MANI
Platinum Member
- Feb 22, 2010
- 7,318
- 6,394
Ya Magufuli yanafanana na ya Makinda.
Mkuu huko si shwari tena!
Ya Magufuli yanafanana na ya Makinda.
Umesoma na kuelewa Mkuu? Acha kuropoka kabla ya kuelewa.
Mzee Tupatupa
Ya Magufuli yanafanana na ya Makinda.
Mzee Tupa Tupa wa Ufipa Dar es Salaam.
Nikuulize swali, Nyerere mnayemsifia kila siku aliongoza kupitia chama gani?
aliishia kusema Bila CCM Madhubuti Nchi itayumba,hatimaye tingatinga linaingia kurekebisha paliposinyaa.
Endelea kumzoea Magufuli kama Rais wako wa awamu ya tano,hauna namna nyingine.
Mkuu Achana naye VUTA-NKUVUTE na BAVICHA wamechanganyikiwaMkuu,
Ni wapi sijaelewa, nieleweshe!
Nimekuuliza kama wewe unadhani Magafuli hachaguliki, nani anachagulika?
Ukawa kwenyewe hakuna mgombea hadi sasasawa mzee Tupatupa kwa mantiki hiyo unawashauri nini wanaCCM? Au wachague Ukawa mchezo uishe?
Huyo sio mzee ni Bavicha wanajaribu kumtetea Lowasa maana walikuwa wana mshawishi aende kwao ili wapambane na CCM ...Teh Tehhuyu mzee anashawishika na vijisenti alivyopewa ili kuchafua wasafi na kusafisha wachafu.
kamwe ukweli utabaki kuwa ukweli.
magufuli anakubalika sannaaaaa....
#tukutane_oktoba
Huyo sio mzee ni Bavicha wanajaribu kumtetea Lowasa maana walikuwa wana mshawishi aende kwao ili wapambane na CCM ...Teh Teh
Huyo ni mmoja wa Bavicha walio changanyikiwa..amesahau kuwa hata UKAWA hadi sasa hawana mgombea kutokana na mziki wa Magufuli..
ifipa ndiyo wapi mkuu au umetumwa?vuta nikuvute-mzee wa ifipa muda huu jielekezeni kuinusuru ndoa yenu ya ukawa ili walau mlete msisimko wa kumsindikiza magufuli kwenye kukamilisha ratiba ya uchaguzi.
Hayo ya kuhangaika na magufuli ni mazito kwenu,hamyawezi.jielekezeni kuokoa ndoa yenu inayopumulia mashine.