km alikuwa na nia hiyo alitakiwa anitafute nje hapo na pia km ni mstaarabu na anaheshimu kazi yake alitakiwa achukue mawasiliano yangu baadae anitafute kwa ufupi nimekerwa sana
mie ninachoona hapa ni kuwa unatutangazia kuwa umebahatika kutongozwa na Dr. na kakutibu bure. Nikama ambavyo dreva angekutaka na asikulipishe nauli. Ungechukia napo?
Pole sana kwa kuumwa dada. jitahidi upumzike vyema kisha kula sana matunda na kunywa maji yaliyochemshwa bila kusahau mboga za majani kwenye mlo wako... Ukizingatia hayo hakika utapona haraka
Sasa nimekuelewa na ninakuunga mkono kabisa. Madaktari siku hizi wameishiwa na maadili ya kazi kabisa. Hawatofautishi kazi na starehe binafsi. Kimsingi wanatumia nafasi walizo nazo kujinufaisha kibinafsi. Nakumbuka miaka michache iliyopita kuna dada mmoja alipekeka mtoto wake mgonjwa hospitali ya Mwananyamala Dar. Ile kuonana na daktari ,jamaa anataka mzigo kabla hata mtoto hajatibiwa. Nilijiuliza kuwa hata angekuwa changudoa agewezaje kutoa mzigo wakati mtoto anaumwa na hajatibiwa na mama yake bado ana wasiwasi? Tatizo la mambo haya kuyapatia ushahidi ni vigumu na usitegemee ushirikiano kutoka kwa wafanyakazi wenzake hata kama wamejua hilo suala.I
wewe ulikuwa unalijau hilo kwanini hukumpa namba yako na baadae akupigie... sikuarajia kabisa ungeyaleta hapa!
Kuna uwezekano ikawa ndio tabia yake ila kuna uwezekano pia akawa kakupenda kiukweli......wewe unadhani atakutana wapi na the love of his life kama sio hospital...tuliza kipago binti
Wanawake ndivyo walivyo mara oh mimi bwana fulani si mpendi mara oh sinunuliki ukija kumpa wakuta ni bwawa la kambare, tope tele wavuvi wawili kwa wakati mmoja waweza ingia.Hayatuhusu sisi sasa inamaana kila wanaokutongoza unawaleta jf kuelezea au ndio kujishaua ungekuwa mwanamke wa ukweli ulitakiwa umlipe kiasi chake cha huduma na kuondoka
sasa ukaamua kukubali zawadi ya kijinga sana wewe kubali uingie kwenye mtandao wa mapenzi fikiri wangapi wagonjwa wanaletwa pale kutibiwa na anafanya vile
ila kwa kuwa hujaolewa na huna mme lichune hilo buzi likikataa njoo utuambie kuwa limekataa kuchunwa maana sisi ndio tunaokuongoza ubongo ulionao hilo pambo tu kama manyoa kwenye mwili wa binadamu

Wakati watu wanasherehekea X-mass me nilikuwa naumwa, lkn nashukuru Mungu naendelea vyema, siku ya sikukuu mida ya jioni baada ya homa kupamba moto ilinipidi niende katika zahati moja hiv karibu na ninapoishi,
Nilipofika nilimkuta Dr. mwanaume , alinihudumia vizuri lkn mwishoni aliniudhi sana yule Dr. kuanza kunitaka me mgonjwa wake ukweli alinikera yaani aliniharibia jioni yangu, nilimwambia nipigie mahesa vipimo pamoja na dawa ni kiasi gani nadaiwa alikataa nakusema nenda tu nitakulipia, niliondoka zangu.
Baada ya kuondoka nilijiuliza maswali hiv huyo anafanya biashara gani? kwa siku wanafika wanawake wangapi pale?, anaingiza pesa kweli? Sikupata majibu.
Si halali hata kidogo, binafsi ni Daktari na ninapata changamoto kibao tu hasa linapokuja mgonjwa kaja na nia mbili mbili, kuna wengine ingawa wanaumwa lakini bado huwa wako sokoni wakiuza vikojoleo vyao, Pole kwa mkasa wako lakini nawe ulikosea kukubaliana na ombi lake la kukulipia gharama za huduma aliyokupatia sinto shangaa siku nawe ukirudisha fadhila ingawa kwa sasa unaonekana umekasirisha na kitendo hicho! Tujitambueni inawezekana mabadiliko tukishirikiana vyema.
Mkuu ila pale hapo haipendezi bana km angelikuwa kanipenda kwa kadi yangu angeniandikia namba yake
avantar yangu