kufuatia mwenendo wa kesi kumwendea vibaya Dr. Milton Makongoro Mahanga, hali yake ya afya imeyumba na kumpa wakati mgumu kuanza kujitetea mahakamani, hadi hivi sasa kesi inaelekea kuwa njema kwa mpendazoe, muda si mrefu uchaguzi mdogo unanukia , source. kwa ndugu ya makongoro na masaburi, mchana wa leo jumanne machi, 27/ 2012

Ningekuwa mimi ningeiba tena masanduku ya kura mahakamani.
idd amin akifa mimi siwezi kulia
Ningekuwa mimi ningeiba tena masanduku ya kura mahakamani.
​BONGO ni zaidi ya uijuavyoMwizi siku zote hasalimiki......hata kidogo
.
Hata mimi nashindwa kuelewa wanashindwa je kuiba faili la hiyo kesi mahakamani kwa kuwa hawa jamaa lifesource yao ni wizi.
.
Furaha ni kuumwa kwake au ni ushindi wa haki mahakamani?
Ni kama umefurahia kuumwa kwake badala ya kesi kumwendea vibaya.
Ushindi wa mahakama hauna uhusiano na kuumwa kwake wao wanaangalia ushahidi na vielelezo visivyo acha mashaka.
Kama ni kushindwa kesi ama akiwa wa afya njema au afya mgogoro bado atashindwa.