Breki sina
Member
- Jun 3, 2013
- 96
- 31
Makamu mwenyekiti wa chuo kikuu cha sauti Dr Kitima,yupo Star tv kwenye kipindi cha tuzungumze asubuhi, ameiponda bajeti ya serikali kuu kuwa ni tegemezi kutoka kwa wahisani,anasema huwezi kutatua matatizo ya afya,elimu,na maji wakati hatukusanyi kodi ya kutosha,na pia anawatuhumu baadhi ya viongozi wa serikali kufanya biashara zisizo halali.