Fahamu kuhusu ndumba za kichawi na jinsi ya kujikinga nazo

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
16,420
30,790

tunguliiiii.jpg

CHANZO :ULIMWENGU USIOONEKANA: FAHAMU KUHUSU NDUMBA ZA KICHAWI NA JINSI YA KUJIKINGA NAZO.

Mwandishi : Dokta. Mungwa Kabili….0744 000 473

Nimekuwa nikipokea barua pepe kutoka kwa watu mbalimbali, wakitaka kujua masuala mbalimbali kuhusu ulozi, uchawi na jinsi ya kujikinga dhidi ya uchawi na ulozi.
Kwa kuwa muda na nafasi haviniruhusu kumjibu kila mmoja kwa wakati wake, nitayajibu maswali yote hapa bloguni.

SWALI : NIMESIKIA KUWA WACHAWI HUWA HAWAFI UPESI.JE KUNA UKWELI WOWOTE KATIKA HILO ? NA KAMA NI UKWELI, JE NI KITU GANI HUWAPA UWEZO WA KUISHI MAISHA MAREFU ?

DOKTA. MUNGWA KABILI ANAJIBU :
Ni kweli kabisa wachawi wengi huwa hawafi upesi na zipo sababu kuu mbili zinazo wafanya wachawi waishi muda mrefu :
1.Kwanza : NDUMBA ZA KINGA: Wachawi wa nchi hutumia ndumba za kinga, ndumba hizo husaidia kuwakinga dhidi ya shari za wanadamu na majini wabaya na hivyo kuwafanya waishi siko zote walizo pangiwa na Mwenyezi Mungu. Ikitokea mchawi mwenye kinga hizo, amefariki dunia, basi anakuwa amefariki kwa mkono wa Mungu mwenyewe na si mwanadamu. Watu wengi hufa kwa mikono ya wanadamu waovu na shari za mapepo wabaya. Nitataja ndumba mbili zenye nguvu zinazo tumiwa na wachawi.

i.Kuna ndumba moja ya kichawi, ambayo kwa lugha za kisukuma na kinyamwezi hujulikana kama LUFAKALE.
Ndumba hii ya kichawi akichanjiwa mtu humkinga dhidi ya shari za wanadamu na mapepo wabaya. Humfanya aishi kwa kadri Mungu alivyop mkadiria. Humkinga na kumuepusha na shari kama ajali (hususani ajali za kichawi ), kufa kwa kurogwa nakadhalika.
Ndumba hii ina nguvu sana kiasi kwamba, mtu aliye chanjiwa , inapofika siku yake ya kufa roho yake huchukua muda mrefu sana kuacha mwili wake. Inaweza kumchukua mwaka mmoja hadi miaka kumi. Mtu anakuwa anonyesha dalili zote za kufa, au anakuwa ameisha kufa kabisa, lakini anakuwa bado anaongea. Nikipata nafasi siku zijazo nitaelezea kwa kina kuhusu ndumba hii.

ii.Ndumba ya pili, inatokana na mti unaitwa Msonihya . Huu ndio mti mkuu wa wachawi. Mtu huu una nguvu sana za kichawi. Mti huu hutumika kutengeneza hirizi ambayo huvaliwa mkononi kama bangili au kuwekwa nyumbani. Hakuna pepo, jinni wala kitu chochote kile kibaya kinaweza kumdhuru mtu aliye pewa hirizi hii.
Simba , nyoka wa kawaida pamoja na samba & nyoka wa kichawi au mnyama yoyote yule hawezi kumdhuru.

