Wapi FMES na William Malecela?
Nakumbuka sana mh. Nape Nnauye ndo alikuwa wa kwanza kuja kuzomea Chadema hapa jf, tunataka aje atoe msimamo wake hapa tena baada ya hukumu hii. Kwa kweli siku ile alitumia maneno ambayo hakustahili kuyatumia kwa nafasi yake. Ningethamani aje tena leo tumsikie mh sana.
hv msosi huu wtz watakula 5yrs tunataniana,wananchi tunataka maendeleo siyo rushwa ya chakula.
Team ya Kamfumu Igunga iliwaza vema sana ambao ni Mwigulu, Lusinde, mkapa, Magufuli, Easter Bulaya, na kubwa jinga Tyson
Team ya Kamfumu Igunga iliwaza vema sana ambao ni Mwigulu, Lusinde, mkapa, Magufuli, Easter Bulaya, na kubwa jinga Tyson
Hayo yanyotokea igunga ni kiashirio cha kutojipanga kwa tume ya uchaguzi
nawasilisha
Naomba sana mkuu wangu unipelekee salam hizi kwa mheshimiwa sana mchumi wa daraja la kwanza Mwigulu wa Mchemba bin Mchamba chamba! mkubushe tu kwamba ubaya huwa haulipi!Pole ya nini na mahakama haijatenda haki, mmesahau kwa Lema?
Mi namtaka Mwigulu Nchemba, sijui yupo katika hali gani? mweeeeeeeeeeWapi FMES na William Malecela?
Kaisahihishe,..njiwa pori wewe...
Nafikiri wakati umefika kwa CCM kutubu na kufanya toba. Na hayo wayafanye wakati wa mapumziko 2015 hadi 2075
Naomba sana mkuu wangu unipelekee salam hizi kwa mheshimiwa sana mchumi wa daraja la kwanza Mwigulu wa Mchemba bin Mchamba chamba! mkubushe tu kwamba ubaya huwa haulipi!