Dr. Mashinji: Mwaka 2020 CHADEMA tunachukua nchi

Huwezi kuchukua nchi kwa katiba ilivyo
Mbona majimbo wanachukua kwa katiba hii hii,iweje sasa washindwe nchi?kwani ukichukua majimbo mengi si ndio umechukua nchi? mi nadhani wajitahidi kuja na mikakati itakayowashawishi wapiga kura wengi,wakifanikiwa hilo hata katiba ikiwa jiwe watapata wanachotaka.
 
2020 Mashinji ndio nani??

haoni kauziwa mbuzi kwenye gunia??

apigane tu kukikuza chama na kubadili filosof ya chadema

lakini when it come to results/output na actions! Mbowe ana angalia fedha kwanza na ndio mindset ya kibiashara

Kama akidhani mbowe ana mindset ya kumkomboa mtanzania , akamuulize Slaa na zitto!!

Slaa aliishawahi kuitwa Rais wa mioyoni wa watanzania

Mbowe is a nigga! bepari, money hungry person ambaye mtaji wa wananchi kuichukia CCM aliu customize vizuri na sasa anapiga hela za ruzuku!

akili ni nywele....
Mkuu maneno yako ni makali, yanachekesha, yanaumiza lakini ndiyo ukweli wenyewe japo watu hawataki kuambiwa wala kuona ukweli huu.
 
Katika mahojiano yake aliyofanya na gazeti la Raia Mwema, katibu mkuu wa CDM amesisitiza kuwa mwaka 2020 watashinda uchaguzi mkuu.

Katibu mkuu huyo mpya ambaye ana lengo la kuondoa utaratibu wa upayukaji na uandamanaji ndani ya CDM alisema kuwa viongozi wao wa halmashauri 26, na halmashauri za majiji matatu, watatoa mfano katika jamii na katika umma mzima.

Kwa kufanya hivyo watakua na uhakika wa kutwaa dola mwaka 2020 kwani wananchi watawaamini. Pia Dr Mashinji aliendelea kukumbushia kuwa ulimwengu na watanzania wote kwa ujumla unajua kuwa mwaka 2015 walipokwa ushindi.

Freeland Chakaza Lizaboni Mmawia MOTOCHINI Wakudadavua YEHODAYA Mzee Mwanakijiji MKWEPA KODI

Ni lazima wajiulize kwanza kabisa ni wapi walikosea wakashindwa 2020. Vinginevyo haya magoli ya mwaka wa kushinda yanaweza yakagusa karne ile nyingine...tungeweza kushinda 2015 kama tusingeamua kufanya "vile"
 
2020 Mashinji ndio nani??

haoni kauziwa mbuzi kwenye gunia??

apigane tu kukikuza chama na kubadili filosof ya chadema

lakini when it come to results/output na actions! Mbowe ana angalia fedha kwanza na ndio mindset ya kibiashara

Kama akidhani mbowe ana mindset ya kumkomboa mtanzania , akamuulize Slaa na zitto!!

Slaa aliishawahi kuitwa Rais wa mioyoni wa watanzania

Mbowe is a nigga! bepari, money hungry person ambaye mtaji wa wananchi kuichukia CCM aliu customize vizuri na sasa anapiga hela za ruzuku!

akili ni nywele....
slaa alikua ni shida moja, alikua hajafanikiwa kuwaunganisha watanzania wa dini zote. tofauti na lowassa.
 
Katika mahojiano yake aliyofanya na gazeti la Raia Mwema, katibu mkuu wa CDM amesisitiza kuwa mwaka 2020 watashinda uchaguzi mkuu.

Katibu mkuu huyo mpya ambaye ana lengo la kuondoa utaratibu wa upayukaji na uandamanaji ndani ya CDM alisema kuwa viongozi wao wa halmashauri 26, na halmashauri za majiji matatu, watatoa mfano katika jamii na katika umma mzima.

Kwa kufanya hivyo watakua na uhakika wa kutwaa dola mwaka 2020 kwani wananchi watawaamini. Pia Dr Mashinji aliendelea kukumbushia kuwa ulimwengu na watanzania wote kwa ujumla unajua kuwa mwaka 2015 walipokwa ushindi.

Freeland Chakaza Lizaboni Mmawia MOTOCHINI Wakudadavua YEHODAYA Mzee Mwanakijiji MKWEPA KODI

labda vasco asiwepo kwenye ulimwengu huu.
 
Ni lazima wajiulize kwanza kabisa ni wapi walikosea wakashindwa 2020. Vinginevyo haya magoli ya mwaka wa kushinda yanaweza yakagusa karne ile nyingine...tungeweza kushinda 2015 kama tusingeamua kufanya "vile"
2020 Pombe anashinda 95+%. 2025 CCM inashinda tena mpaka 2035. Pombe afute ruzuku.
 
Mabadilikooooo, Lowasaaaaaaaaaaa

Ooh, sorry, Mashinjiiiiiii........huku unazungusha mikono. Sijui 2020 ndo tutazungusha nini......!!!!!
 
Kwa SERA ZA KUSUSA Ndo mchukue Nchi jipeni FARAJA NA MATUMAINI muendelee kuzipiga .Tuwape Nchi hata JENGO LA OFISI la Chama hamna.Mbona Mnachekesha
 
Nadra sana kuchukua Nchi chadema hawana malengo wanataka kutuuza hvhv kama walivyouza chama chao!!!anyway mgombea wao atakuwa nani??
 
Back
Top Bottom