Dr Lwaitama: CCM wakimsimamisha Dr. Salim A. Salim watashinda Urais

Safari hii siungi mkono raisi mwislamu, mzanzibar au kutoka mtwara. No. Tumefikia hapa.
 
Hivi sisi tumelaaniwa au vichwa vina matongotongo! Kweli kabisa tunashindwa kuamua au kufikiria kuwa Dk. Salim Ahmed Salim ndio mgombea pekee wa kututoa hapa tulipo na kutufikisha nchi ya ahadi.

Tunangoja nini sasa!
 
Watanzania tunapita katika kipindi muhimu sana cha kupata katiba mpya ambayo yeye ameshiliki katika hatua za awali ,maoni ya wananchi yanachakachuliwa yeye amekaa kimya tu. Hivi ndo mtu tunayemuhitaji kweli?
 
Hawezi kuwa mtetezi wa wananchi kama katika kipindi hiki yuko kimya unazani ataweza hapo baadaye hatutaki viongozi wa aina hii. Tena ameonyesha makucha yake mapema sana bora wananchi tumemjua.
 
Hivi sisi tumelaaniwa au vichwa vina matongotongo kweli kabisa tunashindwa kuhamua au kufikiliaa kuwa Dk Salim Ahmed salim ndio mgombe pekee wa kututoaa hapa tulipo kutufikishaa nchi ya ahadii
Tunangoja nn sasa

Hivi mtazamo wangu siku moja nikitaka ndio uwe mtazamo was wote si nitaonekana hamnazo kweli? Wewe sema unamuona Dr Salmin anafaa kuwa rais inatosha! Kejeli nyingine zote achana nazo la sivyo utaonekana hamnazo tuuuu
 
Miafrika ndivyo tulivyo mtu anatoka usiku usingizini anataka kutulisha maneno wote eti rais awe fulani kutoka ccm nasema hivi ndani ya ccm hakuna aliye mkamilifu hata akishuka malaika atachafuliwa tu nyumba yoote imejaa oil chafu.
 
Hivi sisi tumelaaniwa au vichwa vina matongotongo! Kweli kabisa tunashindwa kuamua au kufikiria kuwa Dk. Salim Ahmed Salim ndio mgombea pekee wa kututoa hapa tulipo na kutufikisha nchi ya ahadi.

Tunangoja nini sasa!

Si mlisema sio mTZ?? Hivi kumbe shetani akizeeeka anakuwa malaika?
 
Salim ni kweli anafaa sn tu kuliko hawa majambazi wote walojitokeza wanangoja waingie Ikulu ili watutandike na janga lingne la ukimwisrow.
 
Takribani miaka 10 iliyopita kadamnasi ya Watanzania walikuwa na shauku na fikra kama zako...

Kwa moyo mkunjufu kabisa matumaini yao wakayaweka kwa JK kuwatoa walipokwama...

Miaka imekatika, matarajio ya wengi yamefifia kama si kufutika kabisa...

Wakati huo watu walisahau jambo moja, badala ya kubalisha injini ya gari kuukuu wao wakalipaka rangi mpya na safari ilipoanza hakuna lilipofika...

Wakati wa kulifanyia tena gari matengenezo umefika, je unadhani kipi ni bora kati ya kurudia kupaka rangi au kubadili injini?

Pasipo kuitoa CCM nchi itarudi kulekule, hata kama ukimuweka Salim Ahmed Salim...

CCM imeishiwa maono

Hivi sisi tumelaaniwa au vichwa vina matongotongo! Kweli kabisa tunashindwa kuamua au kufikiria kuwa Dk. Salim Ahmed Salim ndio mgombea pekee wa kututoa hapa tulipo na kutufikisha nchi ya ahadi.

Tunangoja nini sasa!
 
Kilichonikera kwa salim ni kufumbia uchakachuaji wa maoni ya watanzania juu ya katiba waitakayo, ingawa yeye alishiriki kuyatafuta! By the way, nchi hii haiwezi kuongozwa na raia wa nchi jirani kamwe tena! Labda akagombee wa nchi yake ya zanziber!
 
Hivi sisi tumelaaniwa au vichwa vina matongotongo! Kweli kabisa tunashindwa kuamua au kufikiria kuwa Dk. Salim Ahmed Salim ndio mgombea pekee wa kututoa hapa tulipo na kutufikisha nchi ya ahadi.

Tunangoja nini sasa!

age factor
 
Ccm mnaweweseka,mlisema sio mtz,mlisema muuaji. Mmekosa mgombea leo hii mnasimama upande wake. Siku ya kufa nyani,miti yote huteleza. Hakuna namna nyingine ya kuweza kuiokoa ccm katika kipindi hiki,miezi inakatika hata mgombea mtarajiwa hajulikani. Wakati katika kipindi cha nyuma,rais alkuwa anajulikana miaka 3 kabla,huyu wa sasa mnayetarajia kumsimamisha atajipanga lini?
 
huyu akipita uraisi, uamusho kitakua chama cha siasa.!

CCM itashinda kwa ujinga wenu.Mnagawanyika kijingajinga na mnaonesha mu-wanafiki na hamko pamoja.Uchaguzi mkuu uliopita mikoa ya Kagera na Kigoma mathalani ndıo CCM ilipata kura chache kuliko kwingneko.Leo mnawashambulıa Wahaya kwa sababu tu Tibaijuka alikula ya Escrow na ni Muhaya, hata kama mko kambi moja hawajisıkıı vema kwa maneno yanayotumika.Bora hayo yangekuwa yanafanywa na ma-CCM.Saiz unakuja na hoja ya udini dhidi ya Salımu kugombea urais ati yuko nyuma ya uhamsho, unasahau mdau mkubwa wa UKAWA anaungwa mkono na waislamu waliowengi.Mkiendelea kuwa waropokaji tu mtaıkosa dola ambayo kila dalıli inaonesha kuanguka kwa CCM.Hamna ustahmilivu na uvumilivu na hamuwezı kuona mbele,nyuma wala pembeni.
 
Back
Top Bottom