwakyembe tetesi kama hizi zitakuja nyngi kweli hapa, kwanza kutokana na kichwa chako sidhani hata kama ni kweli iitwe kashfa, ikumbukwe kwamba Mwakyembe kwa kipindi chake alichokaa kwenye wadhifa huo ameweza kuwazibia ulaji watu wengi sana hasa kupitia bandari, kwa mfano mapato ya bandari yameongezeka sana, hiyo ni dalili kuwa hapo mwanzo mfuko wa bandari ulitoboka, hivyo kuuziba hauleti raha kwa baadhi ya watu waluokuwa wakinufaika, hivyo kuibua hoja za kumchafua itakuwa si kitu cha kushangaza.
Pili kumbuka mwakyembe hajaanze leo kusakamwa sema hii itakuwa ni mbinu mpya tu, alipatiwa sumu, alipata ajali iliyoibua maswali, alitishiwa kuuwawa hata akajitikeza kwenye vyombo vya habari mabali na kwenda polisi.
Tatu, sidhani kama Mwakyembe anaweza akachukiwa na wanakyela kirahisirahisi hivyo, sijafika kyela kama miezi 6 sasa lakin ninavyowafahamu wanakyela kwa Mwakyembe hawawezi wakamchukia ghafla hivyo, kumbuka hata CHADEMA mwaka 2010 walisema hawana matatizo na mwakyembe kwani wanafanya kazi naye kama wanatoka chama kimoja, hivyo hata CHADEMA wanatambua sana kazi ya mwakyembe.
Pia, nakumbuka mwaka 2005 kwenye uchaguzi wa chama kuelekea uchaguzi mkuu, uliibua ugomvi mkubwa kati ya mwakyembe na aliyekuwa mbunge hapo awali, John Livingstone Mwakipesile, ule ugomvi haukuisha na si dhani kama umeisha hivyo moja kati ya watu mahasimu wakuu wa mwakyembe ndani ya kyela ni huyu jamaa, na bahati nzuri hata raia hawamkubali, kunasiku walimwambia hata akifa hawatamtambua!
Mimi sio muathirika hata kidogo, nasimamia ukweli na uhalisia wa mambo..........Ouote from Erythrocyte "Ukweli ni kwamba Dr Mwakyembe pamoja na uchapakazi wake huku kwenye uwaziri , Jimboni utendaji kazi wake ni hafifu mno , Tuwe wakweli , uhamasishaji wa maendeleo ni kama hakuna kabisa , Ni kweli kabisa kwamba Dr ana maadui wengi lakini hiyo isiwe kinga ya watu kushindwa kuhoji utendaji wake jimboni , kiukweli kilichombeba Mwakyembe Kyela ni ile Ripoti ya RICHMOND tu vinginevyo hakuna kitu , ule uhamasishaji wa kibunge kwa wananchi kujiletea maendeleo ni kama hakuna kabisa , Huo ndiyo ukweli hata kama hatupendi kuusikia ,na tetesi za chini ya carpet zinasema amekorofishana na wapambe wake wa siku zote, akina Richard Kirumbo & co ( wazee wa bia ) , kwa hiyo hata zile propaganda za kupofusha wanakyela ili wasione mapungufu ya Dr a.k.a INGAMBAKO hazipo tena ! Shortly ni kwamba pamoja na mazuri yote ya Mwakyembe, lakini kyela imemshinda ! Sasa tatizo sijui ni ugonjwa au uwaziri ? Yetu macho" .Muathirika mwingine wa maamuzi ya Mwakyembe Bandarini! amekuja na kashfa za kutunga za magodoro hahahahaha!
Kwangu mm wananchi ndo wamefaidika kwa sababu huduma zinaimarika regardless nani ametoa
Sina njaa wala dhiki hata kidogo naye Dr analijua hilo, ila nawapigania wanakyela, wenye dhiki ni wewe na wenzio msiokubali ukweli; tatizo lenu hamsomi alama za nyakati bado mna mawazo mgando tangia miaka ya 2010, hali imebedilika sana kyelaNjaa inakusumbua nenda kale huko
Haya magodoro na mashuka yamesha fika hospitali? kama yamefika huu sasa ni umbea kikubwa tuthamini kama yamefika kwa wananchi na kutumika sawia
Inawezekana pia sababu ya ugonjwa kama ulivyosema, vipi wapinzani nguvu yao ikoje hapo?Ahsante Dr. Ouote from Erythrocyte "Ukweli ni kwamba Dr Mwakyembe pamoja na uchapakazi wake huku kwenye uwaziri , Jimboni utendaji kazi wake ni hafifu mno , Tuwe wakweli , uhamasishaji wa maendeleo ni kama hakuna kabisa , Ni kweli kabisa kwamba Dr ana maadui wengi lakini hiyo isiwe kinga ya watu kushindwa kuhoji utendaji wake jimboni , kiukweli kilichombeba Mwakyembe Kyela ni ile Ripoti ya RICHMOND tu vinginevyo hakuna kitu , ule uhamasishaji wa kibunge kwa wananchi kujiletea maendeleo ni kama hakuna kabisa , Huo ndiyo ukweli hata kama hatupendi kuusikia ,na tetesi za chini ya carpet zinasema amekorofishana na wapambe wake wa siku zote, akina Richard Kirumbo & co ( wazee wa bia ) , kwa hiyo hata zile propaganda za kupofusha wanakyela ili wasione mapungufu ya Dr a.k.a INGAMBAKO hazipo tena ! Shortly ni kwamba pamoja na mazuri yote ya Mwakyembe, lakini kyela imemshinda ! Sasa tatizo sijui ni ugonjwa au uwaziri ? Yetu macho" .
