Dr Maro afariki dunia

RIP dokta. Amenitibu sana nikiwa mdogo. Roho ya marehemu ipate pumziko la Amani........Amina.
 
Ni Kaka wa mama Mkapa, alikuwa Dr wa Mzee Mkapa kipindi cha urais na pia ni dr muhimbili na ana dispensary yake Kkoo.

Sio kaka wa anna maro mkapa ni baba mdogo wa mama anna na hakuwahi kuwa dokta wa rais yeyote wa jamhuri hii ila alishawahi kuwa mkuu wa bloodbank pale muh2 na mzee mkapa na anna walikuwako pale upanga mtaa wa longido jioni hii na ile disp yake imefungwa mpaka tar 16 mwezi huu
 
Back
Top Bottom