Dr. Mashinji: Mwaka 2020 CHADEMA tunachukua nchi

Katika mahojiano yake aliyofanya na gazeti la Raia Mwema, katibu mkuu wa CDM amesisitiza kuwa mwaka 2020 watashinda uchaguzi mkuu.

Katibu mkuu huyo mpya ambaye ana lengo la kuondoa utaratibu wa upayukaji na uandamanaji ndani ya CDM alisema kuwa viongozi wao wa halmashauri 26, na halmashauri za majiji matatu, watatoa mfano katika jamii na katika umma mzima.

Kwa kufanya hivyo watakua na uhakika wa kutwaa dola mwaka 2020 kwani wananchi watawaamini. Pia Dr Mashinji aliendelea kukumbushia kuwa ulimwengu na watanzania wote kwa ujumla unajua kuwa mwaka 2015 walipokwa ushindi.

Freeland Chakaza Lizaboni Mmawia MOTOCHINI Wakudadavua YEHODAYA Mzee Mwanakijiji MKWEPA KODI
Waichukue nchi yetu waipeleke wapi[emoji15]
 
Hata mwaka 2015 walisema watashinda uchaguzi....gues what happened?
 
Kutwaa DOLA ni ndoto kwa CHADEMA... kama wataendelea kuwa kambare wenye masharubu... pole sana Salum Mwalimu ...pole sana Mzee DUNI! hivi ni nani aliyewaroga mkajikuta mnaingia mkenge...

Wengine husema "kenge hasikii mpaka damu masikioni".......... ungekuwa mwangalifu kidogo, kwa kilichotokea uchaguzi uliopita, ungekuwa mwanagalifu zaidi badala ya kufanya simple generalization.
 
Katika mahojiano yake aliyofanya na gazeti la Raia Mwema, katibu mkuu wa CDM amesisitiza kuwa mwaka 2020 watashinda uchaguzi mkuu.

Katibu mkuu huyo mpya ambaye ana lengo la kuondoa utaratibu wa upayukaji na uandamanaji ndani ya CDM alisema kuwa viongozi wao wa halmashauri 26, na halmashauri za majiji matatu, watatoa mfano katika jamii na katika umma mzima.

Kwa kufanya hivyo watakua na uhakika wa kutwaa dola mwaka 2020 kwani wananchi watawaamini. Pia Dr Mashinji aliendelea kukumbushia kuwa ulimwengu na watanzania wote kwa ujumla unajua kuwa mwaka 2015 walipokwa ushindi.

Freeland Chakaza Lizaboni Mmawia MOTOCHINI Wakudadavua YEHODAYA Mzee Mwanakijiji MKWEPA KODI
bila katiba mpya tume mpya ya uchaguzi iliyo huru na haki hata miaka 10000 ni vigumu kuitoa ccm madarakani? kwani uchaguzi uliopita ulikuwaje?? zanzibar nini kimetokea? wapinzani from now on nguvu kubwa kupata katiba mppya na tume huru otherwise do other business
 
Katika mahojiano yake aliyofanya na gazeti la Raia Mwema, katibu mkuu wa CDM amesisitiza kuwa mwaka 2020 watashinda uchaguzi mkuu.

Katibu mkuu huyo mpya ambaye ana lengo la kuondoa utaratibu wa upayukaji na uandamanaji ndani ya CDM alisema kuwa viongozi wao wa halmashauri 26, na halmashauri za majiji matatu, watatoa mfano katika jamii na katika umma mzima.

Kwa kufanya hivyo watakua na uhakika wa kutwaa dola mwaka 2020 kwani wananchi watawaamini. Pia Dr Mashinji aliendelea kukumbushia kuwa ulimwengu na watanzania wote kwa ujumla unajua kuwa mwaka 2015 walipokwa ushindi.

Freeland Chakaza Lizaboni Mmawia MOTOCHINI Wakudadavua YEHODAYA Mzee Mwanakijiji MKWEPA KODI
Endapo watamuunga mkono Magufuli katika kutumbua majipu wanaweza angalau wakabakia na viti walivyonavyo.
 
Mbona simwelewi huyu Dk? Anasema anachukua nchi gani maana hakuitaja? Labda Somaliland au Libya ndizo hazina utawala.
Mfupa umemshinda Dk Slaa na Mnyika yeye atauwezaje?
Mpaka sasa CHADEMA, wana rais wa mioyo yao, na watachukua nchi kimyoyo.
 
Back
Top Bottom