Codon
JF-Expert Member
- Dec 16, 2011
- 628
- 93
Investment inayotakiwa kwenye Reli kwa sasa sio chini ya Billioni 100 maana ni ya mwaka 47, sasa ni wapi hiyo pesa itatoka? Na je tuna credit rating nzuri kiasi gani tuaminiwe tukopeshwe hiyo mijihela?
Jiulize hayo kwanza kabla hatujaenda kwa Mwakyembe,usije mwisho wa siku ukamtupia lawama bure mzee wa watu
Nawewe unakampuni sibure!Mapema unaanza kumtetea,yaani wewe huoni rasilimali zilizopo ktk nchi hii!Fisadi on work nini wewe!