Saidi mwemani mchaga acha kutuhadaaAcha uongo na chuki binafsi...namjua Dr. Hassan Mshinda personally kama rafiki na pia likuwa boss wangu!
Google profile ya Dr Hassan Mshinda halafu niambie kama katika 'top ten' ya scientist wa Tanzania hatakuwepo! He is a PhD holder, Malariologist, research guru, with hundreds of research publications in 'internationally accredited' journals. Ana awards nyingi tu katika uwanja wa research kutokana na kazi zake katika malaria.
Dr Mshinda hana undugu wowote na Saidi Mwema....Said Mwema ni mkwe're wa kutoka kijiji cha Mwetemo Bagamoyo (kati ya Kiwangwa na Msata), Dr Mshinda ni mNgazija toka Shelisheli (Seychelles), hapa Tanzania alihamia akasoma, akaoa, akazaa, na anafanya kazi brilliantly.
Utendaji kazi wa Dr Mshinda ulimvutia JK wakati alipokuja Mkurugenzi wa shirika la afya duniani (WHO) Dr Margareth Chang, Chang mwenyewe alisalute kazi kubwa iliyofanywa na Ifakara Health Institute chini ya Dr Mshinda akiwa mkurugenzi, kiasi kuna guidelines kadhaa za WHO zimekuwa developed kufuatia tafiti za IHI. Hata waziri wa Afya wa sasa Dr Hadji Mponda ametokea IHI naye akiwa na tafiti na publications nyingi tu za malaria.
Kama ana mapungufu mengine hapo COSTECH jaribu kujenga hoja kwa hayo...lakini usisingizie alibebwa kupewa post hiyo kwa uswahiba wa kuunga na gundi kwa JK.
Mngazija wa Ushelisheli au Mngazija wa Comoro(Ngazija),hebu fafanuaAcha uongo na chuki binafsi...namjua Dr. Hassan Mshinda personally kama rafiki na pia likuwa boss wangu!
Google profile ya Dr Hassan Mshinda halafu niambie kama katika 'top ten' ya scientist wa Tanzania hatakuwepo! He is a PhD holder, Malariologist, research guru, with hundreds of research publications in 'internationally accredited' journals. Ana awards nyingi tu katika uwanja wa research kutokana na kazi zake katika malaria.
Dr Mshinda hana undugu wowote na Saidi Mwema....Said Mwema ni mkwe're wa kutoka kijiji cha Mwetemo Bagamoyo (kati ya Kiwangwa na Msata), Dr Mshinda ni mNgazija toka Shelisheli (Seychelles), hapa Tanzania alihamia akasoma, akaoa, akazaa, na anafanya kazi brilliantly.
Utendaji kazi wa Dr Mshinda ulimvutia JK wakati alipokuja Mkurugenzi wa shirika la afya duniani (WHO) Dr Margareth Chang, Chang mwenyewe alisalute kazi kubwa iliyofanywa na Ifakara Health Institute chini ya Dr Mshinda akiwa mkurugenzi, kiasi kuna guidelines kadhaa za WHO zimekuwa developed kufuatia tafiti za IHI. Hata waziri wa Afya wa sasa Dr Hadji Mponda ametokea IHI naye akiwa na tafiti na publications nyingi tu za malaria.
Kama ana mapungufu mengine hapo COSTECH jaribu kujenga hoja kwa hayo...lakini usisingizie alibebwa kupewa post hiyo kwa uswahiba wa kuunga na gundi kwa JK.
mtoe muweke mgala mwenzio mnapenda kulalamika kama wanawakeHuyu mzee kwa majungu, fitina na Udini ndiye mweneywe, Uliza pale Ifakara health Institute
wekeni sheria waislamu wasipewe vyeo ujinga tu na wivuHiyo ya Ifakara nilishawahi kuisikia. Alijaza "wenzake" kibao kwenye management.