2.NDUMBA ZA KUWAWEZESHA KUONA MAMBO YATAKAYO TOKEA MBELENI.
Wachawi wa nchi wanazo ndumba zenye uwezo wa kuwasaidia kujua mambo yatakayo tokea mbeleni, hivyo basi kama kuna hatari yoyote ile inaenda kutokea kesho yake kama vile ajali au shari yoyote ile nakadhalika, wao wanakuwa wameshajua siku moja kabla na hivyo wanakuwa na nafasi ya kuchukua tahadhari mapema.
JINSI WANAVYO FANYA ILI KUWA NA UWEZO WA KUONA MAMBO YATAKAYO TOKEA.
Zipo njia mbalimbali wanazo tumia, ili kupata uwezo wa kuona mambo yatakayo tokea mbeleni, lakini kati ya njia hizo njia ifuatayo ni maarufu sana miongoni mwa wachawi na walozi.
i.Wanachukua ubongo wa fisi
ii.Wanachukua ubongo wa kunguru
iii.Wanachukua ubongo wa ndege anaitwa Mbesi. Ndege huyu hupatikana mtoni na chakula chake kikuu ni mizoga ya ndege, wadudu, samaki na wanyama. Katika ulimwengu wa wachawi, ndege huyu hujulikana kama mtaalamu wa kugundua mahali ilipo mizogo iliyo kufa.
Kwa mfano tuchukulie mkoa wote wa Dar Es Salaam ni pori, huyu ndege yupo mbagala halafu maeneo ya msasani kuna ndege,samaki,wadudu au mnyama amekufa, basi usiku wa siku hiyo ndege huyu ataota mahali ulipo mzoga huo, na kesho yake atapaa moja kwa moja hadi sehemu ulipo mzoga huo na kuufanya kuwa kitoweo chake.

Vitu vyote hivyo hapo juu hukaushwa na kusagwa kwa pamoja na kisha kuchanganywa na ndumba tatu za kichawi ambazo sitazitaja hapa kwa sababu maalumu.
Baada ya hapo, mchawi husika atachanjiwa ndumba hizo kichwani pamoja na kwenye zote nne za mwili.
Basi, mchawi huyo anakuwa na uwezo wa kuona ndotoni kila kitu kitakacho tokea kesho yake na kuendelea.

SWALI NAMBA MBILI : NASIKIA WATU WANAZUNGUMZA KUHUSU DUDUMIZI. JE DUDUMIZI NI NINI NA ANATUMIKAJE KATIKA UCHAWI ?

DR. MUNGWA KABILI ANAJIBU ;
Dudumizi ni ndege anaye patikana porini. Katika ukanda wa Pwani, ndege hawa wanapatikana kwa wingi sana katika mapori ya Bagamoyo mkoa wa Pwani, Kisarawe vijijini ( Hususani katika vijiji vya Mwaneromango, Nzenga na Msanga ) pamoja na wilaya ya Pangani mkoani Tanga.
Ndege hawa wana macho mekundu, mkia mrefu pamoja na kucha ndefu sana.
Dudumizi hula wadudu, mijusi, nyoka, mayai,makinda, matunda, mizoga na wanyama wadogo pia.
Dudumizi wengi wana mabawa yenye rangi ya kahawia nyekundu na kichwa cheusi. Lakini pia wapo Dudumizi wenye mkia wa rangi ya shaba, Dudumizi weusi,Dudumizi wenye koo lenye rangi nyeusi, Dudumizi wenye kichwa chenye rangi ya buluu, pamoja na Dudumizi wenye nyushi nyeupe.

MAAJABU YA DUDUMIZI.
Dudumizi ni ndege mwenye maajabu mengi sana, kwa muwa muda hauturuhusu, leo nitataja mawili tu.
AJABU LA KWANZA : Ana uwezo wa kujifungua kamba mwenyewe. Kwa mfano, ukienda kwenye kiota cha Dudumizi, halafu ukawafunga makinda wa Dudumizi kamba kisha ukafunga na kwenye mti. Kesho yake asubuhi unakuta ile kamba imejifungua yenyewe . Ukimnchukua Dudumizi ukampeleka nyumbani kwako, ukamuweka kwenye banda, halafu ukamfunga kamba akiwa bandani, ukafunga banda halafu kamba hiyo ukaenda kuifunga kwenye mti au kitu chochote kile, kesho yake unakuta Dudumizi amefungua hiyo kamba na kuondoka, hata kama kamba hiyo itakuwa kubwa na nzito kwa kiasi gani.

AJABU LA PILI : Kwa kawaida Dudumizi hutaga mayai kati ya mawili hadi matano. Dume la Dudumizi ambalo huwa dogo kwa umbo kuliko jike, ndio linalo hatamia mayai na kutunza makinda.
JINSI WACHAWI WANAVYO MTUMIA NDEGE DUDUMIZI.
Katika ulimwengu wa wachawi, Dudumizi ana matumizi mengi sana kichawi. Leo nitataja mawili tu kwa sababu ya muda.

