Mbona inaonekana amekata tamaa na hana mpango wa kukata rufani? Nadhani amegundua wananchi hawako tena na CCM, na kuwa CCM ipo kwa kuwa inaungwa mkono na dola.aliyekuwa mbunge wa jingo la igunga amefunguka na kusema kuwa hakuwa na imani na jaji kwa kuwa aliegemea upande wa chadema na matokeo yake ameipa chadema ushindi, pia Dk. kafumu ameenda mbali zaidi kwa kusema kuwa yeye siyo mbunge tena na ataendelea na kazi yake ya utafiti wa madini.
source EAT
we need current news with attachments
Chezea Profesa Safari weye!!aliyekuwa mbunge wa jingo la igunga amefunguka na kusema kuwa hakuwa na imani na jaji kwa kuwa aliegemea upande wa chadema na matokeo yake ameipa chadema ushindi, pia Dk. kafumu ameenda mbali zaidi kwa kusema kuwa yeye siyo mbunge tena na ataendelea na kazi yake ya utafiti wa madini.
source EAT
Natabiri ushindi kwa CCM...!
:coffee:
aliyekuwa mbunge wa jingo la igunga amefunguka na kusema kuwa hakuwa na imani na jaji kwa kuwa aliegemea upande wa chadema na matokeo yake ameipa chadema ushindi, pia Dk. kafumu ameenda mbali zaidi kwa kusema kuwa yeye siyo mbunge tena na ataendelea na kazi yake ya utafiti wa madini.
source EAT
Kafumu ataendelea kuiota nafsi yake ya ukamishina wa madini.Tamaa ya kutaka k kuwa MP ili ateuliwe kuwa waziri wa nishati na madini ndo imemlet down .