Wafanyakazi wa COSTECH waliobaki wanahisi ndicho kitakachotokea.
ebu toa izo qualification ebu wacha poyoyo tujue kaqualify au laMkuu relax relax au ndo wewe DG,haaaaaaaaaa,kwani mtu anaweza akawa prof lakini kwenye kazi aliyoomba akawa hana vigezo kuwa DR hakumpi qualifiacation kwa kazi alipota miaka hiyo miaka mi3 iliyopita::
leta izo qualification ili tuone kama ajaqualify kelele za nn?Kosa letu nihilo........mtu akiwakichwa kwenye eneo lake tunadhani ni kichwa katika kila kitu
nyie ndio kutwa mada za dini hapa sijui mnatatizo gan nyie jamaa sehemu akiwa muislamu ana cheo amuishi majungu ebu wacheni chukiMshinda angekuwa kichwa angeishakuwa hata associate professor. namfahamu sana mdini huyu. Na sijui team kama hiyo aliyoiondoa hapo costech ataipata kirahisi jinsi anavyowaza. Kwa wakurugenzi sawa sikatai kuondolewa kwao sababu ndo walikuwa kikwazo kikubwa mmoja wapo akiwa yeye sababu ya udini wake na kufananisha costech na IHI.
Nasikia kati ya waliofukuzwa muislam ni mmoja tu.
costech wamekuwa wakitangaza kazi za watu wenye phds takribani mara mbili hivi na hawapatikani. Sasa yeye anatimua seniors wenye phds na good background kama wale sijui atawapata wapi!
Hii issue ya dini naisikia sana, kama ndo inashika kasi hivi basi waislam wanajitengenezea wakati mbaya kwani wao wengi sio wasomi ukilinganisha na wakristo.
Kwa hiyo kujazana ndiyo mpango mzima?Sasa ulitaka asiwajaze "wenzake" awajaze wenzako? Unanshagaza!
wacheni umbeeya said mwema ni mchaga wa pasua moshiNamaanisha anatoka Bwagamoyo? Kwenye kabila moja na JEY KEI? Mi nilifikiri anatoka kaskazini
wanataka kote wakae wao tu wagaala buree kabisa awa jamaapopote alipoa muislam mwakimbilia udini .. hehehehhe
Kwa hiyo kujazana ndiyo mpango mzima?
Huyu Dr Mshinda alisoma Medical Laboratory Diploma Miaka ya 1977-79 Muhimbili Central Laboratory. He was a kind person generally to all by then sisi tulikuwa tunasoma faculty tofauti naye...Acha uongo na chuki binafsi...namjua Dr. Hassan Mshinda personally kama rafiki na pia likuwa boss wangu!
Google profile ya Dr Hassan Mshinda halafu niambie kama katika 'top ten' ya scientist wa Tanzania hatakuwepo! He is a PhD holder, Malariologist, research guru, with hundreds of research publications in 'internationally accredited' journals. Ana awards nyingi tu katika uwanja wa research kutokana na kazi zake katika malaria.
Dr Mshinda hana undugu wowote na Saidi Mwema....Said Mwema ni mkwe're wa kutoka kijiji cha Mwetemo Bagamoyo (kati ya Kiwangwa na Msata), Dr Mshinda ni mNgazija toka Shelisheli (Seychelles), hapa Tanzania alihamia akasoma, akaoa, akazaa, na anafanya kazi brilliantly.
Utendaji kazi wa Dr Mshinda ulimvutia JK wakati alipokuja Mkurugenzi wa shirika la afya duniani (WHO) Dr Margareth Chang, Chang mwenyewe alisalute kazi kubwa iliyofanywa na Ifakara Health Institute chini ya Dr Mshinda akiwa mkurugenzi, kiasi kuna guidelines kadhaa za WHO zimekuwa developed kufuatia tafiti za IHI. Hata waziri wa Afya wa sasa Dr Hadji Mponda ametokea IHI naye akiwa na tafiti na publications nyingi tu za malaria.
Kama ana mapungufu mengine hapo COSTECH jaribu kujenga hoja kwa hayo...lakini usisingizie alibebwa kupewa post hiyo kwa uswahiba wa kuunga na gundi kwa JK.
yupo anahudumia ndoa namie ndo mume wakeHivi faizafox baada ya JK kung' atuka na yeye kang'atuka haonekani kabisa!
Mkuu,Mkuu kinachofanyika hapo COSTECH ndicho kinafanyika UDOM, kuna ubaguzi wa kidini. Ukiwa mtu wa dini amabayo wanailalamikia hupati kazi na walioajiriwa wanatishiwa kufukuzwa. Nasikia fukuza fukuza imepamba moto UDOM. Kwa kweli huu upendeleo utaliangamiza taifa hili. Nasikia hawa jamaa wanajiita wao kwa wao (watu dini moja) na siyo qualification, kupeana kazi zote za senior. Madai yao wao tu ndiyo wawepo chuo kizima.