Dr Migiro karibu nyumbani. Mrithi wake UN atangazwa

Katibu mkuu wa UN Ban Ki Moon amejuata kuzaliwa alipofanya uteuzi wa Kaimu wake kwa mtazamo wa itikadi, siasa na mahusiano ya urafiki wa nchi yake na Tanzania bila kupima uwezo wa mtu aliyemteua.

Mimi binafsi nilimwona huyu mama Migiri kama anaishi Tanzania vile, maana haipiti miezi miwili utamkuta yupo Dar, na mara Kikwete wapo pamoja wanateta Marekani. Labda Kikwete atapunguza sasa misafara ya Marekani.

Kama umewahi kuishi au kufanya kazi na wazungu huko kwao, hawana ile kawaida kama wabongo kunyoosheana vidole na kumwambia mtu kwa nini unafanya hivyo kama anaenda kinyume, wanachojua wao kila mmoja amekomaa na kabisa anapopewa jukumu kubwa kama hilo. Sasa mbongo uhuru huo ameshindwa kuutumia na hivo kujipangi visafari visivyo kwisha hadi kumgarimu kutoongezewa mkataba wa kumalizia ingwe ya mwisho.

alizidi kurudi tz na kutofanya kazi yake kikamilifu,
 
'' issue yah mama migiro sio kurudi hme mara kwa mara msimseme mama migiro vibaya, lakini nakubaliana nawe kuwa alikuwa ni chaguo la Ban Ki Moon, however she never the first choise of the Global Superpower, USA. Post nyingi za UN zinaenda kwa wapendwa wa USA".
 
Madam kaa chonjo sana na serikali iliyopo madarakani vinginevo uchafu uliowajaa utakupakaza nawe na mawazo yangu tu

Hata yeye pia ameitumikia serikali hii hii, kabla ya kuteuliwa UN si alikuwa waziri jamani hapa, au ana jipya this time around. Naomba aniprove wrng ila naamini still ana magamba kama wenzake
 
She is going to be white elephant in Tanzania politics. Aungane na Mulamula waanzishe NG'O. Ndugu yake Mulamula anauza sura kwenye media, JK wapi kauchuna, kama vile hamuoni
 
She is going to be white elephant in Tanzania politics. Aungane na Mulamula waanzishe NG'O. Ndugu yake Mulamula anauza sura kwenye media, JK wapi kauchuna, kama vile hamuoni

Aisee umenikumbusha, hivi Liberata Mulamula kumbe naye karudi! Huyu mama ni kichwa sana sijui kwanini yuko benchi hadi leo.
 
Nahisi amefanya madudu kama aliyofnya mama mogela bunge la au, watz hatuaminiki kokote
 
'' issue yah mama migiro sio kurudi hme mara kwa mara msimseme mama migiro vibaya, lakini nakubaliana nawe kuwa alikuwa ni chaguo la Ban Ki Moon, however she never the first choise of the Global Superpower, USA. Post nyingi za UN zinaenda kwa wapendwa wa USA".

Nakubaliana na wewe chatu, Mama Migiro hawezi kujirudia tu kiovyo ovyo bila ya ruhusa inayoeleweka kwenye system hata kama mulikuwa munamwona mara kwa mara akija huku. Vile vile hawezi kutoka bila ya kupangiwa na kuruhusiwa na system iliyomweka madarakani.

Shida kubwa iliyomkabili tangu mwanzo ilikuwa ni opposition kutoka mataifa makubwa kwa vile walikuwa wametegemea angeteuliwa European kwenye ile post. Na hasa kulikuwa na Mwingereza mmoja (nimemsahau jina kwa sasa) ndiye aliyedhaniwa kuwa angechukuwa ile nafasi.

Mzee Ban aliwa surprise kwa uchaguzi wake na ndiyo maana hawakupenda. Na kwa kweli katika kipindi kile kama mulifuatiliwa Waingereza walipiga kelele sana na kuponda uteuzi wake kwa visingizio kadhaa.

Dr Migiro karibu nyumbani utumie uzoefu wako uliopata UN kuja kusukuma gurudumu la maendeleo.
 
Katibu mkuu wa UN Ban Ki Moon amemtangaza Bw Jan Eliasson raia wa Sweden kuwa mrithi wa kiti cha naibu katibu mkuu wa UN nafasi ambayo aliishikilia Dr Asha-Rose Mtengeti Migiro kwa miaka takriban mitano..

Hata hivyo pamoja na uteuzi huo, Bw Eliasson atasubiri muda wa nyongeza aliopewa Dr Migiro hadi Jjuni 30 mwaka huu, na hivyo kushika wadhifa wake huu mpya kuanzia Julai 1 mwaka huu.

Karibu nyumbani Dr Migiro. Tunakuandalia ubunge wa kuteuliwa na uwaziri katika wizara moja nyeti mara utakaporejea. Then harakati zetu zileeeeeee zianze mara moja

Ushauri kwa waTz wengine wataobahatika kuukwa ukubwa ugaibuni; "When in Rome, do as the Romans do. Especially because you have only been invited"
 
Back
Top Bottom