1.Kamba iliyo tumika kuwafunga Dudumizi na ikajifungua yenyewe, ikichanganya na ndumba za kichawi pmaoja na vizimba vyake, hutumika kuwafungua kichawi, watu walio katika vifungo mbalimbali vya kichawi kama vile vifungo katika biashara, vifungo katika mapenzi na ndoa, vifungo katika rizki , vifungo vya mizimu, nakadhalika.

2.Dudumizi hutumika, kutengeneza ndumba maalumu kwa wale wanawake wanao penda kuwa inamisha waume zao.

SWALI NAMBA TATU: JE NI KWELI KUWA WACHAWI WANA UWEZO WA KUMTIA MTU MIKOSI NA KUFUNGA RIZIKI YAKE?

DOKTA.MUNGWA KABILI ANAJIBU ;
Ni kweli kabisa,wachawi wana uwezo wa kumtia mtu mikosi . Zipo njia mbalimbali wanazo tumia wachawi katika kuwatia watu mikosi, ila kutokana na ufinyu wa nafasi, nitaelezea moja hapa ;
Katika njia hii, wachawi wakitaka kumtia mtu mikosi, hufanya mambo yafuatayo :
i.Wanachukua hela ambayo haitumiki
ii.Mavi ya mbwa mweusi ambayo ameyanya usiku
iii.Mkaa ulio kwisha tumika, ambao umetumika mahali ambapo watu hawalali kama vile kilioni au kwenye bara na migawaha inayo kesha lakini mara nyingi, huchukua mkaa wa kilioni.
iv.Mavi ya ndege anaitwa Mumbi. Huyu ndege aitwae Mumbi anapatikana porini. Anafanana sana na bata na ana puyanga la rangi nyekundu.
v.Shahidi la kaburini pamoja na ndumba zingine za kichawi
vi.Kitu chochote cha mtu aliye kusudiwa kutiwa mikosi kama vile picha yake, mchanga alipokanyagia, mate, kucha, au chochote kile.
Baada ya hapo, mchawi huyo atakwenda kaburini usiku wa manane na kuvizika vitu vyote nilivyo vieleza hapo juu, huku akisema maneno ya kichawi ambayo siwezi kuyataja hapa. Basi mtu aliye kusudiwa na uchawi huu, kama hana kinga, ata andamwa na mikosi mikubwa na mizito katika maisha yake yote.

SWALI NAMBA NNE : DOKTA, NINAPENDA KUJUA NINI KINGA DHIDI YA UCHAWI? NIFANYE NINI ILI UCHAWI USINIDHURU ?

DOKTA MUNGWA KABILI ANAJIBU:
Kama wewe ni Muislamu, uwe mtu wa swala sana, kufanya duwa na visomo ( Ruqiya) na kutoa Dhaka na swadaka kwa mola wako, na kama wewe ni Mkristo, basi uwe mtu wa kusali sana, kufunga na kuomba bila kusahau kutoa sadaka na fungu la kumi kwa Mungu wako.
Lakini kama unajijua, hauwezi kufanya mambo niliyo yataja hapo juu, basi unatakiwa kupata kinga ya mwili wako.
Zipo kinga nyingi zenye nguvu dhidi ya uchawi na ulozi. Zipo Kinga, mchawi akikutupia uchawi unamrudia mwenyewe ana kufa papo hapo au anapooza kwanza kwa muda mrefu kisha anakufa pia zipo kinga ambazo mchawi , akitaka kukutupia uchawi, anashindwa kukuona katika rada zake za kichawi.
Hii ni kinga muhimu sana na haiishii kukukinga mwili wako pekee.Inakinga nyumba, biashara, kiti cha ofisi nakadhalika.
KINGA HII HUJULIKANA, KAMA KINGA YA KUFICHA KIVULI CHAKO.
Inaitwa Kinga ya Kuficha kivuli, kwa sababu wachawi wanapo taka kumloga mtu, huchukua na hushambulia kivuli chake. ( HAPA SIZUNGUMZII KIVULI CHA JUANI, NAZUNGUMZIA KIVULI CHAKO CHA KIROHO, YAANI NAFSI YAKO )
Bila kuona kivuli chako, wachawi hawawezi kukuloga.
Kinga hii hukupa uwezo wa kutokuonekana kwenye rada za wachawi. Kwao unakuwa ni sawa na mtu aliye kufa tu, kwa sababu mtu aliye kufa kivuli chake hakionekani na pia hawezi kurogwa na uchawi wa aina yoyote ile.
JINSI YA KUFICHA KIVULI CHAKO KISIONEKANE NA WACHAWI.

