Dr. Kumtaka mgonjwa wake ni sahihi

km alikuwa na nia hiyo alitakiwa anitafute nje hapo na pia km ni mstaarabu na anaheshimu kazi yake alitakiwa achukue mawasiliano yangu baadae anitafute kwa ufupi nimekerwa sana

Sasa nimekuelewa na ninakuunga mkono kabisa. Madaktari siku hizi wameishiwa na maadili ya kazi kabisa. Hawatofautishi kazi na starehe binafsi. Kimsingi wanatumia nafasi walizo nazo kujinufaisha kibinafsi. Nakumbuka miaka michache iliyopita kuna dada mmoja alipekeka mtoto wake mgonjwa hospitali ya Mwananyamala Dar. Ile kuonana na daktari ,jamaa anataka mzigo kabla hata mtoto hajatibiwa. Nilijiuliza kuwa hata angekuwa changudoa agewezaje kutoa mzigo wakati mtoto anaumwa na hajatibiwa na mama yake bado ana wasiwasi? Tatizo la mambo haya kuyapatia ushahidi ni vigumu na usitegemee ushirikiano kutoka kwa wafanyakazi wenzake hata kama wamejua hilo suala.I
 
Ilikuwa part ya matibabu ya ugonjwa alaiobainu unakusumbua. Sasa kwa taarifa yako umeshakatiza dozi.hutapona ndiyo maana alikataa kuchukua hela yako
 
Kuna uwezekano ikawa ndio tabia yake ila kuna uwezekano pia akawa kakupenda kiukweli......wewe unadhani atakutana wapi na the love of his life kama sio hospital...tuliza kipago binti
 
km alikuwa na nia hiyo alitakiwa anitafute nje hapo na pia km ni mstaarabu na anaheshimu kazi yake alitakiwa achukue mawasiliano yangu baadae anitafute kwa ufupi nimekerwa sana
wewe ulikuwa unalijau hilo kwanini hukumpa namba yako na baadae akupigie... sikuarajia kabisa ungeyaleta hapa!
 
Wakati watu wanasherehekea X-mass me nilikuwa naumwa, lkn nashukuru Mungu naendelea vyema, siku ya sikukuu mida ya jioni baada ya homa kupamba moto ilinipidi niende katika zahati moja hiv karibu na ninapoishi,

Nilipofika nilimkuta Dr. mwanaume , alinihudumia vizuri lkn mwishoni aliniudhi sana yule Dr. kuanza kunitaka me mgonjwa wake ukweli alinikera yaani aliniharibia jioni yangu, nilimwambia nipigie mahesa vipimo pamoja na dawa ni kiasi gani nadaiwa alikataa nakusema nenda tu nitakulipia, niliondoka zangu.
Baada ya kuondoka nilijiuliza maswali hiv huyo anafanya biashara gani? kwa siku wanafika wanawake wangapi pale?, anaingiza pesa kweli? Sikupata majibu.
Pole sana. Ila fikra na mawazo uliyokuwa nayo kuwa ni wangapi anawataka ni upande mmoja pia tu wa mawazo, upande wa pili yawezeka wewe ndiye wa kwanza kwa kuwa alivutika na kukupenda. Kwa Dr kumpenda mgonjwa ni tatizo?Lakini ungeweza kumwambia in black and white that yuo dont entertain.
love_has_no_boundaries_by_werewolf98765-d598fw2.png
 
Hayatuhusu sisi sasa inamaana kila wanaokutongoza unawaleta jf kuelezea au ndio kujishaua ungekuwa mwanamke wa ukweli ulitakiwa umlipe kiasi chake cha huduma na kuondoka
sasa ukaamua kukubali zawadi ya kijinga sana wewe kubali uingie kwenye mtandao wa mapenzi fikiri wangapi wagonjwa wanaletwa pale kutibiwa na anafanya vile
ila kwa kuwa hujaolewa na huna mme lichune hilo buzi likikataa njoo utuambie kuwa limekataa kuchunwa maana sisi ndio tunaokuongoza ubongo ulionao hilo pambo tu kama manyoa kwenye mwili wa binadamu
 
Kimaadili ya udaktari amekosea kukutongoza sio sawa kabisa kwa daktari kutongoza mgonjwa wake. Unapoenda kumwona daktari inatakiwa mgonjwa awe na uhuru wa kujieleza na kupimwa bila kudhalilishwa kijinsia, sasa daktari anapobadili zoezi na kuleta sera za ngono inamuweka mgonjwa katika hali tete sana. Huyo daktari amedhalilisha fani yake na madaktari wenzake.
 
ila hii kazi jamani ina majaribu makubwa sana,the best way ni ku encourage wagonjwa waje na wenza wao,ndugu zao au ni lazima uwe na nurse in the consultation room,vinginevyo aibu.
Kuna ka bint kanauguza mgonjwa pale wodini kwangu,..honestly kavuruga akili yangu..ila ndo hayo maadili ya kazi ya kujiheshimu...ila kafinyangwa aisee...anyway mungu ambariki.
 
