Dr.Mashinji: CCM wanahonga wabunge ili wajiuzulu

Dr.Mashinji: CCM wanahonga wabunge ili wajiuzulu

kwa ccm kuachana na rushwa ni ngumu sana. kuhonga ni moja ya sifa ya ccm. hata wabunge wao wengi walipita kwenye kura za maoni kwa kuhongwa. bahati mbaya wengine ni mawaziri.
 
Hakuna Dr. Mpumbavu duniani kama Mashinji. Msukuma yuko sahh wenye vyeti hamna akili.
 
Uyu ndio katibu mkuu mbovu kabisa. Badala ya kukijenga chama yeye anakuja na bla bla tu
 
Hivi ni lini tutashirikisha viungo vyetu vingine kufikiri kama oblangata imesizi ? IPO HIVI DG wa the so called PCCB anateuliwa na m/kiti wa ccm sasa mnafikiri haki ipi itatendeka ? Dawa ya wasaliti ni kifo.
Lowasa kuingia chadema mlishirikisha kitengo gani?
 
Huyu mashinji hana hoja bure kabisa, nayeye ahonge wa CCM kama anaona rahisi
 
Sasa kati ya Ccm waliohonga na chadema waliohongwa baada ya kuhongwa wanalalamika mwenye akili ni nani? Siasa za namna hii zinaudhi sana
We bongolala? Chadema wanalalamika kwa serikali sio kwa ccm? Umekula maharagwe ya wapi?
 
Mchezo huu umefika kwa baadhi ya wabunge wetu kufuatwa na kurubuniwa kwa fedha na vyeo ili wajiuzuru nafasi zao (kuna wabunge wanne tayari wamefuatwa). Naamini hawana bei hivyo watatupilia mbali upuuzi huu.
Chadema walizoea kuishi kwa uongo,sasa wamenusa harufu ya kukataliwa wanaanza kujihami.
Hivi unaanzaje kumuhonga Lema au Msigwa wajitoe chadema,si wana kufix tu ili wapate kiki?
Magufuli kwa umakini wake anaweza akaruhusu chama kitoe pesa kikawahonge watu?
Ni wakati wa uongo chadema kupingwa na watu wote,kwa nini Mashinji hajaripoti TAKUKURU?
Kama chadema wapo makini,wataje hao wabunge wa nne waliofuatwa kurubuniwa,na wataje ni akina nani waliotaka kurubuni wabunge wa chadema.
 
Sasa kati ya Ccm waliohonga na chadema waliohongwa baada ya kuhongwa wanalalamika mwenye akili ni nani? Siasa za namna hii zinaudhi sana
Ni kama waliotaka kumhonga Rais bilioni 300 kwenye makinikia, ulimsikia Polepole alivyolizungumzia hili?
 
Chadema walizoea kuishi kwa uongo,sasa wamenusa harufu ya kukataliwa wanaanza kujihami.
Hivi unaanzaje kumuhonga Lema au Msigwa wajitoe chadema,si wana kufix tu ili wapate kiki?
Magufuli kwa umakini wake anaweza akaruhusu chama kitoe pesa kikawahonge watu?
Ni wakati wa uongo chadema kupingwa na watu wote,kwa nini Mashinji hajaripoti TAKUKURU?
Kama chadema wapo makini,wataje hao wabunge wa nne waliofuatwa kurubuniwa,na wataje ni akina nani waliotaka kurubuni wabunge wa chadema.
Sijui kwanini CCM hawakuripoti TAKUKURU kuhusu waliotaka kumhonga Rais bilioni 300 kwenye suala la makinikia. Tena kwa kuwa TAKUKURU wenyewe ni wao, ingekuwa rahisi wahongaji kukamatwa kuliko hili la wabunge wa Chadema!
 
Vyombo vinavyohusiks na rushwa si vipo,kwa nini asiende kupeleka malalamiko yao huko.

Au kwa nini wasiwarekodi kimya kimya ni kuwrusha hewani?
Hatuna chombo huru cha kuwashughulikia.
 
Back
Top Bottom