Ndugu wanajamvi leo nimeamua kuwaletea mpambano wa wanyiramba hawa wawili ambao wanatarajia kumenyana kwenye kinyang'anyiro cha ubunge mwaka 2015 kwenye jimbo la Iramba, wasomi hawa wamekuwa na mvuto wa tofauti katika jimbo la iramba.
Kwa upande wa Mwigulu Nchemba amekuwa kivutio pale anapofika jimboni na kugawa pesa kwa vijana wa stendi, sokoni na mitaa yote anayopita hivyo amefanikiwa kuwa na wafuasia wanaopenda pesa zaidi kuliko yeye mwenyewe hii ni kutokana na pale anapofika jimboni akiwa hana pesa huwa anaambulia matusi na kejeli kutoka kwa vijana wa iramba.
Kwa upande Dr. Kitila Mkumbo huwa akifika jimboni watu wengi hupenda kupiga nae picha, vijana hupenda kusikiliza nasaha zake ambazo huwa zinalenga ktk masuala ya elimu na ujasiriamali, anapenda sana kuwasaidia wazee wanaopendelea kunywa pombe za kienyeji kwa mfano ktk kijiji cha mugela aliwasaidia wazee kwa kuwaezekea kilabu chao cha pombe yao ya kienyeji maarufu kama mtukuru.
Kitila akifika jimboni hupendelea kupita kwenye shule za mkoa mzima kwa mfano aliwahi kupita kwenye shule za A-level za mwenge na tumaini kuwapa ushauri na hamasa ya umuhimu wa kusoma kwa bidii.
Kwa upande wa elimu zao Mwigulu anafanya PhD na kitila anafanya ya uprofesa hivyo kila mtu hapo anaitumia elimu yake kwa jinsi tofauti coz Mwigulu anaamini katika sera za Prof. Lipumba za kugawa pesa na Kitila anaamini katika kuwapa elimu bora wanyiramba ili waweze kufanya biashara zao vyema.
NAOMBA KUWASILISHA.
Mimi ni kwetu ni Shellui nimeongea na wananchi wa hapa wamechoka na Mwigulu Nchemba wanasema kwamba Dr. Mkumbo uvute soksi kwani 2015 jimbo ni lako.
Mimi ni kwetu ni Shellui nimeongea na wananchi wa hapa wamechoka na Mwigulu Nchemba wanasema kwamba Dr. Mkumbo uvute soksi kwani 2015 jimbo ni lako.
Mkuu mkakati huu utaanza rasmi mapema mwakani. Kuna wazee najaribu ku-organise ili wakamushauri Dr.Mkumbo aje kujenga Iramba yetu......pia kunajaribu kuwaalika makamanda wa makao makuu waje kutupa kampani M4C tarafa ya Shelui kama walivyofanya Iringa.....sisi ndo tuliyemweka Mwigulu na sisi ndo tutamuondoa
Na mtaota na kusubiri sana na huyo kitila wenu. dr. gani hawezi hata kufanya analysis za kidaktari.Mimi ni kwetu ni Shellui nimeongea na wananchi wa hapa wamechoka na Mwigulu Nchemba wanasema kwamba Dr. Mkumbo uvute soksi kwani 2015 jimbo ni lako.
Na mtaota na kusubiri sana na huyo kitila wenu. dr. gani hawezi hata kufanya analysis za kidaktari.
KOSA LILIKUWA LETU MA KING MAKER (wa kinampanda ) HATUKUWA SERIUS HADI TUKARUHUSU WATOTO KUINGIA CHUMBANI KWA BABA NA MAMA! 2015 ....MKUMBO NJOO KINAPANDA TUONGEE ,ANGALAU TUNAWEZA KUKUSIKILIZA!Mimi ni kwetu ni Shellui nimeongea na wananchi wa hapa wamechoka na Mwigulu Nchemba wanasema kwamba Dr. Mkumbo uvute soksi kwani 2015 jimbo ni lako.
Dr Mkumbo kipanga sana na ndie anastahili kuwa mbunge Iramba si Mwigulu ambaye anakariria tu hana ubongo.Na mtaota na kusubiri sana na huyo kitila wenu. dr. gani hawezi hata kufanya analysis za kidaktari.
Pole pole wana JF,mda si mrefu Mwigulu anaweza anza okota makopo kwani akisikia jina la Dr. Kitila Mkumbo network inakata gafla.