We bi mdada mbona unataka kutukoroga ndonya sie..nani aliyekuambia mgonjwa hatongozwi???..msipo tongozwa mnaenda kukesha kwa waganga mtanafuta vumba mkitongozwa mnajiona mmeonewa acheni hizo mbona alivyokusamehe vijisenti ukaridhika?..km kweli ungekuwa na msimamo ile ela ungeitupa hata chini ili uxpress msimamo wako...kwanza ushatembea na wanaume wangapi ww???:eek::eek::eek::eek:
 
juzi mchumba wangu kaenda kutoa jino dr.kachukua no.kwenye reg.book kaanza kumtafuta,ila sometime 2siwahukumu wapo waliowapata wake kwa style iyo chamsing msikilize na mjibu vzr maana mwenzangu alivyo muambia ninamtu kaka wawatu ajarudia usumbufu
 
Dada tulia tu. Kwani Dr. haoi?? Je anaruhusiwa kuwaoa madaktari wenzake tu au wanawake wengine? Umesema mwenyewe kuwa ulienda disp. ya karibu na unapokaa, huenda huyu Dr. wako amekuona kwa siku nyingi ila kila saa upo serious. Huingiliki, huangalii pembeni, amekuvizia hata akupe lift tu hupatikani. Leo, chance imekuleta kwenye line. Asipotumia hiyo chance, utapatikana wapi? Tueleze alichokifanya, kakupima miguuni badala ya kichwani au kakuvua nguo zako akupime machungwa kama una uvimbe wa saratani wakati weye una homa?
Ni nini kilikuudhi? Kama ni hayo maombi, usichukie rudi tena pale mwambie tiba yake haijakufaa sana abadili ili uzidi kufaidi dawa ya bure. Ni sikukuu hiyo. Mwulize kama ameoa au la.
Ndipo kwa majibu yake umpime kama ni mtu serious au juha tu people have so many ways to express themselves
 
Wakati watu wanasherehekea X-mass me nilikuwa naumwa, lkn nashukuru Mungu naendelea vyema, siku ya sikukuu mida ya jioni baada ya homa kupamba moto ilinipidi niende katika zahati moja hiv karibu na ninapoishi,

Nilipofika nilimkuta Dr. mwanaume , alinihudumia vizuri lkn mwishoni aliniudhi sana yule Dr. kuanza kunitaka me mgonjwa wake ukweli alinikera yaani aliniharibia jioni yangu, nilimwambia nipigie mahesa vipimo pamoja na dawa ni kiasi gani nadaiwa alikataa nakusema nenda tu nitakulipia, niliondoka zangu.
Baada ya kuondoka nilijiuliza maswali hiv huyo anafanya biashara gani? kwa siku wanafika wanawake wangapi pale?, anaingiza pesa kweli? Sikupata majibu.

Weka picha yako tukutathimini je unafaa kulipiwa?
 
Alternative question; Professor / Lecturer ni halali kumtaka mwanafunzi wake? Dr aligundua wewe huumwi ila ni upweke wa wapendwa wako kwenda makwao mikoani na kubaki peke yako "lonely"
 
Mkulima anakula shambani kwake, sasa wewe ulitaka doctor akale wapi?? Ndio lecturer mmoja akasema from Monday to Saturday niko chuo, unategemea mabinti nikatoe wapi....

Anyway, alipaswa kukusoma na kuona hauko katika mood nzuro, I mean at least get your contacts and then tafuta wewe baadae.
 
Naona wengi mnamfagilia Dr kwamba afanyeje naye kapenda,mara atapata wapi mwanamke kama sio ofisini kwake? Ebu jaribu kumwelewa mtoa mada, hajakataa kutongozwa kwa sababu mwisho wa yote yeye ndiye mwenye maamuzi ama kukubali au kukataa. Tatizo ni timing (yaani kumtongoza wakati anaumwa!). Je angemwomba namba yake na kusema angependa kumpigia ili kujua anaendeleaje si ingetosha kwa siku hiyo. Kisha baada ya kujua kuwa amepata nafuu si ndio angempa pole na sasa kueleza hisia zake? Mnafikiri agefanya hivyo hii thread ingeanzishwa?
 
Na huyu mtoa mada kazimia kwa doctor,maana kinadada wengi anaweza kukutukana anavyotaka lakini ukimkomalia unagonga unapewa box manyoya.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom