MwanaDiwani
JF-Expert Member
- Mar 22, 2013
- 5,536
- 2,264
Tatizo lako kwa sababu akili yako tayari imeisha kuwa poisoned by negative comtemplative basi kila kikitajwa kijiji unafikiria ukabila.Mkuu sio lazima aanzie nyumbani!!!! Urais haupatikani kwa ukabila wala udini kama mnavyofikiria nyinyi CCM. Rais anachaguliwa na watanzania wote na siyo sehemu uliyozaliwa tuu
Namjua vzr na najua vzr changamoto za uchaguzi wa daruso..lakini kwann alishinndwa kuwashawishi wana kijiji alikozaliwa wachague wenyeviti wa vijiji wa chadema huko kwao iramba??? Daruso is history now, talk on real politics
Mkuu kuwa Rais wa Chuo kikubwa kama UDSM bado hana uwezo naanza kushikwa na wasiwasi juu ya uelewa wako
Umejaa fitina tu wewe huna lolote, Profesa Safari ndio alipaswa kuwa Mufti mkuu wa Waislamu baada ya kifo cha Mufti Sheikh Juma Bin Hemed, ila kwa fitina za wapenda ubwabwa kama wewe mkamchaguwa darasa la saba Mufti Simba.Wewe ndiyo kilaza unatutajia Prof. Safari hajawahi kuwa hata mjumbe wa kata, kama unampenda labada kampe urais wa nyumbani kwenu.
bora tupate mtu fresh,kuliko hao waliopitia uwenyekiti uvccm,uwaziri bure kabisa.DR.Kitila akigombea kura yangu atapata
Mkuu na mimi naona nitagombea urais kwa tkt ya chadema, nimeamua kurudi
Tatizo lako kwa sababu akili yako tayari imeisha kuwa poisoned by negative comtemplative basi kila kikitajwa kijiji unafikiria ukabila.
Swali la kwanza kwa mtu anayegombea Urais huwa ni WHO'S THIS?. Sasa kama hata watu wa kijijini kwake hawamfahamu, unategemea watanzania wengine ndiyo watamfahamu kwa undani zaidi.
He's just floating without political foundation.
Mkuu unasahau ambayo unapost wewe mwenyewe humu?Mkuu na mimi naona nitagombea urais kwa tkt ya chadema, nimeamua kurudi
Nimesikia huko kwenu babu hagombei tena urais hivyo nitakuja kugombea kwa niaba yakeMkuu umeamua kurudi wapi? We si ulisema kuwa haujawahi kuwa mwanachama wa CHADEMA tangu uzaliwe? Sasa unataka kurudi wap ambapo ulikuwa mwanzo?
Kwani kakwambia Prof. Lipumba atagombea?. Kumlisha mtu maneno ni dalili ya kuishi kiudaku udaku.Mkuu tutampa kura Prof.Lipumba.
Nani apokee oil chafuMkuu na mimi naona nitagombea urais kwa tkt ya chadema, nimeamua kurudi
Umejaa fitina tu wewe huna lolote, Profesa Safari ndio alipaswa kuwa Mufti mkuu wa Waislamu baada ya kifo cha Mufti Sheikh Juma Bin Hemed, ila kwa fitina za wapenda ubwabwa kama wewe mkamchaguwa darasa la saba Mufti Simba.
Matokeo yake mtaendelea kuimba nyimbo ya mfumo kristo mpaka mwisho wa Dunia hii. Profesa Safari ni msomi nisiye na shaka naye na asiyependa makuu, yuko simple siku zote.
Mimi nashambulia Waislamu wajinga kama wewe na Sheikh Ponda na Mohamed Said, Waislamu wenye akili timamu kama Bakhresa, Agha Khan and likes nawapa tano.Tatizo nyie vijana wa Bavicha badala ya kusimama kwenye hoja mnawashambulia Waislam.
Umeishajiuliza akili ndogo inaongoza akili kubwa Chadema Mbowe, darasa la saba lakini anawangoza kina Prof. Safari. Prof. Baregu, Dr Kitila, Zitto, Lissu.