Dr Magufuli Anaomba Ridhaa Ya Urais Au Uwaziri?

Dr Magufuli Anaomba Ridhaa Ya Urais Au Uwaziri?

Kibo10

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
11,278
Reaction score
8,868
Katika hali inayoshangaza,Magufuli anaomba ridhaa ya kuongoza wananchi lakini sehemu zote alizopita yeye ni kuzungumzia Barabara na madaraja tu.
Sasa watu wanajiuliza huyu anaomba urais au uwaziri?
Kuongoza taifa yapo mambo mengi yamsingi watu wanahitaji kusikia sio wimbo wa barabara toka uwaziri na sasa unataka ikulu unarudia wimbo huo huo.
Udhaifu huo umemwondolea Magufuli sifa ya kuwa rais na sifa yake kuu ya Uwaziri au Umeneja umejidhiirisha wazi.
 
Umesahau alivyoeleza juu ya kuboresha maslahi ya watumishi, kuanzisha mahakama ya mafisadi nk?
 
Hata mie nimekuwa najiuliza swali hilo , hotuba zake zote ni barabara

Swala jingine kaishiwa cha kuongea
Jana nikamskia akitumia motto wa chadema “peoples power“

Hana jipya
 
He deserve Managerial Position than a Leader. Tanzania kwa salsa Tunamhitaji Kiongozi ambae si Mwingine Bali E.Lowassa.
 
MAGUFULI hakuwa amejianda kuwaa rais jamani.aliokota embe dodo chini ya mbuyu na hivyo usimshangae. na kwa jinsi alivyo ingefaa kuwa waziri mkuu baada ya kuwa waziri kwa muda mrefu.
 
Umesahau alivyoeleza juu ya kuboresha maslahi ya watumishi, kuanzisha mahakama ya mafisadi nk?

Mahakama ya kifisadi itasaidia vipi kuondoa mfumuko wa bei?

Makufuli ni mpumbavu na lofa au?
 
Umesahau alivyoeleza juu ya kuboresha maslahi ya watumishi, kuanzisha mahakama ya mafisadi nk?

Hivi Rais anaweza kuunda mahakama ambayo iko nje ya katiba na sheria za nchi bila kupitia bungeni?? Am just curious.
 
Umesahau alivyoeleza juu ya kuboresha maslahi ya watumishi, kuanzisha mahakama ya mafisadi nk?

Hiyo mahakama haipo kwenye katiba wala sheria, hata kwenye katiba pendekezwa haipo itambidi apambane na bunge kubadili katiba na sheria kuichomoka hiyo mahakama! Matatizo ya ufisadi rasimu ya warioba ilikuwa mwarobaini msivyitutakia mema mkagoma
 
Back
Top Bottom