Zion Daughter
JF-Expert Member
- Jul 9, 2009
- 8,920
- 4,242
Kazi kweli.Hutaki unaacha na hayo mambo yapo kiimani zaidi.
We mwenyewe umetoka mirembe juzi na dozi hujamaliza unafikiri utaelewa..?Umeandika nini? Hiyo lugha haieleweki ni kiingereza au kilugha chenu. Next time andika lugha unayoimudu pia ujumbe wako utafika tu bila kukashifu
Kazi kweli.Hutaki unaacha na hayo mambo yapo kiimani zaidi.
Kazi kweli.Hutaki unaacha na hayo mambo yapo kiimani zaidi.
We mwenyewe umetoka mirembe juzi na dozi hujamaliza unafikiri utaelewa..?
**** Maruwengee *****
Ni saa 12 kamili asubuhi kwa saa za Afrika mashariki kama kawaida Matola naamka BBC.
Mwanaume hupaswi kuwa kitandani saa hizi
Back to topic kuhusu huyu Dr Ndodi kila siku saa 4 usiku ana kipindi redio free Africa na anatoa elimu nzuri sana kwa vijana wajitambuwe.
Lakini tatizo langu linakuja pale anapolazimisha kila kitu kiwe quoted kutoka kwenye biblia na kana kwamba kila mpenzi wa semina zake ni mfuasi ya Yesu kristo.
Mimi ni Mkristo lakini ninachojuwa Yesu wala haitaji promo kama hizi za Ndodi otherwise abaki kwenye kazi yake ya Uinjilisti tujuwe moja kuliko kuhutubia watu wa imani tofauti na kulazimisha wawe katika mlengo wa kiimani.
Kuna vijana wengi tu wa kislaam wanavutiwa na mada zako lakini unapochanganya na Uinjilisti wako unabore baba.
Cha mwisho jana usiku nikiwa nyumbani nasikiliza kipindi chako nilifunguwa friji nikavuta kopo zangu za bia nikawa napooza koo huku nakusikiliza kwa makini mwishowe ukatowa elimu kwamba mwanamke asikubali kuolewa na mwanaume anayekunywa pombe!! Hapo ndio nikahitimisha wewe ni mjinga kabisa na Wasabato sijajuwa hasa tatizo lenu kichwani ni nini hasa?
dk.ndodi namkubali sana kama anakubore badilisha station hujalazimishwa pia yeye ndiye anayelipia kipindi wewe kusikiliza tu
All alcohoo are beer but not all beer are alcohol...
Usipende kujitoa ufahamu
Achana nao hawajui walitendalo YESU aliwanywesha mvinyo waalikwa kwenye harusi ya Cana Wasabato ni matatizo kuliko WalokoleSimple minded just like Dr Ndodi Non alcohol beer ni pombe? Nyinyi hamuwezi kunywa Baltika?
Achana nao hawajui walitendalo
YESU aliwanywesha mvinyo waalikwa kwenye harusi ya Cana
Wasabato ni matatizo kuliko Walokole
mbona Wakatoliki Padri anazuia mwenyewehichi kilgi bwana hata wanawake wanakitumia kwani kinaongeza mengi
Nipe tofauti kati ya beer na alcohol.
Hata mim zaman nilikuwa nawaona hawa jamaa vichaa kamili.Mfano hawatumii majani ya chai na wanatumia "mchaichai" kwa sbb majan ya chai yana madhara kwa bindadam.Ni dhahiri sasa wao ndio wazima na tunaowapinga ndio vichaa wa ukweli.
Ni imani za kisabato anachanganya na science ya tiba.Nimeenda hadi ofisini kwake na wale wahudumu wake almos wote ni wasabato.Mimi mwenyewe huwa namsikiliza nikiona kwangu positive nachukua na nikioana negative naacha.Hakuna jambo la kiimani kwenye tiba za ndodi unachanganya madesa.
Wewe unafikiri kunywa bia ni sifa?vipi mwenye hiyo pumzi ya uhai akiichukua?