Dr. Kafumu (CCM) avuliwa ubunge Igunga!

Hapana! Hizo zote hapo juu ni cha mtoto! Hii hapa chini ndiyo iliyovunja rekodi!

There are currently 3565 users browsing this thread. (557 members and 3008 guests)

Mkuu Tumbiri, PhD. Ni wakati sasa umefika walioko madarakani wajue kuwa watanzania wa leo jioni si wale wa jana asubuhi. Saa ya mabadiliko, yaja. Saa ya ukombozi na matumaini yaja. Tumenyonywa vya kutosha kupitia wachache waliovunja Azimio la Arusha na kuleta la kwao la Zanzibar ambalo limeleta madaraja ya watu Tanzania. Maskini wa kutupwa (kwa sasa 67.9% wanaishi below 1.25 a dollar per day, in average maana wening hata dola robo hawana kwa siku as per the Poverty and Human Development Report, 2011) na wachache wananeema ambao like 0.001% na waliobaki hawaeleweki middle income or what? It is done, and changes must!!
 
punga ndio laana ya umaskini kwa Tanzania plus kanga na chumvi

Umesahau kofia, bootle opener wakati hata maskini huyo hajawahi kunywa soda anakunywa maji ya malambo wanashirikiana na mafugo. So sad!! Hebu tujaribu tena upande mwingine wa shilingi pengine itasaidia.
 
Wako wachache sana majaji kama hao, angeletwa arusha ccm ingeshinda maana hata el na batilda hawakuenda kutoa ushahidi ieweje usikilizwe upande mmoja tu
 

Acha niwa pre-empty wamewapa hii CHADEMA ili ile ya Arusha waendelee kuing'ang'ania.....
 
ni kumshukuru mungu kwamba amesimama mwenyewe na haki imepatikana igunga ccm wameangukuia pua poleni sasa sijui kwa haya nape nauye atasemaje.daima ppls powerrrrrrrrrrrrrrr
 
Mkubwa! Siku zote sikio la kufa hakika halisikii dawa na ndio chichiem hao!

ni kumshukuru mungu kwamba amesimama mwenyewe na haki imepatikana igunga ccm wameangukuia pua poleni sasa sijui kwa haya nape nauye atasemaje.daima ppls powerrrrrrrrrrrrrrr
 
Ama kweli demokrasia inazidi kuimarika, lakini enzi za mwalimu........
 
Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Igunga amefunguka na kusema kuwa hakuwa na imani na jaji kwa kuwa aliegemea upande wa CHADEMA na matokeo yake ameipa CHADEMA ushindi.

Dk. Kafumu ameenda mbali zaidi kwa kusema kuwa yeye siyo mbunge tena na ataendelea na kazi yake ya utafiti wa madini.

source EAT
 
aah afadhali akatumike fani yake aachane na siasa maana wasomi wetu wote wamegeukia siasa tu sasa.
 

Ningekuwa Dr. Kafumu ningekaa kimya, kimya milele. He is not a politician. He is not a publicity man!!! Ajipange, kwa kudura ya mwenye madaraka atampa hata u-diplomat.
 

sizitaki mbichi hizi...................
 
Na kwa taarifa yenu magamba, Kafumu kasema yeye SI MWANASIASA! Ni mtaalam wa madini na bila shaka hataki tena malumbano na kaamua kukaa pembeni. Msimlazimishe!!!!!!!!!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…