i.Chukua nywele za saluni
ii.Chukua mzizi wa mti ulio katisha njia
iii.Chukua tawi la mti unaitwa Ututukanga. Huu mti wa Ututukanga unapatikana porini na huwa linaonekana shina lake na matawi yake tu, lakini mzizi wake huwa hauonekani.
iv.Unachukua mti unaitwa Msonihya
v.Unasaga pamoja na mti unaitwa mwavi.
vi.Baada ya hapo unachukua kuku mweusi, unamfunga kwenye kitambaa cheusi bila kumchinja, unachukua chungu cheusi, unamuunguza mpaka anakuwa mkaa, halafu unamsaga pamoja na miti iliyo tajwa hapo juu, unachanganya na mafuta ya simba.
vii.Unachukua buja ama dulya la ugali wa kilioni
viii.Kamba ya kitanda alicho lalia maiti, au kama maiti ipo kwenye nyumba ya nyasi, unachomoa nyasi wakati maiti imo ndani.
ix.Unachimba mzizi wa mti unaitwa mputika bila kivuli chako kugusa mti..
x.Unaunguza vyote kwa pamoja ukiwa na kaniki nyeusi bila kuvaa nguo yoyote usiku wa manane
xi.Unaipika njia panda pamoja na mafuta ya mti mmoja wa porini ambao jina lake linahifadhiwa hapa.
Baada ya hapo, mtu atachanjiwa na kuongeshwa pamoja na kufanyiwa tambiko maalumu.
Basi wachawi watakuwa wakijaribu kutaka kukutupia uchawi, wanakuwa hawakauoni kwenye rada zao za kichawi

SWALI NAMBA TANO : HABARI YAKO DOKTA. NASUMBULIWA SANA NA WIZI NYUMBANI KWANGU. JE IPO NDUMBA YA KUMKAMATA MWIZI ?

DOKTA MUNGWA KABILI ANAJIBU :
Zipo ndumba nyingi za kuwakamata wizi. Leo nitataja ndumba rahisi kabisa ya kumkata mwizi. Ukifanya ndumba hii, basi mwizi atajileta mwenyewe na kuomba msamaha.

i.Unachukua kinyonga akiwa mzima
ii.Unaponda majani ya kisamvu
iii.Unachukua na changarawe za njiani ambazo, hutembea mvua ikinyesha.
iv.Huyo kinyonga unamuweka kwenye hayo majani ya kisamvu pamoja na hizo changarawe, unafunga kwenye kitambaa cheusi halafu unafunga jikoni, kwenye sehemu inayo toka moshi. Utamuacha hapo kwa muda wa siku saba.
Baada ya siku sita, unamtoa hapo kwenye moshi, unasaga ukiwa umefumba macho halafu unaenda kuvifunga kwenye mti kwa muda wa siku saba. Kabla siku saba hazijaisha, mwizi wako atarudi mwenyewe. Na kama mwizi yumo humo humo ndani, atajisalimisha mwenyewe mara moja.
Hii dawa moja tu, lakini zipo nyingine nyingi.

SWALI NAMBA SITA : DOKTA NASIKIA WACHAWI WANA UWEZO WA KUTUMIA UCHAWI KUMSHIKA MWANAUME KIMAPENZI . JE NI KWELI? NA WANAFANYAJE FANYAJE ?
DOKTA. MUNGWA KABILI ANAJIBU.
Katika masuala ambayo uchawi una ishi na kutawala basi ni suala la mapenzi.
Asilimia kubwa ya watu wanao enda kwa waganga, huenda huko kwa sababu ya mapenzi au kwa sababu ya mambo yanayo sababishwa na mapenzi.
Uchawi wa mapenzi upo wa aina nyingi sana. Nikisema nianze kutaja na kuelezea kwa kila aina ya uchawi na ulozi katika mapenzi hapa, sitamaliza kwa sababu upo uchawi wa aina nyingi sana.
Nitataja na kuelezea kwa ufupi sana, aina chache za uchawi katika mapenzi, halafu nitaelezea aina moja ya uchawi wa mapenzi ambao ni uchawi hatari na wenye nguvu sana.

