Dr. Mwakyembe, muda wako umefika

Nami nasema huyo Lowasa anajitakia matusi haya. Tamaa yake ya urais isituweke roho juu. Tangu mwaka 77 yupo ndani ya CCM, ana lipi jipya la kutuambia Watanzania zaidi ya kuendeleza ufisadi? Mlafi sana huyu. Sijui yupoje?
 
Mwakyembe chapa kazi, mja maji haachi kutapatapa tatizo ni urais
Lowasa anaweweseka sana kwa sasa. Maana anaona kuwa hakuna wa kumuokoa. Fedha zake alizokwiba ana anazowalipa vijana kama akina MUSSA ALLAN hazijamsaidia kitu
 
 
Safi Sana UKAWA Wanafutahi tu maana kwa hili BEEF Lazima CCM watajitusu kulikata jina la EL...Ila kiukweli EL apitishwe au asipitishwe ni FAIDA KUBWA KWA UKAWA,Cha msingi CCM waangalie Effect kubwa ni ipi kwao.
 
Lowasa anaweweseka sana kwa sasa. Maana anaona kuwa hakuna wa kumuokoa. Fedha zake alizokwiba ana anazowalipa vijana kama akina MUSSA ALLAN hazijamsaidia kitu
Lizaboni utazeeka kabla ya muda wako kwa kuyafuatilia ya Lowassa.
 
Last edited by a moderator:
Duuh!kwa hio ni kweli kua ccm ni ukoo wa panya?Mingoi anasema mwakyembe mwizi,Lizaboni anasema Lowassa mwizi!
Jibu=wote wezi!
 
Duuh!kwa hio ni kweli kua ccm ni ukoo wa panya?Mingoi anasema mwakyembe mwizi,Lizaboni anasema Lowassa mwizi!
Jibu=wote wezi!
Mingoi atutajie alichoiba Mwakyembe. Atutajie pia tume iliyoindwa na kumuimplicate Mwakyembe kwa wizi
 
"Vita vya panzi " na bado mtatifuana sana UKAWA tunasubiri tu kutumbukiza mpira wavuni hiyo oct.
 
Kutubu ni kukiri kuwa umeyatenda mabaya na kuapa kutoyarudia tena. Lowasa hajakiri ni mbishi. Mtu anayeficha dhambi zake hatasamehewa. Hivyo Lowasa hawezi kusamehewa. Hata hivyo hajasema ni namna gani hakuhusika na kwa nini asukiwe zengwe yeye tu na siyo mtu mwingine. Ni heshima aliyokuwa amepakatia yeye alikuwa akiilinda na nina aliyempa mamlaka ya kuilinda heshima anayoitaja. Heshima ya serikali inahusiana vipi na ufisadi na kwa nini ateuliwe yeye kuilinda heshima ya ufisadi.
Ama kweli kuwa na mvi nyingi sio wingi wa busara, yani anakana, kumbe hata shetani akitubu na kuomba msamaha anaweza kusamehewa.Khaa!! Sasa ulijiuuzuru kulinda heshima hipi ambayo inanyanyasa roho yako kwa miaka nane???
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…