Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,429
- 108,577
- Thread starter
- #41
Ni imani za kisabato anachanganya na science ya tiba.Nimeenda hadi ofisini kwake na wale wahudumu wake almos wote ni wasabato.Mimi mwenyewe huwa namsikiliza nikiona kwangu positive nachukua na nikioana negative naacha.Lakini jambo ambalo kwangu negative kwa mwingine ni positive.Na biblia ndivyo ilivyo kila mtu anatafsiri kivyake na ndio maana kuna utitiri wa madhehebu.
Nb nimeenda hadi ofisini kwake na nadhani anachohubiri vingine havifuati
Unaona unavyojichanganya sasa?