Huyu jamaa ni mweupe mno kichwani jana nilimwita Engineer wa Udaku, Kuna ndugu yangu anajiita Sikonge na baadhi ya wafuasi wake hapa nusura wanitoe roho. Wanampamba eti Engineer anaishi London na ana kajihotel/Mgahawa huko Kyela...nashukuru na wewe umeliona hilo! Kama ana nia ya Ubunge wa Kyela ameisha shindwa heri atafute kwanza Udiwani Ubunge ni post kubwa sana kwake na mitazamo yake ya zama za mawe...
Mkuu, nimefuatilia sana hoja za huyo "Engineer", hazina mantiki, ni udaku tupu wa mtu ambaye hajaenda shule sawasawa. Huyu Dk. Mwakyembe alishajijengea jina na historia hata wanaomchukia wakiamua kumchafua usiku na mchana. Wiki iliyopita nilishuhudia Dk. Mwakyembe akipita Kariakoo kwa mguu: karibu kila mtu alitaka amshike mkono, amsalimie na wengine wasikie sauti yake tu. Sasa mwambie "Engineer" amlete huyo Rostam au Lowassa (paymasters wake) nao wapite Kariakoo kwa mguu, utajua wananchi wanavyojua kupambanua kati ya kiongozi na fisadi. Watazomewa na hata kupigwa mawe!
Huko Kyela kumetokea mauaji ambayo, ukisoma sana taarifa za magazeti yamesababishwa na Mkuu wa Mkoa ambaye kikwete alimweka pale kummaliza Mwakyembe na Mwandosya kisiasa. Kashindwa! Mwakyembe akienda Igunga kugombea ubunge, nakwapia atamshinda huyo mtu wa Iran anayetuchanganya Watz kama watoto! Mimi nimemtambua Mwakyembe kuwa kiongozi na jabali lenye akili, alipowatingisha wazungu NBC kupigania maslahi yetu wafanyakazi mpaka akajiuzulu. Hawa akina "Engineer" are just nincompoops. Akiandika upuuzi JF anakimbia kwa mawakala wa Rostam na Lowassa (ambao wako wengi Kyela) kwenda kulipwa!
Wazee wote lazima wang'oke mimi nitagombea igunga
SikongeMasanilo,
Unafahamu kuwa George Mwakalinga ni Mhandisi aka Engineer wa IT na sasa kabobea kwenye mitambo ya simu? Naomba niseme SAMAHANI kwani ulipoandika Engineer, nilikuwa ninauhakika una maanisha Mwakalinga ni engineer wa Majungu. Baadaye nilipokusoma usiku nikajua ulimaanisha huyu jamaa aitwaye Engineer. Hapo nikakupa THANKS kama uliiona.
Kila Laheri GeorgeEngineer ni mtu anayesema asilimia 55 kweli na 45 anaweka chumvi. Huyu huwa nakubaliana naye nusunusu kama asilimia zilivyo. Ila si kweli kuwa anaongea majungu tupu au ukweli tupu. Tumzoee.
Sikonge
JF inachanganya sana! mimi namwita yule Engineer wa anayeweka post zake mdaku, mbeya na mweupe upstairs nadhani umenisoma, Kama Mwakalinga George naye ni Engineer basi tumechanganyana sana, Simjui George na nisingaliweza mwita mzee wa udaku na majungu kama yule Engineer mwingine ambaye hata wewe unamjua.... sasa hawa wapiga debe kama Engineer (si Mwakalinga) wataharibia wagombea maana wengine wanaharibu sana kwa mapenzi walionayo kwa wagombea wao.
Kha! Masanilo bro! usiingilie vitu ambavyo huna ujuzi navyo ona sasa unavyo umbuliwa hapa.Bwa ha ha ha-umesikika baba!hata hivyo naomba umsamehe MASA BURE!unajua hili jukwaa la siasa hana uzoefu nalo.yeye ni mutu ya kule-kwingine kwa wale jamaa wa ule mlengo mwingine!wamejipa jina la mtandao wa simu za mkononi!alipitiwa tu,msamehe
MkamaP,
Sasa kijiji cha Igunga unataka uwe nani lakini? teteteteee
Mbunge amchongea DC bungeni
Na Sharon Sauwa
22nd July 2009
Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Sijapata Nkayamba.
Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Sijapata Nkayamba, amemtuhumu Mkuu wa Wilaya ya Kigoma, John Mongella, kwa kutoa kibali kwa wamiliki wa maboti yanayotoa huduma katika kijiji cha Igunga ili yasafiri muda uliopigwa marufuku na kamati ya ulinzi na usalama.
Habari kutoka : :: IPPMEDIA
Kila Laheri George
Kha! Masanilo bro! usiingilie vitu ambavyo huna ujuzi navyo ona sasa unavyo umbuliwa hapa.Bwa ha ha ha
Haya ya Dr. Mwakyembe, anaandaa mandamano Dodoma kupinaga na kushinikiza serikali ichungeze ajali aliyopata. Jamaa watu hawana kazi za kufanya, maandamano ndio maendeleo? Mungu ndiye mwenye kujua yote, ajali ni kwa watu wengine tu? na sio Mwakyembe? Wabunge wangapi wamewahi kupata ajali na hawakwenda Dodoma kuandamanan?Kha! Masanilo bro! usiingilie vitu ambavyo huna ujuzi navyo ona sasa unavyo umbuliwa hapa.Bwa ha ha ha
Sishangazwi na propaganda zenu maana hata hamjui nini kinatokea huku
Lakini yote sita, saba ni kwamba huyo Mwakalinga hasa ni nani kumtisha Mwekyembe mwenye sifa ambazo tunazijua?Maana naona hizi ni njama tu za mafisadi ambazo sasa ni too much.
- Ndio maana tunashangaa sana a politician wa calliber ya DK, kuanza kuliliwa na wapambe hapa kuhusu kijana mdogo aliyeko likizo tu, je akiamua kugombea itakuwaje?
- Kwa nini usizimwage sifa za DK, jimboni maana sio siri kwamba kwenye taifa tunazijua, tatizo ni jimbo ndilo linaamua nani awe mbunge wake sio taifa, sasa weka sifa hizo za jimboni mkuu tuzichambue.
- Yaani unasema kwamba ni njama za mafisadi kina Rostam ambaye at one time DK, alitaka kufungua naye kampuni ya umeme? au?
Respect.
Kamanda FMEs!
Kuna watu wanajifanya hawagusiki na wala hawapingiki, mtu wao akiguswa anang'aka. Sasa Mwakyembe kama ni mahiri kwa nini tumbo limcheze kwa Mwakalinga kujitokeza? Asubiri wapambane hapo mwakani, kama yeye ame-perform Kyela atapita. Ni woga kufikiri kila mtu anayejitokeza kuwapinga hao waliopachikwa ushujaa kwamba ametumwa na akina Rostam. Wakati mwingine wanampa sifa za bure huyu RA.
Engineer, Kuna wengine wanashangazwa pia na propaganda zako, hata kama hatujui basi usiongezee hamira na chumvi!
Lakini yote sita, saba ni kwamba huyo Mwakalinga hasa ni nani kumtisha Mwekyembe mwenye sifa ambazo tunazijua?Maana naona hizi ni njama tu za mafisadi ambazo sasa ni too much.