KUMSHIKA MWANAUME KATIKA MAPENZI ; Kumshika mwanaume katika mapenzi, wachawi huchukua njiwa wawili jike dume walio zaliwa kiota kimoja pamoja na kiota chawe, kisha njiwa hao huchinjwa , hupasuluwa na mioyo yao hunyofolewa, huchemshwa kwenye mafuta ya mti mmoja unapatikana porini, halafu husagwa hadi kuwa unga unga. Baada ya hapo huchukua njugu mawe nyeusi moja, huchanganya na mti unaitwa mlama, pamoja na miti mingine mitatu ya porini, kisha husagwa pamoja na ile mizoga ya njiwa.
Vyote hivi kwa pamoja, huchanganywa na vizimba vitatu vya ndumba za kichawi, halafu mwanaume huwekewa kwenye chakula, basi mwanaume huyo atakuwa hasemi chochote kwa mwanamke huyo.Mwanamke atakuwa mama ake atakuwa baba ake. Ni uchawi mbaya sana huu.

KUMFANYA MWANAUME ASIENDE NJE YA NDOA :
Kumfanya mwanaume asiende nje ya ndoa, wachawi huchukua kamba ya mbuzi, moyo wa kondoo, mti unaitwa INAMA NIKUCHUME ( Mti huu unapatikana Kigoma tu, na watu wa kigoma ndio huuita jina hilo), mti unaitwa Inyazya kisha vinasagwa kwa pamoja halafu vinachanganywa na nta ya nyuki, kisha wanatafuta kucha, au nywele, au ndevu, au uzi wa nguo yake yoyote, halafu vinakaangwa kwa chumvi ya mawe pamoja na vizimba vya zote \nilizo zitaja hapo juu, kisha vinafungwa kwenye kitambaa chekundu, halafu vinafukiwa mlangoni au kwenye mti wowote. Basi mwanaume huyu hawezi kwenda nje ya ndoa yake.

MWANAUME AKUONE WEWE TU KILA ANAPOKUWA NA MWANAMKE MWINGINE : Wachawi hutchukua maji ambayo mwanamke ametumia kunawa uso wake kisha huchanganya na ndumba 13 za kichawi pamoja na vizimba vyake kisha kutengeneza ndumba itakayo mfanya mume wa mwanamke huyo kuwa anaumuona mke wake wakati wote na pia kuwa anaona kama anatokewa na mke wake kila anapo kuwa na michepuko.

KUMFANYA MUME AKUPE MSHAHARA WAKE WOTE AU PESA ZAKE ZOTE KILA AKIZIPATA: Uchawi huu umewalostisha wanaume wengi sana. Hapa mchawi anacho chukua manii za mwanaume aliye mkusudia, ana changanya pamoja na baadhi ya vitu alivyo pewa na mwanaume huyo, halafu vinaenda kutengenezwa kichawi kwa kutumia ndumba za kichawi, basi mwanaume huyo atakuwa kila akipata mshahara wake anapeleka zote kwa mwanamke huyo. Asipojistukia mapema, anaweza uza kila kilicho chake.

KUMVUTA MPENZI : Ipo miti mitatu inapatikana porini, miti hutumika kumuita kichawi mwanamke au mwanaume aliye kusudiwa.

KUMTEGA DAWA ZA MAPENZI MWANAMKE AU MWANAUME.
Chaurembo kaenda kwa wachawi, na kuwaomba wampe msaada wa kichawi ili aweze kumteka kimapenzi Ndugu., Maridadi.
Wachawi watamchukua Chaurembo, watampa ndumba za aina tatu. Ndumba ya kwanza, atachanjiwa, kichwani na katika pembe zote za mwili wake. Ndumba ya pili atatumia kunywa, na ndumba ya tatu atatumia kuoga na kuchoma.
Sikui tatu baada ya kuanza kutumia ndumba hizo, Chaurembo atamuota Maridadi anapita katika sehemu ambayo Chaurembo anaifahamu. Chaurembo atatakiwa kuikariri ndumba hiyo.
Kesho yake, saa saba mchana, Chaurembo atatkiwa kwenda hadi mahali alipo muona Maridadi akiwa anapita,akifika katika eneo hilo, atatakiwa kumwaga dawa aliyo pewa.
Maridadi lazima atapita katika eneo hilo, na akipita tu, basi anakuwa amenasa kwenye penzi la Chaurembo.
Maridadi atamtafuta Chaurembo kwa udi na uvumba na atafanya kila kitu anacho kitaka Chaurembo.
Huu ni uchawi mbaya sana na hutumika hata katika mambo yasiyo ya mapenzi.

