haina kweere arifu nitakatia barabara karibu na wizara ya nishati na madini pale pale kati kati.....Hapana ila itakuwa ni kitendo cha ushujaa !
kafumu akishinda hii kesi nakata gogo barabarani.....
chaguzi ndogo ni mzigo kwa taifa hili masikini. Laiti kama ushindi kwa chadema ungemaanisha kupewa ubunge huu. Vinginevyo kafumu aendelee tu ili kuepuka gharama hizi za kisiasa.
peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeesssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssss
taratibu mkuu!
okay nitafanya faster......taratibu mkuu!
hukumu ya igunga leo..kashinje vs kafumu,
....kwakweli mpaka sasa hivi mbunge wa ccm ameshindwa kumleta shahidi ambaye angetoa taswira njema kwa ushindi wa kafumu.
Kwani bwana magufuli, ambaye yeye ametajwa kwenye kesi mara kadhaa; kwamba alikuwa akitoa ahadi ambazo alikuwa akitoa
mbele ya jukwaa..kwa hali hiyo mgombea wa chadema anasema alikuwa anatoa kama nani? Waziri au mpiga debe wa ccm?
Kwakweli kesi imekaa patamu sana...kama haki ikitendeka ...basi jimbo tutalajie kuwa wazi katika hukumu ya leo..!!!
Updates
magari ya polisi, gari la maji washa, naona ndo yanawasili hapa mahakamani, ila bado hatujaingia ndani ya ukumbi wa mahakama, pia watu bado si wengi sana.
Hapana ila itakuwa ni kitendo cha ushujaa !
This is a bit strange for a reason, dot you think?nyererelism bado unawatesa waislam kwa kuwaanzishia bakwata. Waislam waliamini akija kikwete atauvunja mfumo wa nyerere ulioasisiwa kwa manufaa ya kanisa. Lkn bado akina nape wameapa kufa nao. Bora wanaona chama chao kife lkn nyererelisim against islam uwepo. LEO TUNAOMBA CCM IANGUKIE PUA MAHAKAMANI
Mkuu, point yako inamnyang'anya mtu haki yake......haiwezi kukubalika.Matamshi atoe maghufuli. Bastola abebe Rage. Halafu Jaji abatilishe matokeo ya Kafumu. Kodi zetu ziteketee tena! Acheni hizo.
Tiyariiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii?