Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,534
- 139,836
Maelezo ya Dr.Mashinji Karibu Mkuu wa CHADEMA
Serikali ya CCM inalea na kukuza rushwa katika nchi yetu
Naamini kabisa wengi mtaungana na mimi katika hili. Kuna watu wengi sana wapo rumande wakiteseka kwa tuhuma za rushwa. Wengine ni watu mashuhuri sana hapa
Kinachonistaajabisha ni namna ambavyo masuala ya rushwa yanavyoshughulikiwa kwa ubaguzi wa hali ya juu. Mathalani: baadhi ya madiwani wa CHADEMA wamekiri kupewa pesa ili wajiuzuru nafasi zao. Watoa pesa wakitajwa kuwa viongozi wa Serikali (mfano: wilayani Arumeru).
Mchezo huu umefika kwa baadhi ya wabunge wetu kufuatwa na kurubuniwa kwa fedha na vyeo ili wajiuzuru nafasi zao (kuna wabunge wanne tayari wamefuatwa). Naamini hawana bei hivyo watatupilia mbali upuuzi huu.
Mambo haya hata Mkuu wa kaya aweza kuwa hayafahamu lakini nashawishika kuamini kwamba yeye ndo fundi katika hili. Ni ngumu sana kutekelezwa bila ufahamu wake kwani hata simu huwa anazisikiliza (alisema mwenyewe)
Ki msingi, matendo haya yote ni ya rushwa hivyo niseme kwamba serikali inashiriki katika kutoa na kupokea rushwa.
My take:
Kama ni kweli mnashindwa nini kuweka mtego tukamkamata wenyewe mtoa rushwa?