Duh mkuu..sasa wewe mbona ndo unatuogopesha? Kama umekabidhiwa kitengo kama cha kufanya maamuzi ya uchumi..si tutakwenda na maji? Maana kama ulivyosema..hukuwahi kumuelewa mwalimu wako wa somo la uchumi. Duh...bongo jamani.......mwanafunzi anapata A na darasani hakuambulia chochote! (na mind you hapo ni University!)...Safari ni ndefu!
Hayo ndio matokeo ya Taaluma kutawaliwa na wanasiasa matokeo yake tunazalisha matatizo. Mtu anapewa uprofessa kwa kuandika majarida ya CCM na Political manifesto ili apewe position mahali. I have lost hope in Tanzania kabisa Vyuo vimejaa longo longo, Serikalini vitu vinaendeshwa kimajungu na mwishoe nchi inakosa mwelekeo kabisa!!!!