Katika hali ya kushangaza na kusikitisha, kuna tetesi kwambaDr Mwakyembe Mbunge wa Kyela amejikuta anapata kashfa na aibu kubwa jimbonikwake Kyela baada ya kutoa na kuahidi misaada mbalimbali wilayani humo; ikiwani njia ya kujibu mapigo kwa Asasi na makamanda wa CHADEMA waliotoa misaada wilayani hapa.
Inasemekana kashfa na aibu ya kufungua mwaka 2013, imempatawaziri huyo baada ya kujifanya ametoa msaada wa magodoro 40 na mashuka 60kwenye hospitali ya wilaya ya Kyela, kumbe ni msaada uliotolewa na Kampuni yaBioland. Aidha, Dr Mwakyembe ameahidi kutoa madawati 180 kupitia mgongo wa benkiya NBC, tawi la Kyela, hata hivyo kuna taarifa kuwa benki hiyo imemkatalia yeyekuwa ndiye ametoa madawati hayo kwa kigezo kuwa benki haiendeshi shughuli zakekisiasa na itakabidhi msaada wa madawati hayo muda wowote itakapoona inafaa. Yote hayo alikuwa anajaribukujibu mapigo ya Asasi ya SCSA au Pambana Saidia Jamii iliyotoa madawati 100kwenye shule ya msingi Ikombe.
Kama haitoshi, Dr Mwakyembe akiwa kwenye mkutano wa hadharakata ya Ngonga karibu na nyumbani kwake aliahidi kutoa mifuko 100 ya sarujiakijibu mapigo ya Diwani wa CHADEMA, kamanda Tamali aliyetoa mifuko 20 kwenyekata hiyo. Ahadi hiyo imeibua hasira kubwa kwa wanakyela kutokana na ukweli kwamba mbunge huyo haonekani jimbonikwake na ahadi nyingi alizotoa jimboni hapa hakuna iliyotimizwa, ndio maana wanakyelahawana imani naye tena.
Kutokana na hali hiyo, kikao cha ndani cha dharura cha CCMwakiwemo wazee kiliitishwa wilayani hapa ambacho kilikuwa mahsusi kumuonya mbungekuhusu mambo hayo aliyofanya kwani ni kuwadanganya wananchi ikizingatiwa kuwaahadi nyingi alizotoa jimboni hapa hajatekeleza.
Upepo na hali ya siasa kwa mbunge huyo si shwali wilayanikyela kama lilivyokuwa 2010, tofauti na watu wengi wanavyodhani kupitia vyombovya habari akionekana mchapakazi kitaifa lakini jimboni kwake wamemchokakwasababu amelitelekeza jimbo lake.
Nawasilisha................
Source: Mdau kutoka Kyela.
hata hivyo hao wafanya biashara hawalipi kodi so hata wakitoa kwa namna hiyo hamna ubayaAppreciation matters to the suppoters; hata kama wananchi tunanufaika, huo ndio ubabe wa CCM tusioutaka wa kuwabana wafaanyabiashara kutekeleza malengo yenu kisiasa
Unatamani tuku***,unataka ajitoe yeye ki vipi? yaani awape rushwa? ..acheni kumtega mbunge wa JMT ili achafue CV yake,acheni tamaa za misaada binafsi kama hiyo CHADEMA inalenga kuwarubuni ili muone wanafaa zaidi ya mchapakazi Dr.Mwakyembe.issue sio majungu wala chuki bali kinachotakiwa ni kujitoa kwake mwenyewe na sio kupitia mgongo wa wengine na hilo ndilo wanachama wake wanahoji pia
amba.nkya kitaifa anaonekana ni mchapakazi au mvurugaji na asiyefuata protokali na kuwaingilia watendaji wenzie?
mimi nilifikiri ameiba hela ya serikali, kumbe hajaiba, sasa mayowe yote ya nini? au mnataka kumnyang'anya jimbo lake la kyela?