Huyu DG amewafanyia fitna wakurugenzi wote waliopo chini yake mpaka wamehamishwa COSTECH. Yaani wakurugenzi wote waliopo chini yake na baadhi ya senior employees ambao aliona wanamwekea kiwingu amewafanyia zengwe mpaka wizara ikawaondoa COSTECH.
Ninazungumzia wafanyakazi wa COSTECH 15 wameondolewa pale kwa wakati mmoja. Hawa ni watu ambao walimkaribisha Dr. Mshinda pale COSTECH na kumfundisha kazi miaka 3 iliyopita. Leo hii ameota mapembe na kuwafanyia fitna. Na sasa wakurugenzi hawa wameenda kupewa "desk" tupu katika wizara nyinginezo.
Sasa sijui amefanya hivyo kwa kusudio gani?....Kwa sababu, kuwafukuza wakurugenzi 15 kwa mpigo kuna walakini!! Isitoshe huyu jamaa aliingia COSTECH akiwa ha-qualify kabisa na hiyo post a U-DG. Alipachikwa kwa kupitia memo tu...
By the way, Dr Mshinda ni cousin (au nephew) wa IGP Said Mwema, ambaye ni Shemeji wa Kikwete go figure !!
Hiyo ya Ifakara nilishawahi kuisikia. Alijaza "wenzake" kibao kwenye management.
Wafanyakazi wa COSTECH waliobaki wanahisi ndicho kitakachotokea.
Huyu DG amewafanyia fitna wakurugenzi wote waliopo chini yake mpaka wamehamishwa COSTECH. Yaani wakurugenzi wote waliopo chini yake na baadhi ya senior employees ambao aliona wanamwekea kiwingu amewafanyia zengwe mpaka wizara ikawaondoa COSTECH.
Ninazungumzia wafanyakazi wa COSTECH 15 wameondolewa pale kwa wakati mmoja. Hawa ni watu ambao walimkaribisha Dr. Mshinda pale COSTECH na kumfundisha kazi miaka 3 iliyopita. Leo hii ameota mapembe na kuwafanyia fitna. Na sasa wakurugenzi hawa wameenda kupewa "desk" tupu katika wizara nyinginezo.
Sasa sijui amefanya hivyo kwa kusudio gani?....Kwa sababu, kuwafukuza wakurugenzi 15 kwa mpigo kuna walakini!! Isitoshe huyu jamaa aliingia COSTECH akiwa ha-qualify kabisa na hiyo post a U-DG. Alipachikwa kwa kupitia memo tu...
By the way, Dr Mshinda ni cousin (au nephew) wa IGP Said Mwema, ambaye ni Shemeji wa Kikwete…go figure…!!
Hiyo ya Ifakara nilishawahi kuisikia. Alijaza "wenzake" kibao kwenye management.
Wafanyakazi wa COSTECH waliobaki wanahisi ndicho kitakachotokea.
Sidhani kama ni fitna, mbona kati ya waliohamishwa mmoja namfahamu amekuwa promoted?Huyu DG amewafanyia fitna wakurugenzi wote waliopo chini yake mpaka wamehamishwa COSTECH. Yaani wakurugenzi wote waliopo chini yake na baadhi ya senior employees ambao aliona wanamwekea kiwingu amewafanyia zengwe mpaka wizara ikawaondoa COSTECH.
Ninazungumzia wafanyakazi wa COSTECH 15 wameondolewa pale kwa wakati mmoja. Hawa ni watu ambao walimkaribisha Dr. Mshinda pale COSTECH na kumfundisha kazi miaka 3 iliyopita. Leo hii ameota mapembe na kuwafanyia fitna. Na sasa wakurugenzi hawa wameenda kupewa "desk" tupu katika wizara nyinginezo.
Sasa sijui amefanya hivyo kwa kusudio gani?....Kwa sababu, kuwafukuza wakurugenzi 15 kwa mpigo kuna walakini!! Isitoshe huyu jamaa aliingia COSTECH akiwa ha-qualify kabisa na hiyo post a U-DG. Alipachikwa kwa kupitia memo tu...
By the way, Dr Mshinda ni cousin (au nephew) wa IGP Said Mwema, ambaye ni Shemeji wa Kikwete…go figure…!!
Kashushuka shu.
Kashushuka shu.
Napenda kusikiliza mistari ya Khadija Kopa!!!!!!!!Sheer Illusions!
