mcubic
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 10,307
- 6,514
Katika mahojiano yake aliyofanya na gazeti la Raia Mwema, katibu mkuu wa CDM amesisitiza kuwa mwaka 2020 watashinda uchaguzi mkuu.
Katibu mkuu huyo mpya ambaye ana lengo la kuondoa utaratibu wa upayukaji na uandamanaji ndani ya CDM alisema kuwa viongozi wao wa halmashauri 26, na halmashauri za majiji matatu, watatoa mfano katika jamii na katika umma mzima.
Kwa kufanya hivyo watakua na uhakika wa kutwaa dola mwaka 2020 kwani wananchi watawaamini. Pia Dr Mashinji aliendelea kukumbushia kuwa ulimwengu na watanzania wote kwa ujumla unajua kuwa mwaka 2015 walipokwa ushindi.
Freeland Chakaza Lizaboni Mmawia MOTOCHINI Wakudadavua YEHODAYA Mzee Mwanakijiji MKWEPA KODI