Dr. Kumtaka mgonjwa wake ni sahihi

Dr. Kumtaka mgonjwa wake ni sahihi

Inaonyesha fikra zako zimekaa kutongozwatongozwa. Yeye hajatamka neno lolote linaloashiria kukutaka iweje umfikirie hivyo? Wewe umeenda ni mgonjwa unajuaje kama amepanga kumrudushia Muumba shukrani na fungu la kumi kwa kuwaribu wagonjwa bure? Acha kuwa na mawazo mgando
 
Wakati watu wanasherehekea X-mass me nilikuwa naumwa, lkn nashukuru Mungu naendelea vyema, siku ya sikukuu mida ya jioni baada ya homa kupamba moto ilinipidi niende katika zahati moja hiv karibu na ninapoishi,

Nilipofika nilimkuta Dr. mwanaume , alinihudumia vizuri lkn mwishoni aliniudhi sana yule Dr. kuanza kunitaka me mgonjwa wake ukweli alinikera yaani aliniharibia jioni yangu, nilimwambia nipigie mahesa vipimo pamoja na dawa ni kiasi gani nadaiwa alikataa nakusema nenda tu nitakulipia, niliondoka zangu.
Baada ya kuondoka nilijiuliza maswali hiv huyo anafanya biashara gani? kwa siku wanafika wanawake wangapi pale?, anaingiza pesa kweli? Sikupata majibu.

Lazima utakuwa hot mpaka dokta uzalendo ukamshinda lol..... mpe nafasi bana.....
 
Wakati watu wanasherehekea X-mass me nilikuwa naumwa, lkn nashukuru Mungu naendelea vyema, siku ya sikukuu mida ya jioni baada ya homa kupamba moto ilinipidi niende katika zahati moja hiv karibu na ninapoishi,

Nilipofika nilimkuta Dr. mwanaume , alinihudumia vizuri lkn mwishoni aliniudhi sana yule Dr. kuanza kunitaka me mgonjwa wake ukweli alinikera yaani aliniharibia jioni yangu, nilimwambia nipigie mahesa vipimo pamoja na dawa ni kiasi gani nadaiwa alikataa nakusema nenda tu nitakulipia, niliondoka zangu.
Baada ya kuondoka nilijiuliza maswali hiv huyo anafanya biashara gani? kwa siku wanafika wanawake wangapi pale?, anaingiza pesa kweli? Sikupata majibu.

Pole sana dadangu, mwanaume anapokutokea usijedhani kwamba anapenda sana kutongoza au ni mhuni, ktk hili tuchukulie mfano wa nyuki, sio kila ua nyuki hutua bali hutua ktk ua ambalo anahic atapata mali ghali ya kutengenezea asali, hivyo nahic alikuona kama umekaa kiasali asali may be, tatizo lenu ni kuwa mkitongozwa mkachomoa mnakuja kuweka jamvini, mnapotoa mzigo mnakaa kimyaaaaaaaaaaaaaaa.
 
Pole sana dadangu, mwanaume anapokutokea usijedhani kwamba anapenda sana kutongoza au ni mhuni, ktk hili tuchukulie mfano wa nyuki, sio kila ua nyuki hutua bali hutua ktk ua ambalo anahic atapata mali ghali ya kutengenezea asali, hivyo nahic alikuona kama umekaa kiasali asali may be, tatizo lenu ni kuwa mkitongozwa mkachomoa mnakuja kuweka jamvini, mnapotoa mzigo mnakaa kimyaaaaaaaaaaaaaaa.[/QUOTE]


kwa hiyo ulitaka watu wakisuguana huko waje waseme kuwa wamesuguana???
 
Watu hua wanakutana popote. Dr hautakiw kujihusisha kimapnz na mgonjwa wake labda kama dr - patient relation imeisha
 
Angekua mhasibu wa bank sijui ungetuambiaje?
Ishu hapo ni the way aliku approach,amechanganya kazi na personal issues....ila angechukua namba then baadae akakutongoza hapo will be your option!!

teh teh teh mwekundu mchokozi ww
 
Kwa maadili yetu madaktari hicho ni kinyume na maadili unaweza kumshitaki.lakini amekutongoza katika mazingira gani akiwa anakutibu au baada ya kukutibu?
 
Habari yako mdada na pole sana. Hiyo ni saikolojia tu iliokuumiza na wala sio jambo la kuliwazia sana ukishakua ni motto wakike, kutongozwa ni kawaida, ila wengi wanajihisi obsessed wanapokua wanatongozwa na watu ambao ni superior na kioo Fulani km vile mwalimu wako, baba yako wa kambo, boss wako wa kazi, madaktari na rafiki yko wa dhati. ila ungekua haujui ni daktari na akakutongoza mtaani ungeliona jambo la kawaida, sema umejihisi km kachukua advantage na kakuona cheap japokua wanawake wengnine wanaona ni bahati. ki ukweli mtu km huyo hakupaswa kufanya jambo hilo maana sio nidhamu ya kazi hasa akiwa ni mtu aliekupita umri mkubwa, ndo mafataki wenyewe, lakini yote yote kila mtu na hulka yake, madhali kaingia mwenyewe choo cha kike na kujipendekeza kukataa kupokea pesa ni ujinga wake mwenyewe, maana akili za wanaume wengi finyu hua wanajua kila mwanamke anavutiwa na pesa na kumpata ni rahisi. punguza hasira, mpuuzie tu, duniani watu wengi. Mungu akulinde. ASANTE
 
Naunga mkono hoja, na ukiugua ugonjwa ambao unahitaj kuwa karibu na madactar tofauti tofauti au kwenda hospital mara kwa mara ndo utawajua vizuri.
 
Angekua mhasibu wa bank sijui ungetuambiaje?
Ishu hapo ni the way aliku approach,amechanganya kazi na personal issues....ila angechukua namba then baadae akakutongoza hapo will be your option!!

mkuu umenifanya nicheke kidogo hapo me nimefuata tiba yy anaingiza vitu vingine ambavyo c pahala pale hapo ndipo alipovuruga

kwani kuna sehemu maalum za kutongozeana? Mbona mkiwa maofisini kwenu mnashikana hadi papuchi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom