Dr.Mashinji: CCM wanahonga wabunge ili wajiuzulu

katibu wa chama cha familia ameshindwa kumaintain watu wake analalamikia wengine kwa uzembe wake.
 
Ni vema mashinji akawataja tu wanaohusika na mkakati huo ovu ili PCCB wawashughulikie mara moja!
Mashinji ni MWEHU NA KIBARAKA WA KASKAZINI NA ANATUMIKA.
Maelezo ya Dr.Mashinji Karibu Mkuu wa CHADEMA

Serikali ya CCM inalea na kukuza rushwa katika nchi yetu
1f1f9_1f1ff.png

Naamini kabisa wengi mtaungana na mimi katika hili. Kuna watu wengi sana wapo rumande wakiteseka kwa tuhuma za rushwa. Wengine ni watu mashuhuri sana hapa
1f1f9_1f1ff.png

Kinachonistaajabisha ni namna ambavyo masuala ya rushwa yanavyoshughulikiwa kwa ubaguzi wa hali ya juu. Mathalani: baadhi ya madiwani wa CHADEMA wamekiri kupewa pesa ili wajiuzuru nafasi zao. Watoa pesa wakitajwa kuwa viongozi wa Serikali (mfano: wilayani Arumeru).

Mchezo huu umefika kwa baadhi ya wabunge wetu kufuatwa na kurubuniwa kwa fedha na vyeo ili wajiuzuru nafasi zao (kuna wabunge wanne tayari wamefuatwa). Naamini hawana bei hivyo watatupilia mbali upuuzi huu.

Mambo haya hata Mkuu wa kaya aweza kuwa hayafahamu lakini nashawishika kuamini kwamba yeye ndo fundi katika hili. Ni ngumu sana kutekelezwa bila ufahamu wake kwani hata simu huwa anazisikiliza (alisema mwenyewe)

Ki msingi, matendo haya yote ni ya rushwa hivyo niseme kwamba serikali inashiriki katika kutoa na kupokea rushwa.

My take:
Kama ni kweli mnashindwa nini kuweka mtego tukamkamata wenyewe mtoa rushwa?
 
Lema ni suala la muda tu anawindwa Na CUf ya maalimu self awe mwenyekiti wa CUF taifa na alishakubali tatizo kuna watu ndani ya chadema waliidaka alipojua kujificha ndio akaja na tamko kuwa kuna madiwani na wabunge wanataka kununuliwa na CCM kuficha. Mashinji hizo taarifa kapewa Na lema abishe hapa nimwage ushahidi na video na picha
We viroba unanywea wapi wakati havipatikani?
 
Eti nini, rudia tena kuandika…
 
Hata ukishitaki hakuna kitakachofanyika?
Nawakumbusha sana viongozi wa chadema kuwataja wahusika kwa majina yote matatu bila woga , Kama Ramadhan Ighondu alitajwa hadharani hawa wengine mnaogopa nini kuwataja , zipo tetesi kwamba kuna waziri mmoja wa nyanda za juu naye anahusika , kwanini mnamung'unya maneno ?
 
Hao wabunge ni wale waliochaguliwa kwa mihemko.

Chama hakikujipanga nani kimpitishe agombee na wananchi wakasema Ccm hatuitaki hawakuwa na muda wakumchunguza nani wanampigia kura ili AWe mbadala was Ccm.

Tuombe Mungu yasiwe makapi.
 
Nawakumbusha sana viongozi wa chadema kuwataja wahusika kwa majina yote matatu bila woga , Kama Ramadhan Ighondu alitajwa hadharani hawa wengine mnaogopa nini kuwataja , zipo tetesi kwamba kuna waziri mmoja wa nyanda za juu naye anahusika , kwanini mnamung'unya maneno ?

Mkuu kumjua adui japo huna uwezo wa kumdhibiti si ni bora zaidi?
 
Maelezo ya Dr.Mashinji Karibu Mkuu wa CHADEMA

Serikali ya CCM inalea na kukuza rushwa katika nchi yetu
1f1f9_1f1ff.png

Naamini kabisa wengi mtaungana na mimi katika hili. Kuna watu wengi sana wapo rumande wakiteseka kwa tuhuma za rushwa. Wengine ni watu mashuhuri sana hapa
1f1f9_1f1ff.png

Kinachonistaajabisha ni namna ambavyo masuala ya rushwa yanavyoshughulikiwa kwa ubaguzi wa hali ya juu. Mathalani: baadhi ya madiwani wa CHADEMA wamekiri kupewa pesa ili wajiuzuru nafasi zao. Watoa pesa wakitajwa kuwa viongozi wa Serikali (mfano: wilayani Arumeru).

Mchezo huu umefika kwa baadhi ya wabunge wetu kufuatwa na kurubuniwa kwa fedha na vyeo ili wajiuzuru nafasi zao (kuna wabunge wanne tayari wamefuatwa). Naamini hawana bei hivyo watatupilia mbali upuuzi huu.

