Nikupateje
JF-Expert Member
- Dec 22, 2009
- 1,334
- 990
VUTA-NKUVUTE, kabla hujaendelea na sherehe zako ni vema ukatupa hata kwa ufupi hoja zilizomwangusha kafumu
Mtajibeba magambaFuraha ya bandia hiyo!
Aisee............!!Wanafikiri mtu kuvuliwa Ubunge ni rahisi tu kama wao wanavyovuana chupi
Dah hukumu gani ya masaa manne jamani..kweli hakuna reporter yoyote pande za huko Igunga atupe updates??
Kweli?! Kodi zetu jamani.Chadema wameshinda kesi tayari..habari ndo hiyo
Jaman leteni habar,nani mshindi???watu tuanze kushangilia
acheni uongo
VUTA-NKUVUTE, kabla hujaendelea na sherehe zako ni vema ukatupa hata kwa ufupi hoja zilizomwangusha kafumu[/QUOTE
Ni kweli matokeo yametenguliwa
Source: Chadema Headquarter
Hivi ungekuwa wewe ndiyo jaji na kamasi lako kichwani ungethubutu kusema lema ameshindwa kwenye kesi hiyo? ulifatilia kesi hiyo au unaweka ushabiki mandazi tu hapa....Kauli ya Lema tafadhali na hili anasemaje? nani aliyetoa maelekezo ya kutenguliwa ubunge wa KAFUMU?