Dr. Isaac Ndodi, jirekebishe

Dr. Isaac Ndodi, jirekebishe

dk.ndodi namkubali sana kama anakubore badilisha station hujalazimishwa pia yeye ndiye anayelipia kipindi wewe kusikiliza tu

Ndugu kipindi hiki kwa vyovyote kinafuatuliwa na watu wa imani tofauti, na nina hakika huyo Dr. Ndodi (sijui ni udokta wa nini) ndilo lengo lake, kama ndivyo aache kuingiza mambo ya kiimani kwenye hayo mafundisho yake. Kwa vyovyote kwa wengine inaweza kuwa kero.

Kuhusu kubadili kipindi sidhani kama Ndodi (anayelipia kipindi) angejibu kama ulivyojibu wewe.

Hapa hoja ni dokta Ndodi kutambua kuwa anasikilizwa na watu wa imani tofauti na awatendee haki, sio suala la wewe kumkubali, huo ni ubinafsi.

Mimi ni mkristo.
 
Asante mkristo mwenzangu kwa kuelewa hoja yangu hasa ni nini.
 
These little parochial itinerant evangelists are nothing but opportunistic freeloaders constantly looking to binge on account of the sheeple.

Mwanamke anayemsikiliza huyo automatically kashakuwa disqualified anyway.

So inawezekana in a roundabout way, in a Darwinian evolutionary sense, anasaidia ku weed out the feeble minded.

Mwanamke asiolewe na mywa pombe wakati Yesu mwenyewe alivyoingia kwenye harusi na kukuta mvinyo umeisha alibadili maji kuwa mvinyo.

The hilarity!
 
We unamuamini Matola? Mbona hajaweka hata quote moja, usiwe naive kutrust hyperbolics za emotions za watu.
 
We unamuamini Matola? Mbona hajaweka hata quote moja, usiwe naive kutrust hyperbolics za emotions za watu.

Wapi nimeandika kuhusu kuamini?

I removed myself from the specific example and talked about a general case, still you can't read, let alone comprehend.
 
Mbaya zaidi jamaa alikuwa anaponda vitambi kwa nguvu zoote na kuzinadi dawa zake kama kiboko ya magari mabovu...nlishangaa sana kumuona ana tumbo kama mfuko likiwa limekaa katika hali ya manyama uzembe. Nkijiona kijana nna six pack na nimefuata dawa kwake nilighairi hata kasemina kake mbuzi.

Yaani waafrika tumekaa kitapeli tapeli tu.

Blalifuli kitambi ndodi!
 
Achana nao hawajui walitendalo YESU aliwanywesha mvinyo waalikwa kwenye harusi ya Cana Wasabato ni matatizo kuliko Walokole
mbona Wakatoliki Padri anazuia mwenyew hichi kilagi bwana hata wanawake wanakitumia hasa Safari lager kwani kinaongeza mengi

Mkuu Unaweza ukani ainishia hayo matatizo ya Wasabato moja baada ya jingine ukayaleta Hapa kwa manufaa ya jamii nzima?

Nakuomba fanya hivyo tafadhali..!
 
Ulipoanza nilikuelewa vizuri sana, hapo mwishoni ndiyo umejichanganya mkuu.
Sipati picha ungekuwa Ndodi nadhani kinywaji kingekuwa sehemu ya tiba mbadala...hahahaaaaaa
 
Too much of anything is harmful..huu ndo mstari ambao naishi nao..hata ukiendekeza soda kwa sana ipo cku itakudungua tu..
 
Ni saa 12 kamili asubuhi kwa saa za Afrika mashariki kama kawaida Matola naamka BBC.
Mwanaume hupaswi kuwa kitandani saa hizi

Back to topic kuhusu huyu Dr Ndodi kila siku saa 4 usiku ana kipindi redio free Africa na anatoa elimu nzuri sana kwa vijana wajitambuwe.

Lakini tatizo langu linakuja pale anapolazimisha kila kitu kiwe quoted kutoka kwenye biblia na kana kwamba kila mpenzi wa semina zake ni mfuasi ya Yesu kristo.

Mimi ni Mkristo lakini ninachojuwa Yesu wala haitaji promo kama hizi za Ndodi otherwise abaki kwenye kazi yake ya Uinjilisti tujuwe moja kuliko kuhutubia watu wa imani tofauti na kulazimisha wawe katika mlengo wa kiimani.

Kuna vijana wengi tu wa kislaam wanavutiwa na mada zako lakini unapochanganya na Uinjilisti wako unabore baba.

Cha mwisho jana usiku nikiwa nyumbani nasikiliza kipindi chako nilifunguwa friji nikavuta kopo zangu za bia nikawa napooza koo huku nakusikiliza kwa makini mwishowe ukatowa elimu kwamba mwanamke asikubali kuolewa na mwanaume anayekunywa pombe!! Hapo ndio nikahitimisha wewe ni mjinga kabisa na Wasabato sijajuwa hasa tatizo lenu kichwani ni nini hasa?

Mkudie muumba wako kabla hazijaja siku mbaya asema Bwana wa majeshi.
 
Achana nao hawajui walitendalo YESU aliwanywesha mvinyo waalikwa kwenye harusi ya Cana Wasabato ni matatizo kuliko Walokole
mbona Wakatoliki Padri anazuia mwenyew hichi kilagi bwana hata wanawake wanakitumia hasa Safari lager kwani kinaongeza mengi

Paza sauti usikike kwa kila mtu ushahidi uwe dhahiri
 
kuna tatizo gani doctor kutoa reference kutoka kwenye bible? mimi sioni tatizo ilimradi hiyo reference iwe inasadifu mafundisho yake.
 
Mbaya zaidi jamaa alikuwa anaponda vitambi kwa nguvu zoote na kuzinadi dawa zake kama kiboko ya magari mabovu...nlishangaa sana kumuona ana tumbo kama mfuko likiwa limekaa katika hali ya manyama uzembe. Nkijiona kijana nna six pack na nimefuata dawa kwake nilighairi hata kasemina kake mbuzi.

Yaani waafrika tumekaa kitapeli tapeli tu.

Blalifuli kitambi ndodi!

Wakati mwingine inabidi ucheke tu
 
Mkuu Unaweza ukani ainishia hayo matatizo ya Wasabato moja baada ya jingine ukayaleta Hapa kwa manufaa ya jamii nzima?
Nakuomba fanya hivyo tafadhali..!
Paza sauti usikike kwa kila mtu ushahidi uwe dhahiri
Watu wengine kazi kweli kweli
Waumini bila Elimu ni kazi na mnaongozana vivyo hivyo bora mnafuata maandiko yamekatza nini
hamtaki, kulima wa la kula, Kande inapikwa Ijumaa ili jumamosi msipakuwe
maana hairuhusiwi hata kutoka umbali unaoweza rusha jiwe kwa mkono wako

Ushahidi
ni Kituko mlipoweka kambi pembeni ya Uwanja wa ndege JNIA kusubiri UNYAKUO
eti mtaruka na ndege kwenda mbinguni ni hapo nilipojua hakuna Kiongozi Mkuu wa kuendesha shughuli au kuwakemea SDA
sasa ndio natambua yupo Dr Ndodi huyu anaweza akaunganisha hii kitu
 
Back
Top Bottom