Mambo haya hata Mkuu wa kaya aweza kuwa hayafahamu lakini nashawishika kuamini kwamba yeye ndo fundi katika hili. Ni ngumu sana kutekelezwa bila ufahamu wake kwani hata simu huwa anazisikiliza (alisema mwenyewe)

Ki msingi, matendo haya yote ni ya rushwa hivyo niseme kwamba serikali inashiriki katika kutoa na kupokea rushwa.

My take:
Kama ni kweli mnashindwa nini kuweka mtego tukamkamata wenyewe mtoa rushwa?
Maelezo ya Dr.Mashinji Karibu Mkuu wa CHADEMA

Serikali ya CCM inalea na kukuza rushwa katika nchi yetu
1f1f9_1f1ff.png

Naamini kabisa wengi mtaungana na mimi katika hili. Kuna watu wengi sana wapo rumande wakiteseka kwa tuhuma za rushwa. Wengine ni watu mashuhuri sana hapa
1f1f9_1f1ff.png

Kinachonistaajabisha ni namna ambavyo masuala ya rushwa yanavyoshughulikiwa kwa ubaguzi wa hali ya juu. Mathalani: baadhi ya madiwani wa CHADEMA wamekiri kupewa pesa ili wajiuzuru nafasi zao. Watoa pesa wakitajwa kuwa viongozi wa Serikali (mfano: wilayani Arumeru).

Mchezo huu umefika kwa baadhi ya wabunge wetu kufuatwa na kurubuniwa kwa fedha na vyeo ili wajiuzuru nafasi zao (kuna wabunge wanne tayari wamefuatwa). Naamini hawana bei hivyo watatupilia mbali upuuzi huu.

Mambo haya hata Mkuu wa kaya aweza kuwa hayafahamu lakini nashawishika kuamini kwamba yeye ndo fundi katika hili. Ni ngumu sana kutekelezwa bila ufahamu wake kwani hata simu huwa anazisikiliza (alisema mwenyewe)

Ki msingi, matendo haya yote ni ya rushwa hivyo niseme kwamba serikali inashiriki katika kutoa na kupokea rushwa.

My take:
Kama ni kweli mnashindwa nini kuweka mtego tukamkamata wenyewe mtoa rushwa?
Wazee wa chuma kwa chuma mko wapi.... ccm inatunyanyasaaa
 
Ina maana hao wabunge na madiwani hawana utashi wa kufanya maamuzi mpaka 'wanunulie'? Kama jibu ndiyo, CHADEMA waliwapa hela kiasi gani hao wabunge na madiwani ili wawe wanachama wao?
 
Vyombo vinavyohusiks na rushwa si vipo,kwa nini asiende kupeleka malalamiko yao huko.

Au kwa nini wasiwarekodi kimya kimya ni kuwrusha hewani?

Vipi Magu wakati chupuchupu kupokea hongo ya billion 20 akaripoti kwenye vyombo husika???nyie na ndugu yenu PolePole niwatu hewa tu!
 
Sijui kwanini CCM hawakuripoti TAKUKURU kuhusu waliotaka kumhonga Rais bilioni 300 kwenye suala la makinikia. Tena kwa kuwa TAKUKURU wenyewe ni wao, ingekuwa rahisi wahongaji kukamatwa kuliko hili la wabunge wa Chadema!
Acha kutanua magoli,hapa tunaongelea wabunge wa chadema kutaka kuhongwa.Hiyo ya Rais kutaka kuhongwa B300,ipo na thread yake nenda kule,hapa tunauliza kwa nini Mshinji hakuripoti TAKUKURU?,basi atuambie tu ni wabunge gani walitaka kuhongwa,na akina nani walipanga kuhonga wabunge.
Ni watu wenye akili ndogo kama wewe tu,ndio unaweza ukaipa uzito habari kama hiyo
 
Acha kurukaruka gamba issue hapa inasemwa nisawa VICE yani rushwa....Polepole akasema Magu chupuchupu arambe B300 did he report to graft body??watu hewa nyie!!
 
Wewe dada uelewa wako ni mdogo kama bavicha wenzako tu
 
Ni vema mashinji akawataja tu wanaohusika na mkakati huo ovu ili PCCB wawashughulikie mara moja!

Hata kama ushahidi ungekuwepo, hakuna uwezekano wa takukuru kushughulikia mtu aliyetumwa kuangamiza wapinzani.

Mbona wakina Kamabaya wapo huru wanadunda tu na hata yule aliyeonekana akivamia kikao cha Cuf akakatwa kisigino yupo wapi?
 
Lema ni suala la muda tu anawindwa Na CUf ya maalimu self awe mwenyekiti wa CUF taifa na alishakubali tatizo kuna watu ndani ya chadema waliidaka alipojua kujificha ndio akaja na tamko kuwa kuna madiwani na wabunge wanataka kununuliwa na CCM kuficha. Mashinji hizo taarifa kapewa Na lema abishe hapa nimwage ushahidi na video na picha
Mwaga hapa usituzengue wee Malaya
 
Back
Top Bottom