Dr Kitila Mkumbo aing'arisha CHADEMA vyuo vikuu

Dr Kitila Mkumbo aing'arisha CHADEMA vyuo vikuu

Jamani mbona gazeti hili la mwananchi halipatikani kwenye mtandao
 
Chapakazi mkuu unawekeza na muda si mwingi utavuna tu!!
 
mkumbo ni jembe, ful ujasir, ni mwanamapinduz kwel kwel sio kama hao ma dr wengne wanaogopa eti watafukuzwa
 
ya si si emu hukohuko!

Acha kuingia jamvini ukiwa umekunywa chang'aa. Wa hukohuko ni chama makini(CCM) au chama uchwara(CDM)?.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
 
Huyu Dakta kawa critical kivipi kuleta mabadiliko chamani mwake kwanza?

Swali tu.
Kama kungekuwa na mchakato wa wachagiaji hapa jamvini ambao sio bendera fuata upepo na hatimaye usinge shinda ni ngesikitika sana
 
Kutokuwa Prof hakuzuii mtu kufikia malengo ktk maisha yake ilimradi hayo malengo hayahitaji hiyo title. Go on Daktari, we appreciate your movements!!!
 
Benson B atakusikia ndugu!!!???. Ukweli unaumaaa!!! Keep it up Daktari!!!
 
Back
Top Bottom