Nuhu alihubili miaka 120 mwisho waliokoka watu 7 wafamilia yake tu, yohana pia alihubili na kubatiza lakini wachache walimkubali na kubatizwa, Yesu pia alihubili miaka 25 na kuponya watu hawakumwmini ajabu hata wanafunzi nao hawakujua maana hadi walipo shushiwa roho mtakatifu ndipo wakaelewa nakuanza kufanya kazi kama ya yesu. Wewe sasa hivi unafanana na Sauli lakini ipo siku utakuwa Paul. Amina!
Yeye ameombwa atoe andiko linalokataza Watu weusi kuoa wazungu basi. Kama hana la kuongea akahutubie sabatoni na si kwenye TV maana wengine tunataka kuangalia vipindi vya maana. Vipindi si kama wanaangalia wasabato akitaka hivyo aende kwenye matv ya dini yapo mengi tu.
matola wacha pombe utasau familia
Religion is Mankind opium.
Mkuu kwenye DINI watu hawatumii akili Wanaapply IMANI
Simple minded just like Dr Ndodi Non alcohol beer ni pombe? Nyinyi hamuwezi kunywa Baltika?
pombe ni sumu acha, na mtafute ndodi akupe dawa ya kuacha pombe.
Kwa macho yangu nishamshuhudia huyu mwinjilisti wa kisabato anapiga whisky pale Tai five, nikaona kumbe huyu miyeyusho tu
Haya ni wakati wa Testimony sasa wanafki waumbuliwe.
Nimeshajaribu kua mmoja wao, bado nimeshindwa.Hata siku moja huwezi kuwaelewa maana wewe si mmoja wao