mirror01
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 1,880
- 1,492
Wewe demu mchovu tu...cleaver by half vice will remains vice kwanza ubongo wako wakijani sio wasiasa corrupt mind !!Wewe dada uelewa wako ni mdogo kama bavicha wenzako tu

Ni vema mashinji akawataja tu wanaohusika na mkakati huo ovu ili PCCB wawashughulikie mara moja!
Hivi haya makosa ya kutakatisha pesa hakuna kifungu cha kumtakatisha mtu?Maelezo ya Dr.Mashinji Karibu Mkuu wa CHADEMA
Serikali ya CCM inalea na kukuza rushwa katika nchi yetu![]()
Naamini kabisa wengi mtaungana na mimi katika hili. Kuna watu wengi sana wapo rumande wakiteseka kwa tuhuma za rushwa. Wengine ni watu mashuhuri sana hapa![]()
Kinachonistaajabisha ni namna ambavyo masuala ya rushwa yanavyoshughulikiwa kwa ubaguzi wa hali ya juu. Mathalani: baadhi ya madiwani wa CHADEMA wamekiri kupewa pesa ili wajiuzuru nafasi zao. Watoa pesa wakitajwa kuwa viongozi wa Serikali (mfano: wilayani Arumeru).
Mchezo huu umefika kwa baadhi ya wabunge wetu kufuatwa na kurubuniwa kwa fedha na vyeo ili wajiuzuru nafasi zao (kuna wabunge wanne tayari wamefuatwa). Naamini hawana bei hivyo watatupilia mbali upuuzi huu.
Mambo haya hata Mkuu wa kaya aweza kuwa hayafahamu lakini nashawishika kuamini kwamba yeye ndo fundi katika hili. Ni ngumu sana kutekelezwa bila ufahamu wake kwani hata simu huwa anazisikiliza (alisema mwenyewe)
Ki msingi, matendo haya yote ni ya rushwa hivyo niseme kwamba serikali inashiriki katika kutoa na kupokea rushwa.
My take:
Kama ni kweli mnashindwa nini kuweka mtego tukamkamata wenyewe mtoa rushwa?
Maelezo ya Dr.Mashinji Karibu Mkuu wa CHADEMA

Kama ni kweli mnashindwa nini kuweka mtego
tukamkamata wenyewe mtoa rushwa?
Word up!Wataje wote waliorubuniwa,kama hauwezi bora ukafunga bakuli lako.
Huyu mashinji anaonekana kijana lakini inaelelkea akiri yake ni ya kikongwe miaka tisini wahongwe ili iwe nini hivi anawajua wabunge wake VIZURI? ni mabingwa wakujipa Kiki za kijingaMaelezo ya Dr.Mashinji Karibu Mkuu wa CHADEMA
Serikali ya CCM inalea na kukuza rushwa katika nchi yetu![]()
Naamini kabisa wengi mtaungana na mimi katika hili. Kuna watu wengi sana wapo rumande wakiteseka kwa tuhuma za rushwa. Wengine ni watu mashuhuri sana hapa![]()
Kinachonistaajabisha ni namna ambavyo masuala ya rushwa yanavyoshughulikiwa kwa ubaguzi wa hali ya juu. Mathalani: baadhi ya madiwani wa CHADEMA wamekiri kupewa pesa ili wajiuzuru nafasi zao. Watoa pesa wakitajwa kuwa viongozi wa Serikali (mfano: wilayani Arumeru).
Mchezo huu umefika kwa baadhi ya wabunge wetu kufuatwa na kurubuniwa kwa fedha na vyeo ili wajiuzuru nafasi zao (kuna wabunge wanne tayari wamefuatwa). Naamini hawana bei hivyo watatupilia mbali upuuzi huu.
Mambo haya hata Mkuu wa kaya aweza kuwa hayafahamu lakini nashawishika kuamini kwamba yeye ndo fundi katika hili. Ni ngumu sana kutekelezwa bila ufahamu wake kwani hata simu huwa anazisikiliza (alisema mwenyewe)
Ki msingi, matendo haya yote ni ya rushwa hivyo niseme kwamba serikali inashiriki katika kutoa na kupokea rushwa.
My take:
Kama ni kweli mnashindwa nini kuweka mtego tukamkamata wenyewe mtoa rushwa?
