Watu wengine kazi kweli kweli
Waumini bila Elimu ni kazi na mnaongozana vivyo hivyo bora mnafuata maandiko yamekatza nini
hamtaki, kulima wa la kula, Kande inapikwa Ijumaa ili jumamosi msipakuwe
maana hairuhusiwi hata kutoka umbali unaoweza rusha jiwe kwa mkono wako
Ushahidi
ni Kituko mlipoweka kambi pembeni ya Uwanja wa ndege JNIA kusubiri UNYAKUO
eti mtaruka na ndege kwenda mbinguni ni hapo nilipojua hakuna Kiongozi Mkuu wa kuendesha shughuli au kuwakemea SDA
sasa ndio natambua yupo Dr Ndodi huyu anaweza akaunganisha hii kitu
Wanasema aliyeshiba hamkumbuki mwenye njaa, Mimi nilinunua kitabu chake cha tiba mbalimbali kupitia matunda na vitu mbalimbali vinavyopatikana katika mazingira yetu. Kuna bwana mmoja alikuwa anasumbuliwa na vidonda vya tumbo mpaka alikuwa anaenda kulazwa lakini sasa baada ya kumwazima kitabu sasa hivi jamaa yuko vizuri, anakula vizuri na afya njema!
Ni saa 12 kamili asubuhi kwa saa za Afrika mashariki kama kawaida Matola naamka BBC.
Mwanaume hupaswi kuwa kitandani saa hizi
Back to topic kuhusu huyu Dr Ndodi kila siku saa 4 usiku ana kipindi redio free Africa na anatoa elimu nzuri sana kwa vijana wajitambuwe.
Lakini tatizo langu linakuja pale anapolazimisha kila kitu kiwe quoted kutoka kwenye biblia na kana kwamba kila mpenzi wa semina zake ni mfuasi ya Yesu kristo.
Mimi ni Mkristo lakini ninachojuwa Yesu wala haitaji promo kama hizi za Ndodi otherwise abaki kwenye kazi yake ya Uinjilisti tujuwe moja kuliko kuhutubia watu wa imani tofauti na kulazimisha wawe katika mlengo wa kiimani.
Kuna vijana wengi tu wa kislaam wanavutiwa na mada zako lakini unapochanganya na Uinjilisti wako unabore baba.
Cha mwisho jana usiku nikiwa nyumbani nasikiliza kipindi chako nilifunguwa friji nikavuta kopo zangu za bia nikawa napooza koo huku nakusikiliza kwa makini mwishowe ukatowa elimu kwamba mwanamke asikubali kuolewa na mwanaume anayekunywa pombe!! Hapo ndio nikahitimisha wewe ni mjinga kabisa na Wasabato sijajuwa hasa tatizo lenu kichwani ni nini hasa?
hilo Tatizo halikutoshi kumaanisha ni punguani tu wanaoweza kukaa pembezoni mwa uwanja wa ndege wakisubiri UNYAKUO kwa kupanda ndege? Ni waumini gani wanaweza kufanya kituko km hicho na wakemewe na Mkuu wao wa kanisa km si hao tuOk Hilo ni tatizo moja kwa mtazamo wako... Matatizo mengine ni yepi?
hilo Tatizo halikutoshi kumaanisha ni punguani tu wanaoweza kukaa pembezoni mwa uwanja wa ndege wakisubiri UNYAKUO kwa kupanda ndege? Ni waumini gani wanaweza kufanya kituko km hicho na wakemewe na Mkuu wao wa kanisa km si hao tu
Huwezi kujifananisha na ndege warukao angani na kula bure mpaka ukajiamulia Jumamosi usifanye kazi na basi usile
Mbona unatokwa na maneno sn Mkuu...!
Nayasubiri hayo matatizo mengine Mkuu uniorozeshee......!
- Umesema hapo nyuma kwamba Wasabato wana matatizo sn nikakuomba unionyeshe hayo matatizo ya Wasabato.
- Alafu kutokufanya kz siku ya jumamosi Au siku ya sabato sio maamuzi ya wanadamu Au Wasabato wenyewe Bali ni Mungu Mwenye....! Soma Kutoka 20:8-11.
- Alafu tunapojadiliana tujadiliane kwa facts sio kutoa maneno Au kalili za mitaani mwisho wa siku Unaweza ukajiona unafahamu kumbe unaonekana kituko tu ktk jamii.....!
ukajiona unafahamu kumbe unaonekana kituko tu ktk jamii.....!
- Matatizo nimeshakuorodheshea hayo unayoyataka ya zaidi hayahusiani na Mada yetu ya Dr Ndodi na pia lipo Jukwaa lake la DINI sio hapa
- Ni uongo mkubwa kutumia maandishi na vitabu vya Agano la kale wakati mnatakiwa mbadilike angalau basi hata Agano Jipya linakanusha mambo mengi ya huko nyuma kma Mambo ya Walawi na hiyo Kutoka 20:8-11
- soma Marko 2:23-27 ( 27 inamaliza kz Basi YESU akawaambia'Sabato iliwekwa kwa ajili ya Binadamu na si Binadamu kwa ajili ya Sabato, Kwa hiyo mwana wa MUNGU ana uwezo hata juu ya Sabato
- soma Mathayo:1-8 na hata Lika 6:1-5
- Wakati wa kujadiliana nimeshasema sio jukwaa hili tafuta thread yako ipeleke jukwaa husika kwani hii tulishaijadili
- sitabishana na wewe kwani nimekatazwa kubishana na watu km ww barabarani juu ya YESU
Soma Isaya 42 1-4 Mtumishi wa MUNGU Hatalia wala kupiga kelele barabarani
imerudiwa pia kwenye Mathayo 12:15-21
- Kwa hiyo acha madharau kwa mtu usiyemjua eti NAONEKANA KITUKO KATIKA JAMII
na kutuwekea Maandishi ninayoshinda nayo kila siku katika maisha yangu kwamba siyajui
Kumbe bado bado anavipindi redio free huyu tapeli? ?
Ni saa 12 kamili asubuhi kwa saa za Afrika mashariki kama kawaida Matola naamka BBC.
Mwanaume hupaswi kuwa kitandani saa hizi
Back to topic kuhusu huyu Dr Ndodi kila siku saa 4 usiku ana kipindi redio free Africa na anatoa elimu nzuri sana kwa vijana wajitambuwe.
Lakini tatizo langu linakuja pale anapolazimisha kila kitu kiwe quoted kutoka kwenye biblia na kana kwamba kila mpenzi wa semina zake ni mfuasi ya Yesu kristo.
Mimi ni Mkristo lakini ninachojuwa Yesu wala haitaji promo kama hizi za Ndodi otherwise abaki kwenye kazi yake ya Uinjilisti tujuwe moja kuliko kuhutubia watu wa imani tofauti na kulazimisha wawe katika mlengo wa kiimani.
Kuna vijana wengi tu wa kislaam wanavutiwa na mada zako lakini unapochanganya na Uinjilisti wako unabore baba.
Cha mwisho jana usiku nikiwa nyumbani nasikiliza kipindi chako nilifunguwa friji nikavuta kopo zangu za bia nikawa napooza koo huku nakusikiliza kwa makini mwishowe ukatowa elimu kwamba mwanamke asikubali kuolewa na mwanaume anayekunywa pombe!! Hapo ndio nikahitimisha
Yupo Star Tv karudi tena.