Dr. Isaac Ndodi, jirekebishe

Dr. Isaac Ndodi, jirekebishe

Ni saa 12 kamili asubuhi kwa saa za Afrika mashariki kama kawaida Matola naamka BBC.
Mwanaume hupaswi kuwa kitandani saa hizi

Back to topic kuhusu huyu Dr Ndodi kila siku saa 4 usiku ana kipindi redio free Africa na anatoa elimu nzuri sana kwa vijana wajitambuwe.

Lakini tatizo langu linakuja pale anapolazimisha kila kitu kiwe quoted kutoka kwenye biblia na kana kwamba kila mpenzi wa semina zake ni mfuasi ya Yesu kristo.

Mimi ni Mkristo lakini ninachojuwa Yesu wala haitaji promo kama hizi za Ndodi otherwise abaki kwenye kazi yake ya Uinjilisti tujuwe moja kuliko kuhutubia watu wa imani tofauti na kulazimisha wawe katika mlengo wa kiimani.

Kuna vijana wengi tu wa kislaam wanavutiwa na mada zako lakini unapochanganya na Uinjilisti wako unabore baba.

Cha mwisho jana usiku nikiwa nyumbani nasikiliza kipindi chako nilifunguwa friji nikavuta kopo zangu za bia nikawa napooza koo huku nakusikiliza kwa makini mwishowe ukatowa elimu kwamba mwanamke asikubali kuolewa na mwanaume anayekunywa pombe!! Hapo ndio nikahitimisha

Kwa hiyo sisi walinzi na madereva tuliokuwa zamu usiku sio wanaume?
 
These little parochial itinerant evangelists are nothing but opportunistic freeloaders constantly looking to binge on account of the sheeple.

Mwanamke anayemsikiliza huyo automatically kashakuwa disqualified anyway.

So inawezekana in a roundabout way, in a Darwinian evolutionary sense, anasaidia ku weed out the feeble minded.

Mwanamke asiolewe na mywa pombe wakati Yesu mwenyewe alivyoingia kwenye harusi na kukuta mvinyo umeisha alibadili maji kuwa mvinyo.

The hilarity!

Tena ndo ulikuwa muujiza wake wa kwanza kuufanya hapa duniani.

Ndodi huwa anaropoka sana wala hachagui neno la kuongea
 
Ni saa 12 kamili asubuhi kwa saa za Afrika mashariki kama kawaida Matola naamka BBC.
Mwanaume hupaswi kuwa kitandani saa hizi

Back to topic kuhusu huyu Dr Ndodi kila siku saa 4 usiku ana kipindi redio free Africa na anatoa elimu nzuri sana kwa vijana wajitambuwe.

Lakini tatizo langu linakuja pale anapolazimisha kila kitu kiwe quoted kutoka kwenye biblia na kana kwamba kila mpenzi wa semina zake ni mfuasi ya Yesu kristo.

Mimi ni Mkristo lakini ninachojuwa Yesu wala haitaji promo kama hizi za Ndodi otherwise abaki kwenye kazi yake ya Uinjilisti tujuwe moja kuliko kuhutubia watu wa imani tofauti na kulazimisha wawe katika mlengo wa kiimani.

Kuna vijana wengi tu wa kislaam wanavutiwa na mada zako lakini unapochanganya na Uinjilisti wako unabore baba.

Cha mwisho jana usiku nikiwa nyumbani nasikiliza kipindi chako nilifunguwa friji nikavuta kopo zangu za bia nikawa napooza koo huku nakusikiliza kwa makini mwishowe ukatowa elimu kwamba mwanamke asikubali kuolewa na mwanaume anayekunywa pombe!! Hapo ndio nikahitimisha

Kama umekubali yeye ni muinjilisti utambue kazi yake no kuwavuta watu wawe wafuasi wa KRISTO.Naina tatizo lako umekwazikz kwa bile unakunywa pombe hauna sababu ya kumtukana ACHA pombe!
 
Back
Top Bottom