Dr. Mashinji: Mwaka 2020 CHADEMA tunachukua nchi

Katika mahojiano yake aliyofanya na gazeti la Raia Mwema, katibu mkuu wa CDM amesisitiza kuwa mwaka 2020 watashinda uchaguzi mkuu.

Katibu mkuu huyo mpya ambaye ana lengo la kuondoa utaratibu wa upayukaji na uandamanaji ndani ya CDM alisema kuwa viongozi wao wa halmashauri 26, na halmashauri za majiji matatu, watatoa mfano katika jamii na katika umma mzima.

Kwa kufanya hivyo watakua na uhakika wa kutwaa dola mwaka 2020 kwani wananchi watawaamini. Pia Dr Mashinji aliendelea kukumbushia kuwa ulimwengu na watanzania wote kwa ujumla unajua kuwa mwaka 2015 walipokwa ushindi.

Freeland Chakaza Lizaboni Mmawia MOTOCHINI Wakudadavua YEHODAYA Mzee Mwanakijiji MKWEPA KODI
Mbona simwelewi huyu Dk? Anasema anachukua nchi gani maana hakuitaja? Labda Somaliland au Libya ndizo hazina utawala.
Mfupa umemshinda Dk Slaa na Mnyika yeye atauwezaje?
 
2020 Mashinji ndio nani??

haoni kauziwa mbuzi kwenye gunia??

apigane tu kukikuza chama na kubadili filosof ya chadema

lakini when it come to results/output na actions! Mbowe ana angalia fedha kwanza na ndio mindset ya kibiashara

Kama akidhani mbowe ana mindset ya kumkomboa mtanzania , akamuulize Slaa na zitto!!

Slaa aliishawahi kuitwa Rais wa mioyoni wa watanzania

Mbowe is a nigga! bepari, money hungry person ambaye mtaji wa wananchi kuichukia CCM aliu customize vizuri na sasa anapiga hela za ruzuku!

akili ni nywele....
umejipanga vp kuapangua matusi yao
 
Katika mahojiano yake aliyofanya na gazeti la Raia Mwema, katibu mkuu wa CDM amesisitiza kuwa mwaka 2020 watashinda uchaguzi mkuu.

Katibu mkuu huyo mpya ambaye ana lengo la kuondoa utaratibu wa upayukaji na uandamanaji ndani ya CDM alisema kuwa viongozi wao wa halmashauri 26, na halmashauri za majiji matatu, watatoa mfano katika jamii na katika umma mzima.

Kwa kufanya hivyo watakua na uhakika wa kutwaa dola mwaka 2020 kwani wananchi watawaamini. Pia Dr Mashinji aliendelea kukumbushia kuwa ulimwengu na watanzania wote kwa ujumla unajua kuwa mwaka 2015 walipokwa ushindi.

Freeland Chakaza Lizaboni Mmawia MOTOCHINI Wakudadavua YEHODAYA Mzee Mwanakijiji MKWEPA KODI
Wanajiandaa kuchukuwa nchi ipi?...wajenge ofisi na kuondoa wavuta bangi kwenye chama.
 
Kama mlishindwa 2015 wakati ambapo chama tawala kilikosa mvuto kuliko wakati wowote, basi msahau kushika hii nchi
 
Kumtumbua mtu hadharani ni kumuondolea utu wake. Dr Mashinji anabuni mikakati imara ya kuondoa ufisadi kimya kimya.
na kweli ana mikakati ya kimya kimya kama ile ya mgomo wa madaktari ulioua watanzania wasiokua na hatia kimya kimya
 
Katika mahojiano yake aliyofanya na gazeti la Raia Mwema, katibu mkuu wa CDM amesisitiza kuwa mwaka 2020 watashinda uchaguzi mkuu.

Katibu mkuu huyo mpya ambaye ana lengo la kuondoa utaratibu wa upayukaji na uandamanaji ndani ya CDM alisema kuwa viongozi wao wa halmashauri 26, na halmashauri za majiji matatu, watatoa mfano katika jamii na katika umma mzima.

Kwa kufanya hivyo watakua na uhakika wa kutwaa dola mwaka 2020 kwani wananchi watawaamini. Pia Dr Mashinji aliendelea kukumbushia kuwa ulimwengu na watanzania wote kwa ujumla unajua kuwa mwaka 2015 walipokwa ushindi.

Freeland Chakaza Lizaboni Mmawia MOTOCHINI Wakudadavua YEHODAYA Mzee Mwanakijiji MKWEPA KODI
kwanini umemnakili Mwanakijiji ?
 
Kwasasa tunataka kusikia utekelezwaji wa majukumu ya umeya tuliowapa, madiwani na wabunge tuliowapatia.

Hayo au hyo mikakati ya 2020 ipangeni ndan kwa ndani .
 
utaratibu wa dunia yote ni kujibu kwanza ulichoulizwa halafu mengine yafuate .
Hii sheria/utaratibu ulitunga wewe? Vipi kuhusu swali kujibiwa kwa swali? Utaratibu huu haupo kwa dunia?
 
Back
Top Bottom