Word up!
Umetambua ulaghai wa viongozi wako!
Maelezo ya Dr.Mashinji Karibu Mkuu wa CHADEMA
Serikali ya CCM inalea na kukuza rushwa katika nchi yetu![]()
Naamini kabisa wengi mtaungana na mimi katika hili. Kuna watu wengi sana wapo rumande wakiteseka kwa tuhuma za rushwa. Wengine ni watu mashuhuri sana hapa![]()
Kinachonistaajabisha ni namna ambavyo masuala ya rushwa yanavyoshughulikiwa kwa ubaguzi wa hali ya juu. Mathalani: baadhi ya madiwani wa CHADEMA wamekiri kupewa pesa ili wajiuzuru nafasi zao. Watoa pesa wakitajwa kuwa viongozi wa Serikali (mfano: wilayani Arumeru).
Mchezo huu umefika kwa baadhi ya wabunge wetu kufuatwa na kurubuniwa kwa fedha na vyeo ili wajiuzuru nafasi zao (kuna wabunge wanne tayari wamefuatwa). Naamini hawana bei hivyo watatupilia mbali upuuzi huu.
Mambo haya hata Mkuu wa kaya aweza kuwa hayafahamu lakini nashawishika kuamini kwamba yeye ndo fundi katika hili. Ni ngumu sana kutekelezwa bila ufahamu wake kwani hata simu huwa anazisikiliza (alisema mwenyewe)
Ki msingi, matendo haya yote ni ya rushwa hivyo niseme kwamba serikali inashiriki katika kutoa na kupokea rushwa.
My take:
Kama ni kweli mnashindwa nini kuweka mtego tukamkamata wenyewe mtoa rushwa?
Ni vema mashinji akawataja tu wanaohusika na mkakati huo ovu ili PCCB wawashughulikie mara moja!
Sasa kati ya Ccm waliohonga na chadema waliohongwa baada ya kuhongwa wanalalamika mwenye akili ni nani? Siasa za namna hii zinaudhi sana
Maelezo ya Dr.Mashinji Karibu Mkuu wa CHADEMA
Serikali ya CCM inalea na kukuza rushwa katika nchi yetu![]()
Naamini kabisa wengi mtaungana na mimi katika hili. Kuna watu wengi sana wapo rumande wakiteseka kwa tuhuma za rushwa. Wengine ni watu mashuhuri sana hapa![]()
Kinachonistaajabisha ni namna ambavyo masuala ya rushwa yanavyoshughulikiwa kwa ubaguzi wa hali ya juu. Mathalani: baadhi ya madiwani wa CHADEMA wamekiri kupewa pesa ili wajiuzuru nafasi zao. Watoa pesa wakitajwa kuwa viongozi wa Serikali (mfano: wilayani Arumeru).
Mchezo huu umefika kwa baadhi ya wabunge wetu kufuatwa na kurubuniwa kwa fedha na vyeo ili wajiuzuru nafasi zao (kuna wabunge wanne tayari wamefuatwa). Naamini hawana bei hivyo watatupilia mbali upuuzi huu.
Mambo haya hata Mkuu wa kaya aweza kuwa hayafahamu lakini nashawishika kuamini kwamba yeye ndo fundi katika hili. Ni ngumu sana kutekelezwa bila ufahamu wake kwani hata simu huwa anazisikiliza (alisema mwenyewe)
Ki msingi, matendo haya yote ni ya rushwa hivyo niseme kwamba serikali inashiriki katika kutoa na kupokea rushwa.
My take:
Kama ni kweli mnashindwa nini kuweka mtego tukamkamata wenyewe mtoa rushwa?
Tangu lini wewe ukawa na akili ya kujadili mambo kama haya? Waachie akina Polepole mliowakabidhi akili zenu kwa sasa!Acha kutanua magoli,hapa tunaongelea wabunge wa chadema kutaka kuhongwa.Hiyo ya Rais kutaka kuhongwa B300,ipo na thread yake nenda kule,hapa tunauliza kwa nini Mshinji hakuripoti TAKUKURU?,basi atuambie tu ni wabunge gani walitaka kuhongwa,na akina nani walipanga kuhonga wabunge.
Ni watu wenye akili ndogo kama wewe tu,ndio unaweza ukaipa uzito habari kama hiyo