Kwa kweli umesema vema na swahihi kabisa kuhusu Dr Hassan Mshinda kwani ile nyimbo inayosema timua woote na uanze tena na timu yako kwani ni ikulu peke hake kuna mtu anashaka na WHO mpaka wakawa na guidelines zilizoanzia TZ ni team work kama kaona watu hawaelewi nawe ni mtu wa kudeliver unafanya nini?Acha uongo na chuki binafsi...namjua Dr. Hassan Mshinda personally kama rafiki na pia likuwa boss wangu!
Google profile ya Dr Hassan Mshinda halafu niambie kama katika 'top ten' ya scientist wa Tanzania hatakuwepo! He is a PhD holder, Malariologist, research guru, with hundreds of research publications in 'internationally accredited' journals. Ana awards nyingi tu katika uwanja wa research kutokana na kazi zake katika malaria.
Dr Mshinda hana undugu wowote na Saidi Mwema....Said Mwema ni mkwe're wa kutoka kijiji cha Mwetemo Bagamoyo (kati ya Kiwangwa na Msata), Dr Mshinda ni mNgazija toka Shelisheli (Seychelles), hapa Tanzania alihamia akasoma, akaoa, akazaa, na anafanya kazi brilliantly.
Utendaji kazi wa Dr Mshinda ulimvutia JK wakati alipokuja Mkurugenzi wa shirika la afya duniani (WHO) Dr Margareth Chang, Chang mwenyewe alisalute kazi kubwa iliyofanywa na Ifakara Health Institute chini ya Dr Mshinda akiwa mkurugenzi, kiasi kuna guidelines kadhaa za WHO zimekuwa developed kufuatia tafiti za IHI. Hata waziri wa Afya wa sasa Dr Hadji Mponda ametokea IHI naye akiwa na tafiti na publications nyingi tu za malaria.
Kama ana mapungufu mengine hapo COSTECH jaribu kujenga hoja kwa hayo...lakini usisingizie alibebwa kupewa post hiyo kwa uswahiba wa kuunga na gundi kwa JK.
Suala la kupeana vyeo kwa kujuana si jipya kwa JK kwahiyo kama DG wa COSTECH ana nasaba na mkuu wa nchi hiyo post ameistahili kwa mtazamo wa mteuaji kwa criteria zake.
Hili la kuwafanyia fitna watu 15 hadi kuhamishiwa wizarani linaweza lisiwe issue kubwa sana kwakuwa kwa muda mrefu sijaona umuhimu wa kuwepo kwa COSTECH kwani watanzania wengi wamekuwa wakilalamika kukwamishwa ama kukosa support yao. Labda wakiletwa wengine wanaweza kuiamsha COSTECH, so far iko usingizini.
napenda kusikiliza mistari ya khadija kopa!!!!!!!!
Acha uongo na chuki binafsi...namjua Dr. Hassan Mshinda personally kama rafiki na pia likuwa boss wangu!
Google profile ya Dr Hassan Mshinda halafu niambie kama katika 'top ten' ya scientist wa Tanzania hatakuwepo! He is a PhD holder, Malariologist, research guru, with hundreds of research publications in 'internationally accredited' journals. Ana awards nyingi tu katika uwanja wa research kutokana na kazi zake katika malaria.
Dr Mshinda hana undugu wowote na Saidi Mwema....Said Mwema ni ****** wa kutoka kijiji cha Mwetemo Bagamoyo (kati ya Kiwangwa na Msata), Dr Mshinda ni mNgazija toka Shelisheli (Seychelles), hapa Tanzania alihamia akasoma, akaoa, akazaa, na anafanya kazi brilliantly. Utendaji kazi wa Dr Mshinda ulimvutia JK wakati alipokuja Mkurugenzi wa shirika la afya duniani (WHO) Dr Margareth Chang, Chang mwenyewe alisalute kazi kubwa iliyofanywa na Ifakara Health Institute chini ya Dr Mshinda akiwa mkurugenzi, kiasi kuna guidelines kadhaa za WHO zimekuwa developed kufuatia tafiti za IHI. Hata waziri wa Afya wa sasa Dr Hadji Mponda ametokea IHI naye akiwa na tafiti na publications nyingi tu za malaria.
Kama ana mapungufu mengine hapo COSTECH jaribu kujenga hoja kwa hayo...lakini usisingizie alibebwa kupewa post hiyo kwa uswahiba wa kuunga na gundi kwa JK.
Mkuu relax relax au ndo wewe DG,haaaaaaaaaa,kwani mtu anaweza akawa prof lakini kwenye kazi aliyoomba akawa hana vigezo kuwa DR hakumpi qualifiacation kwa kazi alipota miaka hiyo miaka mi3 iliyopita::