SIKU NYINGINE NITAELEZEA KWA UREFU SANA KUHUSU UCHAWI MBALIMBALI UNAO TUMIKA KATIKA MAPENZI.

SWALI NAMBA SABA : JE NI KWELI WACHAWI WANA UWEZO WA KUWAACHANISHA WAPENZI KWA KUTUMIA UCHAWI.

DOKTA MUNGWA KABILI ANAJIBU :
Ni kweli kabisa, wachawi wana uwezo wa kuwaachanisha wapenzi. Mke na mume walio ona kwa sherehe ya mamilioni wanaweza kuachana ndani ya wiki moja.
Zipo njia nyingi sana wanazo tumia, ila leo nitaitaja moja:
i.Wanachukua mti unaitwa mpuga mbu.
ii.Mkia wa ndege wa porini anaitwa katyente
iii.Picha ya mke na mume walio kusudiwa pamoja na majina yao.
iv.Wanachanganya na vizimba vyake.
v.Vitu vyote hivyo vinasagwa kwa pamoja, kisha vinakaangwa kwa kutumia chumvi ya mawe, halafu vinaen da kuchomwa jalalani.
Hata kama wanapendana vipi,wote wataachana.
Ndumba hii ndio inayo tumika pia kushusha thamani ya cheti cha mtu. Hata kama amesoma vipi, hawezi kupata kazi kama akifanyiwa uchawi huu.

Kwa leo naomba niishie hapo, kesho nitaendelea tena na makala haya.
MAKALA HAYA YAMEANDALIWA NA DOKTA. MUNGWA KABILI, MTALAAMU ALIYE BOBEA KATIKA MASUALA YA ULIMWENGU USIO ONEKANA. ANAPATIKANA JIJINI DAR ES SALAAM, KWA SIMU NAMBA0744 000 473.

KWA HABARI ZAIDI KUHUSU ULIMWENGU USIO ONEKANA, TEMBELEA KILA SIKU ;
www.mungwakabili.blogspot.com
 
Let the buyer beware!
 
Mkuu Likud uchawi ni nini,na hivi hauwezi kutumika katika majaribio ya kibaiolojia kama kutengeneza tiba ya ukimwi!?

Uchawi ni sayansi ya ndani ( InnerScience ).Sayansi ya siri, inayo tumika katika ulimwengu usio onekana. Sayansi hii, imegawanyika katika makundi makuu mawili mawili. Kundi la kwanza, ni kundi lenye mlengo wa ufisadi ( uharibifu ), hili huitwa ulozi, na kundi la pili ni lile lililo katika mlengo wa kukabiliana na mlengo wa ufisadi. Hili huitwa uganga.
 
Mkuu NDUKI Jimena Mcheza Karate Rakims piteni huku muongeze ilimu.

LIKUD Waafrika tulichokosa ni mababu zetu kuwakilisha hivi vitu kwa maandish. Keep it up. Umeshahitimu ilimu ya uchawi?
Sisomi uchawi ila nafanya utafiti kuhusu uchawi. Wachawi hufanya mambo yao kwa siri sana.Hawataki mambo yao yajulikane, ndio maana babu zetu hawakuweka kila kitu wazi.
 
Likud nimeulizia pia kwanini uchawi hautumiki kutatua matatizo ya kila siku kama kutengeneza tiba za magonjwa(ukimwi)
 
Kuna ukimwi wa aina mbili.Ukimwi wa kizungu na ukimwi wa kichawi. Ukimwi wa kichawi unatengenezwa. Tiba yake ipo pia. Mkitengenezewa ukimwi wa kichawi, mnaweza kufa familia nzima, sherehe nzima, au kama umewekwa kwenye msimba, basi watu wote watakao kula chakula cha kwenye msiba husika wataugua ukimwi.

Kuhusu kutatua matatizo, uchawi unatumika kutatua matatizo mengi sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom