Dr. Kumtaka mgonjwa wake ni sahihi

Dr. Kumtaka mgonjwa wake ni sahihi

Wanaume bana...
Madomo zege, kazi kutumia pesa kutongoza...lol

Fanya kazi yako, kama kweli umemzimikia dada wa watu, andika contacts zako kwenye kadi yake, then ask her for a date...(kama kweli umemzimikia) ila mimi naona ''umalaya'' tu hapo!!!
 
Sijaona tatizo hapo ambalo limekiuka maadili ya kidaktari! Kutongoza siyo dhalilisho la kijinsia jamani. Kama binadamu yeyote yule Huyo daktari ana haki ya kujaribu bahati yake.

Tena huna shukrani weye yaani pamoja na kukulipia kila kitu bado unamuanika hadharani.

alitakiwa akajipongeze na kale 'KAMNYAMA'
 
Sishangai kuna mdada m1 ni rafiki yangu,as a shemeji,alienda kutoa mimba,dr baada ya kupima na kujiridhisha akaomba mechi kabla ya kuitoa na ahadi ya kumpunguzia gharama,je ni halali .
 
km alikuwa na nia hiyo alitakiwa anitafute nje hapo na pia km ni mstaarabu na anaheshimu kazi yake alitakiwa achukue mawasiliano yangu baadae anitafute kwa ufupi nimekerwa sana

Kumbe ulikuwa tayari kutoa mawasiliano ee, unapenda kuambiwa kupitia simu ee. acha kelele. Kuna kitu ulimwonesha si bure
 
Amejitolea kukulipia unasema amekutongoza, je angekutongoza ungesema kakulala!? Acha ushamba nikawaida tu hyo! Kiroho safi yaniii♥♥♥
 
km alikuwa na nia hiyo alitakiwa anitafute nje hapo na pia km ni mstaarabu na anaheshimu kazi yake alitakiwa achukue mawasiliano yangu baadae anitafute kwa ufupi nimekerwa sana

hahaha
kumbe hasira ni sababu umetongozewa ndani ya chumba cha hospitali......!!!!
 
Bila shaka utakuwa umepona.... usijikere sana Msamehe Dr.
maisha yasonge mbele.
Good Luck
 
habari ya hapa,

Pole kwa kuudhiwa,
Ninashidwa kuelewa maana kuna maswali critical yaliyoulizwa kuwa ulikasirika kuwa 'approached' wakati unaumwa au kwasababu ni 'daktari'?
Pili kuna mkuu aliuliza vipi angekuwa angekuwa mhasibu?

Binafsi ninadhani, watu hukutana sehemu mbali mbali zikiwapo kazini. Na baadhi ya kazi hufanya kuanzisha mahusiano kuwa ngumu, mfano wa kazi hizo ni udaktari.

Tukija katika kisa/uzoefu chako..sina uhakika kama aliyekuhudumia ni daktari(ingawa alikuhudumia vizuri) kwa maana sidhani pamoja na majukumu kuhusika tena katika majukumu ya upigaji wa mahesabu ya gharama za vipimo na dawa!

Pili, nikiendelea kuamini maelezo hayo hapo juu, naweza kusema mtoa huduma huyo hakuwa na ustaarabu, si kwasababu ya hisia zake kwako ila kwa kuwa hakutoa muda kidogo kati ya huduma tolewa na kuhitaji kueleza anachojisikia kwako.

Tatu, kwangu mimi siamini kama hasira zako zilikuwa jambo kwa alilofanya, ila tayari kulikuwa na sababu (underlying) yaani yuko katika moja ya makundi ya watu ambao kwako hawana nafasi.
 
Last edited by a moderator:
[font=&amp] wakati watu wanasherehekea x-mass me nilikuwa naumwa, lkn nashukuru mungu naendelea vyema, siku ya sikukuu mida ya jioni baada ya homa kupamba moto ilinipidi niende katika zahati moja hiv karibu na ninapoishi, [/font]

[font=&amp]nilipofika nilimkuta dr. Mwanaume , alinihudumia vizuri lkn mwishoni aliniudhi sana yule dr. Kuanza kunitaka me mgonjwa wake ukweli alinikera yaani aliniharibia jioni yangu, nilimwambia nipigie mahesa vipimo pamoja na dawa ni kiasi gani nadaiwa alikataa nakusema nenda tu nitakulipia, niliondoka zangu. [/font]
[font=&amp]baada ya kuondoka nilijiuliza maswali hiv huyo anafanya biashara gani? Kwa siku wanafika wanawake wangapi pale?, anaingiza pesa kweli? Sikupata majibu. [/font]

jaman tuwahurumie madaktari wetu,hv ukiwa daktar unazuiliwa kumpenda mtu....utafiti unaonesha watu wengi wamewaoa watu waloiwaona kazini kwao,hv mnajua kuwa walimu wengi wa zamzn walioa waliokua wanafunzi wao. Ww mueleze tu kua hali ya haijatengamaa kias cha kuyazungumzia hayo....akusubiri uimprove halafu mtaongea....sio kuja humu kumdharirisha daktar uliekr ka kutibu vizur au ndo huu ushamba wetu wa mitandao....mtu hata akikosa usingiz anapost.
 
Wakati watu wanasherehekea X-mass me nilikuwa naumwa, lkn nashukuru Mungu naendelea vyema, siku ya sikukuu mida ya jioni baada ya homa kupamba moto ilinipidi niende katika zahati moja hiv karibu na ninapoishi,

Nilipofika nilimkuta Dr. mwanaume , alinihudumia vizuri lkn mwishoni aliniudhi sana yule Dr. kuanza kunitaka me mgonjwa wake ukweli alinikera yaani aliniharibia jioni yangu, nilimwambia nipigie mahesa vipimo pamoja na dawa ni kiasi gani nadaiwa alikataa nakusema nenda tu nitakulipia, niliondoka zangu.
Baada ya kuondoka nilijiuliza maswali hiv huyo anafanya biashara gani? kwa siku wanafika wanawake wangapi pale?, anaingiza pesa kweli? Sikupata majibu.

Mdada yoyote kutongozwa ni kawaida.. Au ndo mara yako ya kwanza?????
 
Acha promo wewe inamaana kwa umri wako huo hujawahi kutongozwa shuleni, chuoni, kazini, harusini, msibani, kwenye gari nk? Au kwa kua umeona ni Dr umeamua ujipe promo? Au kila ukitongozwa lazima uje upost tujue? Kua kimwili na kiakili upendo hauchagui na kila msichana angekua anatangaza akitongozwa hapa jukwaani pasingetosha. Tumia muda wako vizuri na umshukuru huyu aliekuhudumia vizuri tena bure hadi ukapata muda wa kujipa promo jukwaani.
 
Si halali japo wote wana makosa ila Dr. Kazidi maana kuomba ngono kwanza ni kosa na kitoa mimba pia kosa.
 
Kuku siku zote anakula usawa wa kamba yake, na Dr. the same applied sister Habari ya Hapa
 
Acha promo wewe inamaana kwa umri wako huo hujawahi kutongozwa shuleni, chuoni, kazini, harusini, msibani, kwenye gari nk? Au kwa kua umeona ni Dr umeamua ujipe promo? Au kila ukitongozwa lazima uje upost tujue? Kua kimwili na kiakili upendo hauchagui na kila msichana angekua anatangaza akitongozwa hapa jukwaani pasingetosha. Tumia muda wako vizuri na umshukuru huyu aliekuhudumia vizuri tena bure hadi ukapata muda wa kujipa promo jukwaani.


he he he pole sana mkuu, heri ya mwaka
 
habari ya hapa,

Pole kwa kuudhiwa,
Ninashidwa kuelewa maana kuna maswali critical yaliyoulizwa kuwa ulikasirika kuwa 'approached' wakati unaumwa au kwasababu ni 'daktari'?
Pili kuna mkuu aliuliza vipi angekuwa angekuwa mhasibu?

Binafsi ninadhani, watu hukutana sehemu mbali mbali zikiwapo kazini. Na baadhi ya kazi hufanya kuanzisha mahusiano kuwa ngumu, mfano wa kazi hizo ni udaktari.

Tukija katika kisa/uzoefu chako..sina uhakika kama aliyekuhudumia ni daktari(ingawa alikuhudumia vizuri) kwa maana sidhani pamoja na majukumu kuhusika tena katika majukumu ya upigaji wa mahesabu ya gharama za vipimo na dawa!

Pili, nikiendelea kuamini maelezo hayo hapo juu, naweza kusema mtoa huduma huyo hakuwa na ustaarabu, si kwasababu ya hisia zake kwako ila kwa kuwa hakutoa muda kidogo kati ya huduma tolewa na kuhitaji kueleza anachojisikia kwako.

Tatu, kwangu mimi siamini kama hasira zako zilikuwa jambo kwa alilofanya, ila tayari kulikuwa na sababu (underlying) yaani yuko katika moja ya makundi ya watu ambao kwako hawana nafasi.[/QUOTE]


hapo ndo palipo niudhi
 
Pole sana pengine unavutia na ulitinga viwalo vya beach ukaendea hospital dr naye uzalendo ukamshinda
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom